Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

A French footballer who was born in Senegal and played for major clubs in France as well as the French national squad has been in a coma for almost 38 years due to a mistake his doctor made while...
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Goalkeeper Bora wa mwaka wa Uefa wa msimu uliopita anayechezea timu ya Chelsea Edouard Mendy na raia wa Senegal ameweka record hii tangu ajiunge na Mabingwa hao wa Ulaya 61 Mechi alizocheza 37...
12 Reactions
12 Replies
1K Views
Naandika nikiwa sijapata majibu mpaka sasa, hivi sisi Yanga tumepatwa na nini? Yaani ghafla tunapokea watu waliokufa na Simba na sasa ndio wanakua watu muhimu ktk timu, hivi kwa kweli tutegemee...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kati ya Kesho Jumatatu mpaka Jumatano au Alhamisi kuna Zengwe la Awali linaenda Kuibuka Klabuni Yanga SC ambalo litawahusu hasa Watu Wawili Msemaji mpya Haji Manara na Injinia Hersi Said. Hata...
12 Reactions
57 Replies
5K Views
UTANGULIZI Timu ya Yanga imeamua kukodi Ndege ya Shirika la ndege la Tanzania kwenda Nigeria, lakini tukumbuke mpira siyo uzuri wa lifti kuelekea uwanjani Bali mpira na mbinu na ujuzi. Mchango wa...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wao wa Twitter, klabu ya Yanga imetoa tangazo kuelekea Nigeria siku ya Ijumaa na Kurudi Jumapili baada ya mechi. Yanga wamewaomba mashabiki wao kuwasapoti kwenda Nigeria kwa ajili...
10 Reactions
93 Replies
9K Views
Simba ni club kubwa Sana na yenye kila Aina ya ushawishi. Ukikosana na Simba tegemea nux na anguko vitakuandama. Toka Bugatti kahamia yanga ni mikosi tu inamuandama yeye na timu. 1.Kufungwa...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
“Tumefika salama nyumbani na leo au kesho tunatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Enyimba. Wachezaji wetu (4) na viongozi (3) waliokutwa na Corona wako salama na hakuna mwenye maambukizi...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Upande wa utetezi katika kesi ya kughushi inayowakabili viongozi watatu wa klabu ya Simba wameomba mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kuahirisha kesi hiyo kutokana na kifo cha Zacharia Hans Poppe...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Kijana kinda mmdogo mwenye miaka 21 aliyesajiliwa kutoka Biashara United leo umeonyesha ubora mkubwa sana pamoja na timu yetu Young Africans...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Kumezuka kamjadala uchwala toka kwa waandishi uchwala kueneza habari za kipuuzi kuwa kocha nabi kapewa mechi 2, wapuuzi hawa wanajitahidi kupandikiza hiyo propaganda ili kumuondelea utulivu na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Yes msemaji wao alipigwa na kitu kisichojulikana na wachezaji wao watano wa kikosi cha kwanza walikutwa na corona masaa mawili kabla ya mechi ingawa siku tatu zilizopita walipimwa mara mbili na...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Gwiji wa zamani wa Bayern Munich na timu ya Taifa ya Ujeruman bwana Gad Mullar amefariki dunia Jana akiwa na miaka 75. Miongoni mwa kumbukumbu anazokumbukwa nazo ni Kufunga goli 34 kwenye mechi...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa gazeti la Mwanaspoti ni kwamba uongozi wa Klabu ya Yanga umempa mechi mbili (2) kocha mkuu wa kikosi hicho Nasreddine Nabi , Mechi hizo mbili ambazo amepewa kocha Nabi ni ile ya...
9 Reactions
51 Replies
5K Views
Imetokea kwenye majibizano kabla ya mechi wakati River United wakilazimishwa kuingia vyumba vya kubadilishia nguo uwanjani. River United waligoma kuingia kukiwa na tetesi za upuliziaji wa dawa...
9 Reactions
48 Replies
40K Views
Kocha wenu anadiploma mleteni afundishwe na Profesa wetu,aje na vyeti vya waajiri wake. Kocha anajua,kikosi kipo vizuri. Baada ya mechi Sasa Nabi hajui kupanga kikosi unamuwekaje Bangala benchi...
17 Reactions
51 Replies
5K Views
Kama ni ajali ya kweli iwe na picha, vinginevyo tukutane insta atueleze vizuri yule mganga wao wa Bagamoyo safari hii hawakumlipa pesa yake yote, au amesafiri.
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu huyu ndio kocha wa kiwango cha chini mno kuwahi kufundisha timu hii. Baada ya kutandikwa nyumbani kwao bao 4 na PSG namtabiria kufukuzwa.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika hali ya Kushangaza na iliyojaa Upuuzi kama si Uduni wa Akili Klabu ya Yanga imepanga kwenda nchini Nigeria na Msafara wa zaidi ya Watu 50 wenye Wachezaji, Waganga wa Kienyeji, Wapishi...
1 Reactions
4 Replies
797 Views
Back
Top Bottom