Wiki mbili zilizopita simba walilitangaza basi lao jipya mbali ya yale mawili waliyopewa kwa wakati mmoja wao na ndg zao yanga jana tena nimesikia kuwa wametangaza kupokea mabasi mengine matatu...
Ifikie wakati serikali kupitia wizara ya michezo kutoa kalipio na ikibidi kuzuia kabisa tabia za baadhi ya washabiki hasa zinapokutana timu hizi mbili kubwa na mikusanyiko mikubwa kuja na watoto...
kunatetesi kwamba TFF wameamua kuweka viingilio vikubwa mechi ya leo kati ya Simba na Yanga ili kukidhi matakwa ya mdhamini wa mechi ya leo ni AZAM, ambaye inasemekana ndiye aliyeshinda tenda ya...
Kama yanga tunataka ubingwa basi inatakiwa watafutwe mbadala wao, hawa wachezaji wametugalimu sana msimu uliopita kwa kutojituma na kukosa kontro .
Kupitia mechi ya Leo dhidi ya kagera sugar...
Hatimaye Cristiano Ronaldo afanikiwa kuifungia Juventus goli lake la kwanza baada ya kufunga magoli mawili na kuiwezesha timu hiyo kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Sassuolo
Mshambuliaji...
Kubali kuingia mkataba na Azam media upate pesa ya kusajili wachezaji wanaoeleweka au Tumieni zile 20B kununua wachezaji wanaoeleweka kwenye dirisha dogo na sio kuzidiwa kete na Yanga kwa...
Guus Hiddink (born 8 November 1946) is a Dutch former professional football player and manager. He is recognised for winning the treble with PSV Eindhoven, leading South Korea to a 4th place...
Niwatendee haki timu ya wananchi wa Jamhuri ya utopolo kwa kuwapongeza kwa ushindi wao dhidi ya Simba!! Hongereni sana!! Lakini ni vizuri mkajua kuwa ushindi huo hautokani na ubora wa Yanga bali...
Hii taasisi ya simba ishawekwa mfukoni aiseh. Utaratibu wenu ukoje mtu alojiuzulu anapata wapi mamlaka ya kuteua?
Na ile midoli itaitwa friends of nani maana tajiri anasafari nyingi😆😆😆😆
Tunamuomba kiumbe huyu haraka aje aungane na mashine zinazotupa raha kwa sasa ili tukamilishe furaha zetu na kurudisha heshima ingawa tayari watu washakubali.
Kuna tatizo gani kati ya Saidor na...
Hakuna timu inayojielewa inayofurahia draw hvyo poleni sana watani.Nimefatilia mchezo wenu toka sekunde ya kwanza mpka dk ya mwisho na nmegundua yafuatato;
1. Timu haina muunganiko kama...
Nimeshangaa leo kusikia kuwa TFF imevifungia baadhi ya Viwanja kwa visitumike kwenye matches za ligi kuu Tanzania,kama vile Jamhuri Morogoro na Ushirika Moshi. Je TFF walikuwa wapi muda wote huo...
Naomba Mdau yoyote yule mwenye Picha za Makocha wa Timu za Ligi za Ulaya au hata tu za Misri na Afrika Kusini ambao wakiwa wanacheza Kesho yake basi hukutana kwa kupiga stori Mbili Tatu na kama...
Hatimaye Siku imefika, Siku Imewadia, Kwa Miamba Miwili Ya Soka Nchi Tanzania Ambayo Inawakilisha Nchi kwenye michuano Ya Kimataifa Kukutana kwa Mtanange wa Dakika 90+ Kwenye Kipute cha Ligi Kuu...
1. Timu ipelekwe upesi kwa Mtaalam wetu ama Yule wa Zanzibar au wa Morogoro na achaneni na hawa wa Mikoa mengine kwa Wanatumika vibaya na Maadui zetu.
2. Utaalam wa Kutumia Makafara ( hasa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.