Naingia kwenye hoja moja kwa moja lakini awali ya yote naomba ku declare intest kwamba mimi ni mwanaSimba kindakindaki. Nina imani Simba Day ya leo tarehe 19/9/2021 imeandaliwa vizuri kimkakati na...
Klabu ya Tottenham imemsimamisha kazi Kocha Mkuu Jose Mourinho kufuatia msururu wa matokeo duni klabuni humo. - (The Telegraph wameripoti).
=======
LONDON (AP) — Tottenham fired Jose...
Naomba nitolewe tongotongo. Vipi ikitokea mpaka tarehe 25/9 ITC hazijafika kwa wachezaji wale wa3 wa Yanga je, watarusiwa kucheza mechi dhidi ya Simba ya ngao ya hisani!!!??
Nawasilisha
Job Ndugai ni Spika wa Bunge la Tanzania , huu ni wadhifa mkubwa mno, mtu mwenye cheo hiki anastahili kupendwa na kuheshimiwa na kila mtu katika nchi hii , Huyu ni kiongozi wa Mhimili muhimu mno...
Leo nipo tayari Simba afungwe hata 20-0 na Tp Mazembe lakini sio yanga kushinda au kufunga goal hata moja dhidi ya Rivers united
Nipo tayari kuona uwanja wa mkapa una watu buku lakin sio kuona...
Taarifa kwamba zaidi ya wachezaji wapatao 6 wa Young Africans kukutwa na dalili za Covid 19 Ni za kweli? Wachezaji wanaosemekana kukumbwa na dalili hizo chanzo kimeeleza Ni Kaseke, Adeyu...
Unajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja.
Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki.
Sasa hatutaki...
Utatu upi utafanya vizuri siku ya leo
A) Pape O Sakho, John Bocco na Ibra Ajibu.
B)Mushimba Mugalu , Peter Banda na Bwalya.
C) Medie Kagere , Hassa Dilunga na Morisson
Kuna tukio la aibu linaenda kutokea leo, hadi dakika hii watu wamesusa sijui maana kwa mkapa kweupeeee tofauti na tamasha la wapinzani lililopita yani ilikiwa hadi dakika hii hakuna pa kuhema...
Viongozi kadhaa wa timu ya Rivers United wametua katika kikosi cha Yanga wakimsaka askari aliyempiga mmoja wa viongozi wao.
Tukio hilo lilijiri jana wakati Yanga ikimaliza mazoezi yake ambapo...
Rivers United Vs Yanga
Mchezo utapigwa kesho mida ya saa kumi na mbili jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Hii ni mechi marudiano baada ya mechi ya kwanza iliyopigwa hapa Dar es Salaam...
Hapa nzuri ingekuwa visit Tanzania maana Kilimanjaro na Zanzibar vipo ndani Tanzania, ukisema visit Tanzania ina maana umemaliza kila kitu. Ndani ya Tanzania kuna Kilimanjaro, Zanzibar, Mikumi...
Jwaneng Galaxy Football Club, ni team ambayo itacheza na Simba katika michuano ya club bingwa Africa.
Ni team mpya ndio kwanza inamiaka 6 tu (imeanzishwa 2015), kutoka huko BOTSWANA.
Vipi mwana...
Sikulazimishi uiamini hii Taarifa yangu ila Taarifa ambazo nimezipata kutoka katika Chanzo changu ndani ya Yanga SC na Wadhamini wao kimenihakikishia kuwa wameshamalizana Kimjini Mjini na Rivers...
Nakumbuka msimu Fulani hivi timu ya Simba ilizindua jezi zilizokua na ujumbe wa kuitangaza Tanzania, mashabiki wa Yanga walikichafua sana na kubeza kuwa timu ya Simba inaitangazaje Tz kwenye ligi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.