Benki Kuu ya biashara National Bank of Commerce (NBC) ndio imeshinda kuwa Mdhamini mkuu wa ligi msimu wa 2021/2021.
Ligi hiyo itaitwa NBC Tanzania premier league ambapo NBC wameweka mkwanja wa...
Jana nimemsikiliza huyu sijui ndio mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi alivyokuwa anaongelea msimu mpya wa Ligi kuu, ukweli nimepatwa na hofu sana.
Anasema wanaendelea kutafuta wadhamini zaidi ya Azam...
Mapema leo, NBC Bank na TFF zimeingia ubia wa udhamini wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, NBC wakiweka mezani bilioni 7.5 kwa kipindi cha miaka 3.
Moja kati ya faida anazotarajiwa kupata NBC Bank...
Nimewaletea latest FIFA ranking kwa nchi wanazotokea wachezaji wa Simba na Yanga ili kupanua mjadala wa kwanini timu gani wachezaji wake wanaitwa kwa wingi katika timu ya taifa.
Kwa mfano Taifa...
Kesho inatarajiwa benki ya NBC kutangazwa kama wadhamini rasmi wa ligi kuu ila tuambiane tu ukweli UTOPWINYO KESHO KINANUKA watakataa hiyo logo watasema Twiga mwekundu hawataki awe wa njano au...
1.kibu denis alisajilikuwa Simba kama raia au mchezaji wa kigeni???
2..je kama alisajiliwa kama mgeni kutoka nchi Gani ??
3.. Je kama alisajiliwa kama raia inamaana Simba walisajili mchezaji...
Leo tarehe 06 October 2021 ndio siku ya kusomwa hukumu ya kesi inayowakabili aliyekua Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva na wenzake.
Katika kesi hiyo washtakiwa wanadaiwa kula njama, matumizi...
Shirikisho la mpira Tanzania, Tanzania Football Federation (TFF) Kesho linategemea kumtangaza Mdhamini mkuu wa ligi kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/2022.
Shirikisho hilo limewataka waandishi...
Point ya msingi wapenda soka, tunataka tujue huyu Kibu Denisi kama hakuwa Raia wa nchi hii pendwa, Mbeya city na Taifa Stars alikuwa anacheza kama mchezaji wa kigen!
Na Simba walimsajili kama...
Kwa kweli ligi kwa sasa ni tamu sana hongereni club zote zanazo shiriki ligi hii matokea ya michezo ya leo ni kwamba mpira sasa umeanza kueleweka kila kona ya Tanzania.
Timu kubwa mjipange sana...
Pamoja na uwekezaji mkubwa unaofanywa kuanzia kwenye usajili,maslahi ya wachezaji na hata miundombinu lakini bado wawekezaji na mashabiki hawapati kile kitu wanachotarajia kutoka Kwa Timu Yao ...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini.
RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko...
Kina Feisal, Zimbwe, Kapombe huwa wanapigwa push moja tu chini hivyo inakuwa rahisi kupitika.
Afadhali ya Samatta ana body stability kali.
Tujifunze kwa kina Mugalu, Aucho, Bangala, wapo stable...
Naomba TFF ibadili faini au waongeze adhabu ,hii faini ya 500,000 hadi 1,000,000 ni ndogo mno haiwaumizi Yanga ,Tangu ngao ya jamii na mechi zote za ligi Yanga hawajawahi kutumia milango rasmi na...
Inasemekana ni leo wakiwa mazoezini kiwanja cha boko veteran, kwenye picha namuona beki mkongo Innonga na Jonas mkude
Kinachonichanganya ni kwamba Innonga tuliambiwa kaitwa the leopards team ya...
Nimemfuatilia mchezaji huyo heritier makambo kuwa alistahili kuwekwa bench na hata yanga anaetahili kuanzia bench, kabla ya kuondoka Yanga alikuwa ni wa kiwango Cha juu Ila kwa Sasa amekwisha
Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu?
Ametoa kadi kwa...
Utopolo SC mnatakiwa kujipanga upya, na dalili zinaonesha mnatakiwa kusubiri sana ubingwa Tpl kwa kiwango mlichoonyesha Leo kwa timu dhaifu. Ya GEITA GOLD.
Msitumie nguvu nyingi kupitia viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.