Hili jina la hii timu itakayocheza na simba litawasumbua sana mashabiki wa simba hasa kama watafungwa..,mashabiki wa yanga hawatakua na kazi kubwa sana ya kutengeneza kejeli za maudhi dhidi ya...
kaongea mengi msikilize mwenyewe ,audio ina dakika tatu, kwa kifupi anasikitika sana team yake ya utopolo fc haipo serious zaidi ya propaganda za media na mitandaoni kuongelea jezi za machampion...
Kanda ya Unaf washatoa mshindi anayeenda champions league ya wanawake africa , wana simba tuna matarajio makubwa simba ashinde zone ya cecafa huko nairobi next month na kukata ticket ila jana...
Jambo hili ni muhimu sana.Utakuta mtu anafanya personal attack kwa muwekezaji na biashara zake kisa alinyimwa mshahara anaoutaka.
Jambo hili ni ugaidi wa kibiashara na lisipoangaliwa vizuri...
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anayepinga uwepo wa matangazo kwenye jezi ila wengi wanaopinga wanapinga kwa hoja zifuatazo.
1. Mpangilio wa matangazo, matangazo kwenye jezi ya simba...
Mwaka 2008 Taifa Stars enzi za kocha Marcio Maximo. Enzi hizo mapenzi ya Watanzania kwa timu ya taifa ni 100%. Kuna mkasa mmoja ambao leo umenifanya nimkumbuke Cannavaro mara baada ya kumuona...
Daaahh.... Kila jersey ya Yanga moja yanga inapata faida ya Tsh 1,300. Msimu unaoisha Yanga iliingiza tsh 45,000,000 kupitia jersey. Kweli?
Kweli jamani Mnajua wakati mwingine mnasahau mnadhani...
Yaani GSM umefikia hatua ya Kulazimisha Yanga SC icheze Mechi za Kirafiki kisha mnazungumza na Mabeki wa hizo Timu wamuachie Mayele afunge Magoli ili asionekane Mzigo na kama mmesajili Garasa tu...
Kocha nabi anataka wachezaji wake wafanye mazoezi kwa siku mbili katika uwanja wa Mkapa.
Sasa CEO genius anafeli wapi jamani maana tarehe 7 ni Taifa stars vs Maurtania ina maana tarehe 6 kisheria...
Baada ya jezi za Simba SC kutoka nimeamua kuja na uzi kwa wale wapenzi wa kuvaa jezi tujadili kwanini timu za Tanzania hazitoi jezi kwaajili ya matumizi ya kila siku kwa mashabiki.
Kabla ya...
Hii ilitokea baada ya mwanayanga mmoja kuingia ghafla chooni na kumsikia Manara akicheka. Alipomuuliza Manara alikataa kuwa hakuwa akiicheka yanga. Ila alikuwa anawacheka simba kwa kutoa draw kule...
Mo Foundation ikiwekwa kwenye jezi full kulalamika kumbe na wewe ulizindua ya kwako iko wapi sasa? Na pafyumu ulizowadhulumu wahusika milioni 37 ziko wapi?
VIDEO: HAJI MANARA AFUNGUKA JINGINE...
MAKOLOKOLO YAO NIMEYAPATA KABLA YA WAO KUZINDUA
Shukrani zote ziwaendee majembe wangu majasusi waliopo katikati yao. Walijidai wana siri wakati najua kila kitu wanachofanya.
Sasa rafki yangu...
FULL-TIME Scores: π
#Netherlands 4-0 #Montenegro: Van Gaal's men thrash visitors, Depay strikes twice π
#Ukraine 1-1 #France: Martial cancels out the stunner but Les Blues struggle again π³...
#Brazil vs Argentina has been stopped, 4 Argentina players who arrived from #England have reportedly broken immigration rules and are illegally in the country. π³π€¦ββοΈ
Brazil vs. #Argentina has...
Kwa wachambuzi wa mpira wa league ya Bongo hakuna wa kufikiria uyu jamaa yupo vizuri sana hasa kwa kujenga hoja na kiufundi achana na hao wengine wenye blah blah nyingi kama wa kina ambangile.
Tunaandaa mkakati wa mawasiliano wa klabu ambao utatusaidia kuhakikisha wana Simba wanapata taarifa kwa haraka kila wakati.
Huko tunapokwenda inatakiwa Simba hata ikiwa na afisa habari bubu mambo...