Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kama ambavyo tweet inavyoonesha hapo juu, Mbwana Ali Samatta amerudi nchini Ubeligiji, na safari hii akijiunga na klabu kongwe nchini humo, yaani Royal Antwerp! Kwa wafuatiliaji, bila shaka...
6 Reactions
25 Replies
5K Views
Haya sasa ile siku imefika tupia utabiri wako hapa. Utabiri Wangu Huu Hapa Yanga 0 Rivers United 2 Tiririka Mdau
8 Reactions
54 Replies
4K Views
iwapo mechi ya ccl afrika dhidi ya Nigeria Yanga watapoteza na kutoka kwenye mashindano na kisha mechi ya ngao ya jamii Yanga afungwe na simba huu ndiyo utakuwa mwisho wa haji manara !wana Yanga...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Kiukweli utakuwa mnafiki sana kuwalaumu wasomaji wa gazeti la Mwanaspoti na wasikilizaji wa Efm ambao hadi leo najiuliza wana akili gani za matope kudhani Maulidi ni mtu sahihi wa kuwa anchor wa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Chonde chonde viongozi wangu hasa GSM itilieni mkazo mechi hii na msipoanglia kwa umakini inaweza ikawa chanzo cha nyie kuondoka Yanga. Atleast yanga hiii inatakiwa kufika group stage caf...
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Yanga itacheza na Rivers Jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tanzania inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka. Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye...
31 Reactions
105 Replies
8K Views
Taarifa za michezo ya Ndondo Cup kuchezewa uwanja wa Kinesi badala ya Bandari haijatolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar kama baadhi ya wana JF wanavyo ihabarisha umma wa wanamichezo na kuhusisha jambo...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Habari zenu wana michezo mliomo humu ndani, hakika msimu wa mwaka 2020/2021 umeisha na pongezi kwa timu zilizoweza kufikisha malengo kwa asilimia mia moja na waliokaribia asilimia mia. Ila pole...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wana JamiiForums, naamini kupitia hapa ntaweza kujua tofauti kati ya Grand Prix Na Formula one. Asante sana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msemaji mkuu wa Yanga bwana Haji Manara ameongea na waandishi wa habari na kuwahakikishia mashabiki kuwa Yanga itaibuka na ushindi mnono siku ya jumapili dhidi ya timu ya Rivers united kutoka...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Sasa ni wakati wa timu ya Yanga kujifunza kuhusu mechi za nyumbani,hii spirit ya Simba ya "Hatoki mtu kwa Mkapa" imefanikiwa kwa asilimia 100 Simba wamejenga imani mechi za nje wanaweza kupoteza...
12 Reactions
22 Replies
2K Views
Kiukweli ukiangalia namna GSM na viongozi wa Yanga wanavyoendesha timu kiukweli inashangaza sana. Nilitoa uzi hapa nikiziomba timu zetu zinazowakilisha nchi zijikite kwenye maandalizi ya uhakika...
21 Reactions
69 Replies
6K Views
Nyie Yanga ili muweze kusonga mbele CAF tumieni slogan ambayo Simba huwa wanaitumia kwenye mashinda ya CAF Pia ua galagaza ,iwe mvua au jua ,kwa Mkapa hatoki mtu Na kama mnaanzia nyumbani...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Nitawalaumu kwa umakini mdogo mlioonyesha leo kufumania nyavu, nafasi 4 za wazi zingetosha kuwafanya muondoke na ushindi Leo hii, huwezi kupoteza nafasi kama hizo halafu ukategemea eti usonge...
1 Reactions
8 Replies
776 Views
Kwa kweli nimeumia sana niwe mkweli, hawa Rivers nao ni wa kutufunga kweli? Sawa tulifungwa lakini makosa haya yamechangia 1: kocha alijua wazi na kuona namna mukoko na zawadi hasa hasa zawadi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Maandalizi hafifu ndani ya uwanja huku nguvu kubwa ikiwekwa katika kutimiza malengo ya wadhamini ambayo ni kuuuza bidhaa zao kwa kuwekeza zaidi katika njia ambazo kwao walizani zitaweza kutangaza...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Igweeeeeeeeeeee Hatimaye file limefika kwa waziri mkuu Jana kabla ya kuahirishwa kwa vikao vya bunge, Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa alipongeza juhudi na mafanikio yanayofikiwa na wanamasumbwi wa...
6 Reactions
54 Replies
4K Views
Masaa mawili kabla ya mechi ya leo .wachezaji 3 tegemeo wa Timu yw Nigeria walizuiwa kucheza . Kisingizio ni Covid. Yanga mjiandae kwa shughuli kamamlioifanya kwa Mkapa leo!
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Bondia wa ngumi za kulipwa Evander Holyfield(58) ambaye alistaafu mwaka 2011 alirejea ulingoni na kupambana Septemba 12, 2021 katika pambano la maonesho ambapo alipambana na Vitor Belfort(44)...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1, Aina ya sajiri walizofanya kikosini na muda wa maandalizi watawapa mashabiki wao kile walichokimiss kwa muda mrefu ? 2, Kuwakosa Khalid Aucho, Djuna na Mayele kunaenda kuiathiri vipi Yanga ...
0 Reactions
6 Replies
684 Views
Back
Top Bottom