Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Siwezi kukupa pole kwa matokeo ya leo maana wewe umesababisha wanasimba kibao kufa na wengine kupata magonjwa yasiyotibika kwa tabiri zako uchwara. Tangu mwaka juzi kila inapofikia tarehe ya Simba...
10 Reactions
45 Replies
3K Views
wanakadiria au wanahesabu manually au kuna program ya kompyuta inayohesabu automatically au ni aje yaani
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu ustadh pichani aliingiaje ndani ya vyumba vya ndani ya uwanja na hayo madude yake? Yanga bila ndumba mambo hayaendi.
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Wape salaaamu! Nakemea vikali kama sio kuwaonya basi kuwashauri TFF, ni juu ya hii propaganda ya kuhusisha soka na mambo ya chanjo moja kwa moja. Katika mechi ya watani, almaarufu Kariakoo...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo tarehe 25 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Yanga SC wamefanikiwa kuwafunga Simba SC kwa goli 1-0. Pamoja na matokeo hayo binafsi nimeridhika Sana na kiwango pamoja na competitiveness waliyokuwa...
14 Reactions
85 Replies
6K Views
Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari iliyopo mjini ni utopolo kuangukia pua asubuhi na mapema caf champions league!! Hizi takwimu za mapato ya msimu uliopita mngetoa msimu uliopita!! Acha tuongelee habari ya mjini kwa sasa !
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Mchezo Kati ya SIMBA SC dhidi ya Biashara United umemalizika kwa ushindi mnono baada ya Mnyama kumchakaza mtu kwa jumla ya mabao manne kwa nunge. Ila Kuna huyu mchezaji mpya...
11 Reactions
68 Replies
11K Views
Kwa hakika leo wananchi wanaenda kufurahi sana wanaenda kuimaliza siku kwa furaha Kwa kikosi hiki japo hakina muda mrefu pamoja upande wa pili huko ni homa na matumbo ya kuharisha kwa kwenda...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Huu ni mtazamo wangu binafsi wa kiufundi kwenye mechi ya leo ambayo Mabingwa Wa Kihistoria wamerudi kwa staili mpya. Mabeki wa Kushoto/Kulia wa Simba SC walikuwa wakishinda nyuma wakati wote...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa sisi tunaojua mpira tumefurahia sana kazi ya kiungo wa Dar Young Africa Feisal a.k.a Fei Toto
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Hawa majamaa wawili ni moto fire, je kati ya hawa mandume nani atakaye ahinda?
0 Reactions
1 Replies
451 Views
Hivi Mbagala kuna nini lakini hadi watu wawe na ulimbukeni kiasi hiki ? mechi imechezwa Jumamosi lakini vigoma hadi leo Jumapili ! Aibu kubwa sana !
4 Reactions
8 Replies
844 Views
#NgaoYaJamii FT: Simba 0-1 Yanga Mayele 11'[emoji460] -Nimekitizama kikosi cha Yanga Wanamabadiliko makubwa sana kulinganisha na Mchezo wao wa mwisho walio ucheza dhidi ya Simba wamefanya...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Nilishtushwa sana na tetesi zilizokjwa zinsema ronaldo to the citizen Nikajisemea na vitimu vyetu hivi vibovu tutalia na kusaga meno Mungu sio Ambagile cr7 huyo utd anateseka tu timu hovyo...
3 Reactions
3 Replies
890 Views
Kapombe 30+ Hussein 30+ Onyango 40+ Wawa 30+ Mkude 30+ Mzamilu 30+ Dilunga 30+ Boko 30+ Nyoni 40+ Kagere 30+ Mugalu 30+ Hawa wazee ndio mnawategemea kuifunga Yanga ?
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Tukielekea derby ya Simba na yanga Nawaonya simba mcheze kwa nidhamu Kadi nyekundu ya kigoma na udhaifu wa kupewa red kd Onyango leo refa anaingia na akili zenu one mistake mtasoma namba msiseme...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Yes ndiyo nimesema kwa sababu ya mechi ya utopolo, nimegundua tu kwamba mzungu wetu ni very stubborn yaani ana ka system chake fulani hakana plan b Tusijipe ugonjwa wa moyo kwamba eti nusu...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Si ulisema kuwa huko ndiko ulikokuwa ukikupenda? Sasa mbona tokea jana unaogopa Kusogelea hiyo Kambi baada ya kuambiwa unaweza ukaondoka duniani Kikafara ili unaowapenda Washinde Jumamosi? Na...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Tanzania tuna vichambuzi uchwara vya michezo. Eti mtu akishawafahamu wachezaji 10 wa timu za Ulaya eti anatafuta kiredio uchwara nae akachambue habari za michezo. Ni watu wanaokatisha Tamaa...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom