MTANI UNATUANGUSHA SANA.
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Mtakoma Chama kaondoka
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Trh 28 kutakuwa na Suprise
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Suprise ni Luis Miquissone...
Ni mkasa wa aina yake, dakika kadhaa kabla ya mchezo wa fainali ya kombe la dunia mwaka 1998 pale nchini Ufaransa, katika mechi iliyokuwa inazikutanisha Ufaransa Vs Brazil kulitokea tukio la...
Huu ndio ujumbe uliopo huko Instagram, ambapo Mabingwa wa Nchi, Simba Sports Club kwa makubaliano maalum na Wizara ya Utalii, watavaa jezi zao zenye maandishi, "Visit Tanzania" lengo ni kutangaza...
16 September 2021
Arusha, Tanzania
Mechi ya kujiweka sawa pre season kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani yatakayoanza tarehe 25 september 2021 league ya Tanzania na baadaye michuano ya...
Makocha wote wa Simba Gomez na Matola hawakuwa na sifa za kuwa makocha wa timu kubwa kama Simba kwa mujibu wa mashindano ya CAF na FIFA hadi hadi kulazimika kuzuiliwa na CAF kwenye mashindano...
Katika kuonyesha kuwa lile Rungu la Kichwa lililompasua Kichwani na Komandoo wa Yanga SC Uwanja wa Mkapa limemchangasha Ubongo sasa Msemaji wa Rivers United FC Charles Mayuku kaja Pigo la...
Kuelekea siku ya Simba day wewe mpenzi wa soka Nchini je unamajibu ya maswali haya?
1, Je simba itaendelea kuwa bora kama msimu uliopita?
2, maingizo mapya kikosini yataleta tija kama matumaini...
Mimi mwanayanga ile zile pass zimenitisha.
Wale jamaa kila mtu anajua kupiga pasi na ikafika.
Jana refa alikuwa wetu. Na kama mnavyojua mpira wa africa kila mtu anabebwa na refa akiwa kwake...
Nani asiyeipenda simba ukiachana na wavuta bangi ?
Nenda kwa wanalamba lamba watakwambia simba baba lao
wanajeshi wa mpakani huwaambii kitu kwa mnyama
Sasa Caf wameanza kuisogelea simba
washajua...
Pimeni leo hapo Muhimbili hiyo Covid-19 yenu ila mkifika tu Kwao nchini Nigeria 85% ya Wachezaji wenu watakutwa nayo na Kuna uwezekano Golini akakaa Hersi, Kiungo akacheza Haji na Ushambuliaji...
Tupo ukingoni mwa msimu huu 2020/2021 ambapo ligi mbalimbali zinaenda kufikia tamati. Kufika tamati kwa msimu huu, ni maandalizi ya kuingia msimu ujao.
Tayari baadhi ya timu zimeshaanza kutoa...
Siku zote Watu wa Simba SC ambao 99.99% si tu kwamba ni Wasomi bali pia tumebarikiwa Akili Kubwa ili tuweze kutoa Elimu kwa Mashabiki wenye bahati mbaya ya kuwa na Upeo mdogo pamoja na Uelewa...
Habari wanaJF,
Naomba kwa yeyote anayejua full team (kikosi cha simba na kikosi cha Yanga) na jezi namba za wachezaji msimu huu 2021/2022 anitiririshie hapa.
🙏🙏🙏
Vs Roma..(7-2)
Vs Rb Leipzig..(5-1)..cjui Bila
Vs Southampton..(9-0)
Vs Leeds..(5-1 6-2)
Kamaliza wa 2 kwny league..na lose 6 sawa na champion..
Kafika fainali EUROPA..[emoji23][emoji23]..(tukakaa...
Wachezaji hao wamepata upenyo huo baada ya ndege yao kutumia uwanja wa kimataifa wa Orly, jijini Paris kama kituo, ilipokuwa ikitokea Morocco ikielekea Algeria, walipochuana na Niger mapema mwezi...
Kwa kubonyeza hapo chini utaona ratiba nzima ya mechi za Yanga kwenye ligi kuu Tanzania bara.
Ratiba mechi za Yanga Ligi Kuu TPL 2021/2022, Ifuatayo ni Ratiba ya Yanga msimu huu 2021/2022 ,Mechi...
Ratiba mechi za Simba Ligi kuu TPL 2021/2022.
Simba Sports Club watoto wa Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Walizaliwa 1936 as Queens, baadaye club ilibadilisha jina na kuitwa Eagles, baadaye...
Nilishasema kuwa kuna Kazi iliyo nyepesi sana Kwangu Mightier ni ya Kufuatilia Habari ngumu na zinazofichwa ndani ya Klabu ya Yanga.
Kwa taarifa nilizopemyezewa na Mmoja wa Waandamizi wa Yanga SC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.