Habarini Wadau!
Hili jukwaa limevamiwa, uyanga na usimba umetawala na kupoteza ladha ya jukwaa la sport. Kila siku yanga na simba, mara oh Manara, gsm, mo n.k.
Ukiingia tu jukwaa la (Sport)...
Kuna clip Manara akiwa kwenye Press ya Yanga jana wakiwa meza moja na Bumbuli kabla press haijaanza wakawa wanaongea bila kujua wanarekodiwa.
Manara: Nini hiki?
Bumbuli: Hawa si ndo wadhamini...
Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua kuwa watu wanazi sana wa hizi timu huwa hawako timamu kichwani.
Ukiona mtu muda wote au zaidi ya asilimia 70 ya maongezi yake ni Simba na Yanga. Muda...
Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala...
Nadhani Watu wengi mmebahatika Kuisikiliza Clip inayosambaa kwa Kasi sasa Mitandaoni ya Ridhiwani Kikwete ( MB Chalinze ) hivyo nami nitaweka tu hapa Nukuu zake Tano tu zenye maana na umuhimu...
Baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kumtaja kocha mkuu wa Simba, Didier Gomes kukosa sifa za kukaa benchi la ufundi la Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa kutokana na kukosa sifa, uongozi...
Wakuu
Tunaelekea msimu wa 2021-2022
Wachezaji wameshajua hali zao, ligi na timu watakazochezea
Sasa naona imekuwa kimya kirefu kwa mchezaji wa yanga balama mapinduzi tangu alipoumia na...
Hakika aliyewahi kusema Africa is dark continent hakukosea kabisa
Africa hii naiona bado iko gizani, huko barani Ulaya na America mashabiki wameruhusiwa kuingia viwanjani pia mechi zote za kombe...
Ndio kuna biashara,ndio kuna pesa. Lakini kumbukeni kuna utu na heshima mbele za watu.Zaidi ya yote kuna Akhera.
GSM mnajua kabisa huyu mtu ana msongo mkubwa wa mawazo baada ya kufukuzwa Simba...
Leo kwenye kipindi cha sports HQ kinachorushwa na E-fm aliyewahi kuwa msemaji wa club ya simba 'simba sports club' Ndg. Haji Manara ameweka bayana kuwa hajawahi kuipenda club hiyo na hajawahi kuwa...
Kwa mashabiki wa mpira
jamani huyu mswiss ni nuksi
Nilianza kumfuatilia kuanzia michuano ya Euro 2016
alikua ndani ya timu ndogo ila yeye ni mkubwa timu yake ilitoka makundi ila alikuwa ndani...
Aisee saa hizi Maulid Maulid amempiga mwenzake teke, jamaa kalala kwa zaidi ya dk 2, ameamka hajielewi kabisa hata wakati mshindi anatangazwa jamaa alishindwa kusimama.
Hii ni ligi nzuri napenda...
Habari za leo wana Jf.
Hakika ni ijumaa njema yenye baraka.
Hivi karibuni nimefika eneo moja la michezo ya watoto hapa jijini.
Awali lilikuwa limefungwa kwa ajili ya ukarabati kwa sasa...
Kwemaa ,wakuu ..
Naomba msaada nahitaji application au website za kuangalizia mechi online, maana nipo sehemu ambayo hakuw uinyeshaji wa mpira, kwa week kadhaa nmekuwa namiss bundesliga
Ila leo...
Simba walibaki na option 4 kuuu ,Horoya, mamelodi, al hilal, al ahly nTp mazembe
Baada ya hao jamaa wa congo(MABINGWA MARA TANO AFRICA) kutangazwa kumezuka maneno ya MAMA J FC kwamba mazembe...
Aliyekua kocha mkuu wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan, Mfaransa Didier Gomes da Rosa amejiunga rasmi na klabu ya Simba Sports Club.
Kocha huyo ametangazwa leo na mtendaji mkuu wa klabu ya Simba...
Tukiweka Kumbukumbu sawa ni huyu huyu Haji Manara (Msemaji mpya wa Yanga SC ) alipohamia huko alijigamba na Kujimwambafai kwa kila namna kuwa hakuna mwana Simba SC anayemuweza kwa Kuchafuana na...
Huenda Djuma Shabani na Aucho wasiwe sehemu ya kikosi Cha Yanga kitakochokikabiri Rivers United wikiend hii baada ya kuenea kwa taarifa kuwa CAF wamewapa taarifa hiyo Yanga, kufuatia timu zao za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.