Asalaam Aleykum Dar es Salaam
Asalaam Aleykum Tanzania
Asalaam Aleykum Afrika Mashariki na kati
Asalaam Aleykum Afrika kwa jumla.
Ni katika Derby ya kariakoo Simba na Yanga watani wa jadi hawa ni...
Order ya u captain simba ilikuwa ni Boko,zimbwe,nyoni,kapombe,manula
Ila kwa sasa ni Boko, kapombe, Nyoni, manula......
Kijana wetu Zimbwe alikosea wapi, kama nidhamu anayo lugha anajua au labda...
Baada ya Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli kuonyesha Chuki zake alizokuwa amezihifadhi dhidi ya aliyekuwa Mtendaji Mwenzake Afisa Uhamasishaji Antonio Nugaz kuna yaliyojiri huko.
Najua Watu...
"Mchezaji unamvalisha Jezi ina Watu kibao halafu unataka awabebe wote na Kukimbia nao hizo nguvu atazitolea wapi?"
Chanzo: Ukurasa wa Dodoma Jiji FC.
Akhsante mno Admini kunywa Soda tu.
Hayaa Hayaaa Hayaaa, Mechi Ya Kujipima Uwezo Wao Kabla Ya Kuelekea Bostwana Kwenye CAF champions League, Mechi Ya Kufikisha Alama 4 kwenye Msimamo Wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Mechi ya Mtu kufikisha...
Wana soka napenda kuona maoni yenu kuhusu moto wa magwiji hawa wa soka duniani, yupi kati ya Messi na Ronaldo ataanza kupumzika na kwa sababu zipi maana kila kukicha maajabu yao hayatabiliki...
Kama tulivyozoea msimu uliopita,ilikuwa Simba wakicheza siku basi utafunguliwa Uzi wa update kuelekea match hiyo asubuhi na mapema. Cha kushangaza mpaka sasa saa saba mchana hakuna Uzi wala dalili...
Kanuni za biashara na uwekezaji ndizo zilizomlazimisha mo kujiuzulu uwenyekiti simba au ni kwakuwa mo anasafiri sana nje ya nchi?
Wenye ujuzi kwenye hili atudadavulie. Kuwa mwekezaji na kuwa...
Wakuu salaam,
Baada ya sajili mpya kocha aliamua kubadili mfumo ajili ya maingizo mapya kitu ambacho kinaigharimu team hadi sasa.
Kocha alipaswa kutumia mfumo wa awali then akawa-train wachezaji...
Mightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali...
1. Kibu Denis
2. Osmane Sakho
3. Yusuph Mhilu
4. Jonas Mkude
Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench...
Ukiangalia ile mechi ya Simba na Mazembe kiwango walichoonesha ni tofauti sana na kiwango cha Yanga kwa Zanaco na hata mechi ya Kagera. Simba pamoja na kutoa sare na Biashara lakini waliupiga...
Habar..
Kila team pale epl Ina nickname yake
..orodha za team zote na nickname zake
1.Liverpool( The reds)(Majogoo)
2.Mancity(The citizens)
3.chelsea(The blues🌐)
4.Manchester United(The red...
Ndugu yangu Try again hakikisha haya unayafanya kwa mafanikio ili "waandishi/wachambuzi"na lopolopo la utopolo wasikusumbue, ukifanikisha haya nakuhakikishia utakuwa rafiki wa kila mtu na media...
Ni kauli ya Murtaza Mangungu ambae ni Mwenye kiti wa Simba,
Ikumbukwa kwamba jana Mo alijiuzulu, hili likitua wengi ila na leo kuna kauli mpya ya Mwenyekiti wa Simba
"Bilioni 20 zimewekwa...
Wandugu Salamu!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nikiwa kama mdau wa soka na shabiki wa Club ya Simba nimefanya ufuatiliaji wa performance ya kikosi chetu, nimebaini aadhi ya mapungufu ambayo...
Mohammed Dewji a.k.a Mo, amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kiliamua kwamba asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Club ya Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi.
Hata hivyo...
Habari wanajukwaa
Nikiwa kama mdau wa soka la nchi hii nasikitishwa sana na tabia isiyokoma ya Viongozi wa yanga kuamini ushirikina na vurugu za kuvunja mageti na kupita milango isiyoruhusiwa...
Nashindwa kuelewa Ligi kuu ya Tanzania kukosa mdhamini shida nini au TFF wanaweka gharama kubwa kiasi wadhamini wanashindwa?
Kama Azam ametoa 80ml kwa kila timu, je makampuni tuliyonayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.