Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mkataba mwingine kwa mabingwa wa nchi wa udhamini kutoka kampuni ya Africarriers wenye thamani ya Tsh. 800 milioni. Mdhamini atatoa mabasi matatu; 🚍 Basi moja litatumiwa na Simba Senior Team 🚐...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Kumbe watu wa kada mbali mbali ni WANANCHI ndomana tukaongoza kwa mapato
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Nikiwa mwanasimba kindaki ndaki nimepokea taarifa kutoka kwa kigogo mmoja ndani ya simba kikosi kitakochoanza ni hiki hapo kesho. 1:Azim dewji 2: Kasaam dewji 3: fatuma dewji 4:ahmed dewji...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Bwana weeee kumbe viti vinakuwa mambo flani tayari hadi ukiruka kiunzi cha ule mlango wa sehemu husika kombora linachapa kwa kocha siku ya mchezo na kabla unakuwa jitu la hovyohovyo Basi ni jambo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna jambo naliona Yanga sio zuri kwa mustakabal wa timu ya Yanga. Kwenye mambo mengi gsm wamekua hawawapi nafasi viongozi wa Yanga akiwemo Dr.Msola,Mwakalebela na viongozi wengine wa Yanga...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Barbara Gonzalez, alizaliwa jijini Dar es Salaam miaka kadhaa iliyopita, baba yake akiwa ni raia wa Colombia na Mama Mtanzania. Mbali na kuwa msaidizi wa Mohamed Dewji, pia alikuwa Mtendaji Mkuu...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
Magoli kipa. Kalpana Nyamizi BRN Walinzi wa kushoto. mugah di matheo Van De Beek ChamasonMorisonBwalyason Walinzi wa kulia. PTER Luvanga1 Kingtox Walinzi wa kati. Viol Kifurukutu Poisonous OKW...
23 Reactions
120 Replies
6K Views
CEO wa simba anazidi kuchanja mbuga na kuonesha umahiri wake katika kufikia mafanikio ya timu kwani leo simba imeingia mkataba wa milion 800 na wababe wa wauzaji wa magari Tanzania ambao...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna tetesi nimesikia huyu mtaalam viongozi wa Yanga wanataka kumrudisha kama kocha msaidizi. Naunga mkono hili sababu moja kuu Kaze anajua lugha nyingi kifaransa, kiingereza, kiswahili, Kirundi...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi Yanga SC ikiongoza kwa Takwimu, Kujaza Watu au Kuuza Mijezi Misukule na Mikaragosi yao huku wakiwa hawachukui Vikombe na tunawafunga katika Mashindano muhimu nani mnadhani Kimantiki ndiyo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wachezaji muda mwingine huwa wanajituma kwasababu ya presha ya mashabiki, mashabiki wa Yanga ni wapole mno na timu ikifanya vibaya wenyewe wanaitetea timu yao so wachezaji hawahisi presha yeyote...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Ili kukabiliana na athari za kuondoka kwa Haji manara Simba walilazimika kuingia mifukoni ili kufanikisha Simba day. Manara effect iliwaandama na inazidi kuwaandama Simba. Kila wanachofanya...
11 Reactions
44 Replies
4K Views
Takwimu zilizotolewa na bodi ya ligi hapo jana zilihusu idadi ya watazamaji (Spectators) waliohudhuria katika mechi za nyumbani za vilabu vya ligi kuu kwa msimu ulioisha. Takwimu hizo zimetokana...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
YouTube - BBC South Today News Blue is the colour for schoolboy hot-shot 8:22am Saturday 28th June 2008 A TEENAGE football prodigy from Basingstoke is closer to realising his dream of...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Habari. Nimetazama takwimu zilizotolewa na TFF juu ya mapato yaliyokusanywa na vilabu vyote kwa msimu 2020/2021. Ukiachana na Dar Young Africans ambao wameongoza kwa mapato ya 986.8Ml kwa...
2 Reactions
12 Replies
803 Views
Yaani hawa jamaa bana wakishinda atatoka msukule na Injinia kuji mwambafai wakitia aibu kama ile ya kule Naija basi ni Bumbuli na Hajj mfikirwa Naona week hii kuna mtu kajificha nyuma ya keyboard...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Ebanaaaeeee hi Ameira si ipo la liga jameni? hawa wa west africans hata kama ni magarasa ila wana mawakala very aggresive kwa kweli yaani msuva angekuwa ni mpopo leo angekuwa anacheza hata...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Tuambieni kitakachowafanya muwe Mbele ya Biashara, kama haitakuwa uonevu, miaka minne sasa hamjawahi kuvuna point hata moja, hebu njooni na mapovu yenu mtwambie iweje muwe Mbele ya Biashara kwenye...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Hii ndio taarifa yake na ndio ukweli halisi
6 Reactions
25 Replies
2K Views
UNAAMBIWA 1. Na ilikuwa siku ya pili ya juma, wachezaji walipojiandaa kwenda kana ya Nigeria kupindua meza kibabe. 2. Nao walipofika katika kijiji kile kinachowakabili, ndipo wakamuona...
14 Reactions
8 Replies
873 Views
Back
Top Bottom