Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa mara ya kwanza nimejaribu aisee huu mchezo sirudii tena. Unaona timu kubwa inashinda but wanachokifanya upuuzi kabisa. PSG mmeniangusha sana. Sitarudia tena.
13 Reactions
56 Replies
7K Views
Kuna watu wamekuwa wakinong'ona kuwa Taifa letu limelogwa na hivyo tutahangaika sana kama taifa kujiletea maendeleo. Nilikuwa siamini ila sasa nimeanza kuamini. Kwanini? Kuna mambo fulani...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Msimu huu arsenal hatoboii yaani championship inawahusu Ndio championship...Sasa arsenal hii itamfunga nani?? Yaan hata wafukuze kocha ni mwendo wa vipigo tuu. Wachezaji wote waajabu ajabu tu...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Leo timu ya soka Azam iko kwenye hatua za awali za kombe la shirikisho, mechi ya kwanza Azam iliibuka na ushindi wa 3-1. Kwa sasa mechi inaelekea mapumziko na Azam inaongoza kwa goli 0-1 goli...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
MNATARAJIA HAWA WAPOPO WAFANYE FAIR PLAY? HADI SENZO NA MSUKULE MZUNGU WATAPIGWA MARUNGU TUKO HAPA WAJINGA NYIE HAMNA AKILI MNAZUIA KEY PLAYERS WAO WEEK NZIMA MNATAKA WAO WE FAIR ...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
"Tumeamua Kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia katika hii Royal Tour yake kwa Kuutangaza Mlima Kilimanjaro na Kisiwa cha Zanzibar na kuanzia Mechi ijayo dhidi ya Rivers United FC na nyinginezo za...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Gianluigi donnarumma anakuwa golikipa wa kwanza other than Gianluigi buffon kupata cleansheet kwa italy katika mashindano makubwa ya ulaya na dunia tangu fransisco toldo alivyofanya hivyo katika...
1 Reactions
2 Replies
763 Views
Mechi ya kirafiki ya kujiweka sawa tumeichapa Enyimba 2 bila. Jumapili tunawasubiri watalii tuwafunge 3.
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Tafadhali mnapotutumia Picha mlizopiga Uwanja wa Ndege baada ya Kutua hebu tuwekeeni pia na Picha za Mashabiki zenu baadhi Kupigwa Ngumi na Wanaijeria wakijiandaa kupanda Basi. Halafu mbona Picha...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Yaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana! Tangu jumatatu wiki hii vipindi vya leo tena na sports xtra havifanyiki studio...
12 Reactions
28 Replies
3K Views
Leo nilikua natembea mitaa mbali mbali ya jiji la Dar. Kusema ukweli mwaka huu amsha amsha huku mtaani si mchezo. Hongera kwa uongozi wa Simba kwa kujipanga safari hii maana Simba Day ni tamasha...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
1. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC wakate Tamaa na wasiende Uwanjani Klabu ikose Mapato...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Haiingii Akilini wakati wa Wiki ya Mwananchi inayohusisha Klabu mbovu ya Yanga upatikanaji wa Tiketi kwa njia ya N-CARD ( Mtandao ) ulikuwa hausumbui ila kwa Wiki hii ya Simba Day mpaka leo kila...
1 Reactions
68 Replies
10K Views
Picha inajieleza kwa hisani ya blogu ya Saleh Jembe
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Nikiwa kama mshabiki wa simba nawapa pole wote mnaoshindwa kununua tiketi za Jumapili, msiwe na wasiwasi ikifika Jumatatu wahusika watarudisha system yao vizuri Mwaka jana walifanikiwa ku...
12 Reactions
76 Replies
6K Views
Nina mtoto kamaliza darasa la saba mwaka huu,anatamani sana kuhudhuria na kushuhudia simba day, Nina uwezo wa kulipua tiketi za 30000 . Lakini high yangu ni sijui kama utaratibu wa nafasi za kukaa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
barakoa ina kama kioo hivi hapa ni msafara huu wa mabingwa wa kihistoria kwenda Nigeria mwandishi huyu
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Klabu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam na shirika la ndege Tanzania, ATCL zimeingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani milioni mianne. Katika makubaliano hayo, Shirika la ndege...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Yanga yangu why haipo serious kama wapinzani wetu. Wiki nzima hatuna hata mechi ya kirafiki. Mnyama alikuwa na timu nzuri ila alipumzika wiki nzima akaenda kushtukizwa 4 kwa 0 pale soweto msimu...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwanamichezo wa Kwanza kaamua Kuitangaza Tanzania katika Shati lake Kubwa, zuri na lililobuniwa vyema kwa Kuandika Maandishi makubwa ya VISIT TANZANIA. Mwanamichezo wa Pili kwa Akili zake...
0 Reactions
3 Replies
754 Views
Back
Top Bottom