Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wadau wa soka! Hivi hakuna link yoyote mpaka sasa ambayo itakuwa hewani hapo badae ya game ya Young Afircan kwa Mkapa?
0 Reactions
7 Replies
755 Views
Ipo siasa iliyopotea njia ndani ya nchi yetu. Ipo mikakati mfu yakiwekezaji isiyo na tija kwa Taifa letu. Wapo watu wanaamini kila Jambo lazima tuwe na viongozi wanaoongozwa na mfumo wa kisiasa...
10 Reactions
19 Replies
3K Views
Mpira umeanza kuwa na mashabiki wengi sana hapa bongo ushaanza kuovertake bongo flavor usishangae baada ya miaka kadhaa bongo flavor ikageuka kuwa bongo movie kwa kukosa mashabiki. Wasanii...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Timu ya Biashara United imefanikiwa kuifunga timu ya Dikhil ya Djibouti kwa 0-1 . Biashara iliyochelewa kuwasili nchini humo ilifika Djibouti leo Alfajiri na kuibuka na ushindi kwenye mechi...
11 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeona na kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii leo Club ya Yanga wakitangaza viingilio vya mechi yao ya Jumapili ili khali wakijua wazi kuna zuio kutoka CAF kwa vilabu vyoote...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Bondia Hassan MWAKINYO ameweza kupanda kwa nafasi mbili kutoka kuwa bondia NAMBARI 13 na sasa ni bondia NAMBARI 11 duniani katika uzito wake wa walterweight....
4 Reactions
32 Replies
5K Views
Siyo maneno yangu, kuna timu zina makocha MEMKWA.
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Wa jamii jana tuliomsikia mmoja wa watu wa biashara united ,ndg wabare,lakin cha ajabu uyu mwandish alibadilisha maneno ambayo ndg wabare alisemea wapinzani wake ,kuwa alisemea timu yake.huu ni...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kitendo cha Klabu ya Yanga kuja na Taarifa ya Pole kwenda kwa Simba SC, Wapenzi wa Simba SC na Familia yake Marehemu kama Mdau mkubwa wa Simba SC nimekipokea kwa Picha iliyo Chanya kabisa. Yanga...
11 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna mtu mmoja shombe shombe (chotara/zero point five), yeye ni mmoja wa watu wenye ushawishi ndani ya klabu ambayo zamani iliitwa Sunderland. Huyu mtu ni mmoja wa wadau muhimu wa sekta ya...
24 Reactions
118 Replies
26K Views
💰 £187m in shirt sales 👕 Fastest selling shirt in Premier League history 🙌 Almost twice as many ‘Ronaldo 7’ shirts bought than ‘Messi 30’ shirts 🤑 Man Utd recouped entire transfer fee before...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama ni kweli Simba wanambembeleza yule, i will dedicate my time kuitukana simba na kuhamia utopolo kwa mkopo, this is absurd. Yani huyu mtu aliyeondoka simba kwa matusi akafanya interview huko...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Sio mbaya leo weekend tukakumbushana majina mbadala ya timu za mpira wa miguu hasa za bara letu la Afrika. Itapendeza Ukataja bila kuzama Google we taja ukikosea watakuja wengine kufanya...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Nakumbuka enzi ya mgogoro wa mizani na malori ya mizigo, mtukufu akiwa waziri mwenye dhamana na mizani ya barabarani, ndugu Hans Pope alimtolea lugha ya dharau sana mtukufu. Hapa naangalia ITV...
5 Reactions
120 Replies
30K Views
Niimekuwa nikifuatilia kipindi cha michezo cha Wasafi redio baada ya kuondoka kwa Mkuu wa idara ya michezo ya WASAFI Redio Maulid wa Kitenge kutokana na mapenzi niliyokuwa nayo na Redio hiyo hasa...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Tupo Nyumbani na pamoja tumepata zuio la kutowatumia nyota wetu watatu bado tuna watu... Makambo .....Moloko....Yacouba.... Bangala.....Mukoko......Ntibazokiza... Wananchi vita hii tunakwenda...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwa fedha alivyoipAtA GSM, YAnga tunashindwaje kusajili wachezaji wa maana?. Huku Simba ikichukua wachezaji wenye record kubwa. Yanga tumewekeza kwenye propaganda hakuna uhalisia. Aliyeisaidia...
15 Reactions
76 Replies
6K Views
Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika timu zao kwa kukosa vigezo vya leseni ya CAF A na UEFA PRO. Didier...
8 Reactions
86 Replies
10K Views
Leo April 30, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa amri kwamba mwenyekiti wa usajili wa Simba SC, Zacharia Hans Poppe na Franklin Lauwo wakamatwe na wafikishwe mahakamani kuunganishwa...
3 Reactions
158 Replies
59K Views
Back
Top Bottom