Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuna mpango mkakati uko juu unaandaliwa. Mpango huo unahusisha kuvitumia vikamilifu vyama vya michezo mbalimbai nchini hasa Mpira wa miguu ili ku-push idadi ya watu ambao hawaja chanjwa ili...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
30 September 2021 Cologne, Germany KEVIN JOHN 'MBAPPE' AWEKA REKODI UEFA CHAMPIONS LEAGUE Samenvatting UEFA Youth League - U19 // 1 FC Köln - KRC Genk: 2-4 KRC Genk is a power bank for talent...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
[emoji404]Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema kuwa serikali imempatia uraia wa Tanzania mshambuliaji wa klabu ya Simba SC, Kibu Denis kwa mujibu wa Sheria ya Uraia, Sura...
1 Reactions
2 Replies
16K Views
Mpira Umeanza 05' Yanga 0 - 0 Geita Gold 16' Goal: Moloko anaifungia Yanga goli la kwanza Ni Jumamosi Tulivu yenye Bashasha, Leo Tena Timu Ya Wanainchi Ikiwa Kwenye Uwanja Wake Wa Nyumbani Kwa...
4 Reactions
223 Replies
15K Views
7. Sancho 8. Pogba 9. Ronaldo 10. Bruno 11. Rashford Iv Epl kuna timu ina forwadline kali kama hiyo? Halaf et inateseka kupata matokeo[emoji23] Fukuzen yule kocha wenu matako hajui chochote pake...
4 Reactions
10 Replies
903 Views
Nilikuwa napitia google drive, nimekutana na vitu vilivyonifurahisha sana. Lakini kubwa ni hii video ya goli la Emmanuel Okwi dhidi ya ES seteiif ( sina hakika na spellings), nimejikuta...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
The media went for the story!
2 Reactions
6 Replies
580 Views
Let say mchezaji X ana kadi mbili za njano alizopata kwenye mechi zilizopita katika ligi .kanuni zinasema ukifikisha kadi tatu za njano,hautacheza mchezo unaofuata.swali,ikitokea mchezaji X...
0 Reactions
1 Replies
36K Views
Kama kuna Mechi ambayo kwa msiojua wengi wenu kwamba Simba SC imefanyiwa kila Hila na Kampeni ya Kimkoa na Kibunge ili iziache Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) zote pale Makao Makuu ya nchi Mkoani...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Makolo tangu mechi ya kigoma na yanga hawawezi kushinda mpaka refa afanye mazingira ya kuwatoa wapinzani kwenye mchezo kwa kutoa kadi nyekundu, Makolo hawaamini kama timu yao Haina ubora tena...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Kwa lugha nyepesi au ngumu waweza kusema s kuwa safari ya mafanikio ya simba kwa sasa ipo kwenye hatua ya mwisho kwa kutumia mfano wa bidhaa sokoni. Product life cycle ina stage zipatazo nne:- i...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Mlezi mmoja team yake ili struggle kupata nauli ya kwenda Djibout na wachezaji watano hawakuwa na passport wakafika Djibout siku ya mechi wakashinda wakarudi dar wakashinda leo wako round ya...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Vyanzo vyangu vya kuaminika vimeniambia njia ya kuhujuma Simba Sc imerahisishwa. Ni kuwafanyia fujo kubwa uwanjani kwa malipo ya milioni 10 kama fujo zitaleta tija. Fedha hizi zimekuwa zikiahidiwa...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa kweli na miss sana Ufm kwenye kutangaza hizi mechi, bahati mbaya haya majamaa ya tbccm yameshinda tenda ya kutangaza ligi redioni. Yaani kwanza mechi zote lazima dakika 5 zinapotea kwenye...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kocha Fred Minziro huyu huyu ambaye wakati akifundisha Ruvu Shooting na kuna Kipindi alifundisha Mbao FC na kila alipocheza na Yanga SC alikuwa anapanga Kikosi dhaifu na akifungwa anacheka na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu Chief Hangaya Anaupiga Mwingi. Sasa Azam Tv Baada ya Kuona Wenzao Dstv wamepandisha vifurushi vyake mwezi Uliopita(Wa September) basi na wao AzamTv wamepandisha vifurushi vyake. Kile...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Leo nimejiridhisha kwamba kumbe hakuna striker pale Simba kama Kagere , ni vema kocha wa simba akalijua hilo , kunyoa kiduku kwa Mugalu au kufuga mcheche kwa Boko kusimdanganye kocha . Simba...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Ujumbe uwafikie nyie wachezaji wetu kuweni makini sana watu wameumia miaka 4 wkajiaminisha kwamba baada ya usajili wa lopolopo anayeogopa jua kwamba wanaenda nusu fanali ya CAF maana wanaamini...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Basi tuone kama watatoa ahadi pia kwa Yanga na Azam.
3 Reactions
11 Replies
956 Views
Nimesikitishwa na mchezo wa Dodoma jiji kwa kuwa waliimgia na nia ya kuumiza wachezaji.Huu uhuni unaratibiwa na kitimu chenzao kidogo ila kikongwe.
8 Reactions
60 Replies
3K Views
Back
Top Bottom