Inaelezwa kuwa Ushabiki Wa hizi Klabu kubwa nchini ni Kama ngozi au Kabila la Mtu.Huwezi kubadili Kabila lako au asili Ya Ngozi Ya Mwili. Sasa Msemaji wetu inaelezwa Wakati Timu Ya Zanaco...
Niko sehemu namsikia Alex Lwambano akijaribu kuituhumu CAF kama walivyozoea kuituhumu TFF kuwa eti Yanga ametolewa kwa figisu figisu!
Hivi aliyefanya figisu hapa Tanzania ni nani kama sio yanga...
Akiongea na kituo cha radio cha Efm kupitia kipindi cha michezo cha asubuhi, Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa amekiri kuwa hawakujipanga vizuri kwenye pre season hivyo kupelekea timu...
Wapenda Michezo wote TUACHE Ushabiki Tuzungumze Ukweli juu ya Matokeo ya Michezo miwili iliyochezwa jana na Vilabu Vyetu Vikubwa kabisa Nchini SIMBA na YANGA.
YANGA ilicheza na RIVERS ya NIGERIA...
Ushindi Wa Chelsea Dhidi Ya Aston Villa Ulikuwa Wa(600)Kwenye Ligi Kuu Ya Uingereza
Sasa wanaungana Na Man United(690)Kuwa Timu(2)Pekee Zenye Michezo(600)Ya Kushinda.
Hahahaha, mmefurahi Simba kufungwa? Kwani alikuwa anawania nini hadi akafungwa, kulikuwa na Kombe, Hapana! Ahhaaaa! Kumbe alikuwa anatest tu kikosi, Yani kma mwana Simba lia lia Bora tungefungwa...
Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi March au May kama sijakosea na ikapigwa Kalenda.
Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi July na ikapigwa tena Kalenda...
Msimu wa 2018/19 ilishika nafasi ya pili
Msimu wa 2019/20 ilitangazwa bingwa baada ya kuishia michezo 20 kati ya 30 kutokana na Covid19
Msimu wa 2020/21 hakukuwa na ligi kabisa anateuliwa...
Nafasi ya Haji Manara imebaki wazi Simba. Kamwaga, Masao Mbwire na Salma Ngale kwa pamoja ni pungufu ya Haji Manara. Wamegeuka hanyahanya fc.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Haji hazibiki.
Wana JamiiForums
Nimebeti na kampuni ya pari matchi. Nimewala pesa zaidi ya Milioni 3 lakini inakaribia mwezi sasa hawajanitumia pesa yangu na nimejaribu kuwatafuta maranyingi wakaanza kuniuliza...
Jana video imeonekana game ikikaribia kuanza Manara kakaa kwenye benchi la ufundi anaelekeza wachezaji kwa jazba nyingi hadi jasho.
Sijawahi kuona huo utaratibu hata kwenye Ndondo Cup,amewatia...
Leo nilipata wasaa wa kushuhudia Tamasha la Vichekesho kutoka kwa watani zangu pale Taifa.
Maana ilikuwa sio Tamasha bali ni vibweko tosha, hata ilikuwa bado kidogo nisahau kuwa ninapaswa...
Hao ndio mabingwa wa kihistoria almaarufu kama timu ya wananchi toka Jamhuri ya UTOPOLO!! Mwaka huu wamestahili kabisa kushiriki caf champions league na wamefika mbali sana hadi NIGERIA!! Kwa...
1. Licha ya usajii mzuri hatukuwa tumeyachukulia serious michuano ya CAF.
2. Mafanikio ya Simba SC ya msimu uliopita yalifanya ionekane ni rahisi zaidi kuweka jitihada zisizo thabiti kufika...
Majamaa wa Simba wamenikosesha raha sana jana, wananiambia eti jana vigogo wa soka afrika wamekutana, mabingwa wanapimana nguvu, nafahamu kuwa TP Mazembe ni bingwa wa africa mara tano.
Pia...
Naam mnamo tarehe 25 mwezi august mwaka 2019 Simba ilitoka 1-1 na UD songo ikapelekea simba kutolewa kwa goli la ugenini ikapelekea Simba kuanza ligi tarehe 28 august kwa kuichapa ppolisi 3-0...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.