Nasema kwa masikitiko makubwa sana kwqni mimi binafsi huwa naingia uwanjani kwa lengo la kuisapoti timu yangu. Ila nimekatishwa tamaa sana na mapato ya uwanjani kwani ni wazi kuna wizi mkubwa...
Wazee wa klabu ya Simba wamemuomba Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli ampeleke CAG kupitia na kuikagua Klabu ya Simba ikiwemo kupitia sheria kandamizi na za kibaguzi katika michezo.
Wazee hao...
Ushirikina utakaotumika kesho ni njiwa wengi walizoea PAKA aka mapaka kesho roho za bahati mbaya zitatumia njiwa.
Njiwa hawa watatolewa kabla ya mechi na HT nayo watatoa Salute.
Baada ya mechi...
𝐊𝐔𝐓𝐎𝐊𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐃𝐀𝐃𝐀 𝐋𝐘𝐋𝐘 𝐋𝐈𝐋𝐈𝐀𝐍𝐄
[emoji404]Kwa akili ya haraka haraka tu!! Team imeshinda mechi mbili za kimataifa na kufuzu hatua inayofuata lkn hawakupewa hata senti kumi ya MOTISHA...
Nimeona watu wengi wanasema kuwa simba wanakamiwa na timu ndogo kitu ambacho si kweli.
Why simba na si Yanga?
Ukweli ni kiwa simba ilishafikia peak ya mafanikio 'na wachezaji walishatumika vya...
Naona kuna kamjadala apa jukwaani kanakochagizwa na wajinga wachache ama kwa kutokuelewa au wanajua lakini wanapima kina cha maji, hii michezo ya timu pinzani kupewa motisha ya pesa kuikazia timu...
Tatizo lililopo hapa ni mfumo. Wachezaji walioondoka waliacha mfumo wa uchezaji ambao waliobaki wameshindwa kuufuata. Na hao walikuwa wanatengeneza rhythm ya timu na jinsi itakavyo flow na...
1. Yanga SC wameamua kuwa kwa Msimu huu iwe Mvua au Jua na kwa Mikakati yoyote ya ndani na nje ya Uwanja wanashinda.
2. Kuumiza kwa Makusudi Wachezaji wa Simba SC ili Timu itetereke na ikose...
Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha.
===
Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco
WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini...
Ligi zikiwa zimeanza katika nchi mbalimbali duniani , je ni kocha wa klabu ipi unadhani Atafukuzwa mapema kutokana na mwenendo mgumu wa timu, au timu kumshinda uwezo.
Je, kocha yupi unatamani...
Wadau Ile mechi ambayo iliepekwa saa moja usiku halafu Yanga wakagoma wakaondoka.
Taarifa yake ya fedha ikoje!?Zile hela zilienda wapi?Au ndo zimeliwa?
Kuna anaekumbuka labda maelezo yeyote...
Katika kile kinachoelezwa hali si shwari ndani ya Club ya Simba, inaelezwa Msemaji wa timu hiyo ndugu Ezekiel Kamwaga ameamua kukaa pembeni kuendelea na majukumu yake ndani ya club hiyo.
Tukio...
Je wajua?
Wacheza watatu(3) pekee kutoka Africa ndio waliofanikiwa kufunga zaidi ya magoli 30 kwenye champions league barani ulaya,,, chakufurahisha zaidi wote hawa wamecheza katika club ya...
Jamaa alicheza mechi ya kirafiki na Malawi akatoa assist moja, akangushwa na kusababisha foul iliyozaa goal, tukawapiga malawi goal 2 ikasaidia kidoogo kupanda ranks za Fifa
Jamaa kacheza huko...
Duru la raundi ya kwanza ya EPL imeitimishwa leo baada ya kuona games kadhaa zikipigwa katika madimba kadhaa ya kabumbu uko England.
Kwa upande mmoja naona Chelsea ikikubali kichapo cha goli 4...
Sijasikia ahadi zozote kama ilivyo kwa wapinzani wa Simba , Dodoma jiji na Biashara United .
Au yanga sio timu kubwa ndio maana hamna ahadi zq mamilioni kwa vijana wao?!
Ni aibu Kubwa Timu imetumia karibia Tsh Bilioni 1 za Kitanzania Kusajili Wachezaji wakubwa kisha wakichexa Uwanja mzuri wa Benjamin Mkapa wanashinda Kagoli Kamoja tu.
Mnatusumbua kuja Kuwatizama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.