Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Twendeni taratibu wana Simba muda bado upo. Fred ashauriwe kufungua matawi mengi Dar ili kuepusha msongamano. Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba SC,🦁 Babra Gonzalez 👸 amesema kuwa baada ya kuingiza...
19 Reactions
60 Replies
12K Views
Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Yes I said it, lowest ranked clubs ndipo utapu tapu au utopolo fc wana po belong ,vilevile karibuni sana team ya Nigeria tutawapa ushirikiano wa kutosha. Wachambuzi TAKATAKA kina Priva na kitenge...
9 Reactions
36 Replies
4K Views
Jezi namba 7 pale katika viunga vya Old Traford Manchester United huwa inajulikana ni ya nani 😇 Ronaldo na tayari kachukua namba yake huenda Cavan akavaa jezi namba 21 ambayo anaitumia timu taifa...
7 Reactions
34 Replies
5K Views
MWENYEKITI wa Yanga SC, Yussuf Manji jana amekutana na wachezaji wa timu hiyo na kuwalipa posho zao za msimu uliopita – lakini pia ameunda Kamati mpya ya mashindano baada ya kujizulu kwa Isaac...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Ili kuondoa kisingizio kisichokuwa na sababu ya msingi ya kumkwepa Twaha Kiduku. Ninashauri liandaliwe Exhibition Fight kati ya Hassan Mwakinyo vs Twaha Kiduku. Exhibition fight hakuna bondia...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jambo hili limewakera mno wanasimba mtandaoni ambao hawaja acha kuonyesha hasira zao kwa viongozi wao. Timu kubwa Kama Simba ku ahirisha shughuli?what is going on?
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni kweli kwamba kama pambano lile lingemalizika kwenye round ile , bila shaka Mwakinyo angeshinda kwa points , maana alipeleka ngumi nyingi za maana kwa mpinzani wake. Lakini kilichonishangaza...
15 Reactions
101 Replies
9K Views
Takribani jezi elfu arobaini na mbili za mabingwa wa Tanzania Simba sports club zimepigwa bei kwa siku moja. Hii ina maana kwamba ikiwa kila jezi imeuzwa kwa 30,000 basi almost 1.26Billions...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hali si shwari huko Lamba lambani baada ya kumpa mlemavu nafasi ya kutukana matajiri. Sasa matajiri nasikia wanapanga mechi zao kuoneshwa na Dstv kuanzia tamasha la Simba Day mpaka mechi za...
21 Reactions
147 Replies
20K Views
Mwanamasumbwi wa kike raia wa Mexico, Jeanette Zacarias Zapata amefariki dunia baada ya kupita siku tano tu tangu kupokea kipigo cha ‘KO’ ulingoni. Jeanette Zacarias Zapata, 18 aliyefariki...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Bondia mmoja wa nchini Australia, Dwight Ritchie amefariki mara baada ya kutoka kwenye mazoezi. Bondia huyo mwenye umri wa miaka 27, na baba wa watoto watatu alikuwa ana mapambano na Michael...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kamwaga na usomi wako leo hii unalaumu Yanga kuvujisha jezi za Simba. Usuri wetu haupo kwa kuwakaribisha watu wa hovyo type ya kina mwijaku ndani ya klabu yetu hususan mambo ya Jezi. Wewe...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Wakazi wa Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wamesema kuwa Mmiliki wa eneo la Avic Town ambako ndiko Klabu ya Yanga kupitia Mdhamini wao...
7 Reactions
74 Replies
44K Views
Hassan Mwakinyo Vs Julius Indongo Rounds: 12 Winner: Mwakinyo kwa KO Title: African Boxing Union Super Welter Stay there! Matokeo yatawekwa yote ya mapambano ya utangulizi hadi main card Pambano...
3 Reactions
182 Replies
16K Views
Jezi ipi kali kati ya Simba na ile ya Yanga kwa msimu huu 2021/22
5 Reactions
65 Replies
8K Views
Azam tv nawapongeza kwa kuandaa mapambano ya boxing na kusababisha mchezo huo kuwa na mashabiki wengi Ushauri wangu ni kuwa mnatakiwa muwe na kipindi ambacho kinatoa elimu ya boxing kwani...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wa boxing naomba kujuzwa kwa anayejua muda wa pambano kati Mwakinyo na Julius Indongo. Leo Mwakinyo atakuwa na mtihani mkubwa maana mpinzani wake siyo wa mchezo mchezo.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom