"Haiwezekani Mwanachama wa Simba aje afanye kazi Yanga haya ni mambo ya kijinga mwenendo wa timu sio mzuri, Sisi wazee wa Yanga hatuna imani na uongozi wa timu yetu
We ulishawahi kuona wapi...
Wanamazengo,
Hivi mmegundua kuwa licha ya Simba SC kupata msemaji wa muda - Bw Ezekiel Kamwaga, nafasi na majukumu mengi anayopaswa na kutakiwa kuyafanya anayafanya CEO wa klabu? Je, tunaweza...
Magori, Salim, Kocha Matola, Somo na Mkuu wa Itifaki Makoye ni mara ngapi mnataka niwe nawakumbusha hili ambalo huwa mnalipuuza kama siyo Kulisahau kila tukicheza na Yanga SC na Wanatufunga...
Baada ya mechi ya juzi viongozi wa Tp Mazembe kusema, Yanga ni timu kubwa Tanzania [emoji1241] kuliko timu yoyote kumeibuka mijadala mikubwa kuhusu nini hasa kinafanya timu iitwe kubwa ?!
Binafsi...
Marais wote katika safu ya JMT wanajulikana timu zao za mpira. Binafsi sijawahi kusikia rais Samia ni shabiki wa timu ipi, klabu au timu ya taifa?
Au ni shabiki wa timu ya taifa ya mpira wa...
Ukiwa na Marafiki ( Maswahiba ) wengi ndani ya Kambi ya Maadui zako wakubwa ni Raha sana.
Haya Taarifa iwafikie kuwa huko Baharini Kambini Kumeshakucha na kuna Mtu hatakiwi tena.
Baada ya kuona...
Kwa Kuanzia tu ni kwamba Daktari wa Timu ya Taifa ya Congo DR amewashangaa Yanga SC Kumsajili Beki Shabaan Djuma ambaye ni 'proin injury Player' wakati aliwashauri Wasimsajili.
Pili baada ya...
Mtanisamehe kama nitawakwaza ila kwangu Mimi Mightier siiaona tofauti ya Kiungo Shiboub tuliyemwacha kwa sababu za Kipuuzi na leo hii Kumsajili Kiungo Kanoute tunayempamba.
Tena kwa ninavyomjua...
Kuna matukio huwa yakitokea huwa najiuliza akili za baadhi ya binadamu zinavyoyumba.
Utakuta mtu kavaa vizuri sana ila kumbe ni yanga! Unashangazwa anavyoshangilia simba kufungwa mechi ya...
Kuna kikundi cha waandishi kimeibuka, na wanapenda watambulike kama wasema kweli. Lakini kila nikitazama niuone huo ukweli siupati naona ni majungu na chuki tu.
Kwa leo tuanze na huyu GEOF LEA...
Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa utaendelea kuvaa nembo yenye vivutio vya utaliiya Visit Kilimanjaro & Zanzibar kwenye jezi zao upande wa mkono wa kushoto katika mechi zao za ndani.
.
Uongozi...
Nadhani mko salama.
Wakuu mimi ni kijana niishie Mafinga ndiko nimeajiriwa huku kitambo kidogo..Ni almost miaka yote mitatu nimekuwa nashindwa kufanya kitu hiki nachokipenda siku zote kiasi...
Kwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani (Ligi Kuu)
Pili Klabu ya Yanga SC...
Habari wanamichezo!
Ndani Sports extra ya clouds fm kila ijumaa kulikua na kitu kinaitwa "NGUMU KUMEZA".
Mtangazaji wa clouds ninaye mfahamu kwa jina moja la Adamu alikua akisoma makala za ngumu...
Kusema kweli inatia aibu klabu kubwa kama Yanga kuwekeza muda na rasilimali kubwa kwenye propaganda za mitandaoni.
Yanga inawatumia wale wanaojulikana kama wachambuzi kusambaza hizo propaganda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.