Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) alipokuwa Yanga SC... "Haji Manara hana uwezo na bado kabisa hajaweza kumfikia Antonio Nugaz kwa Kuhamasisha, Kushawishi na kupiga Madongo ya maana na huyu ndiyo...
7 Reactions
5 Replies
1K Views
Haki ya Mungu CEO Senzo hata kusimamia tu utumiaji wa jezi hawezi halafu wachambuzi takataka wanakuambia jamaa ni kichwa kishenzi yaani wanasema alikuwa kamati ya maandalizi ya world cup jamaa ni...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Hao jamaa wameteuliwa kwenye kamati ya mashindano au ukipenda unaweza kuuita kamati ya roho mbaya,makolo mkae kwa kutulia
8 Reactions
56 Replies
6K Views
Ni Siku ya wananchi KAPUMBU katia doa, wamechukua msukule, walidhani wametukomoa, SIMBA ya kimataifa wenzetu team ya mkoa, ZANAKO wamechomeka YANGA wameshindwa kuchomoaaa, hayo Ni maneno ya mwanzo...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Yanga hali si shwari tena. Kambi mbili zinavutana. Upande huu ni uongozi uliochaguliwa na wanachama (Msolwa & Mwakalebela) Upande ule ni wa wadhamini GSM ( Engineer Hersi &Senzo) Upande wa...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Wadau wa mechi umofia. Nimeambiwa Taifa Stars 1 na DRC 1,ila somebody Lilayanti Lusajo yuko powa Sana sijui anachezea timu gani,ametoa pasi ya goli. Kila la heri Taifa Stars
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani kama hauna popcorn kanununue haraka sana tena shushia na MO juice na kama una roho ndogo basi katafute Mo energy upate nguvu, Mzulu keshaanza mambo yake huko vyura vyurani bora hata anko...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Bondia Hassan Mwakinyo amesema bondia wa ndani ya nchi anayetaka kupigana nae aende mazoezini Ametoa fursa hiyo kwa yeyote na kama mtu hana nauli atamlipia ili wajaribiane Mwakinyo alishaweka...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
ilikuwa 2003 mabingwa watetezi wa Africa walipotolewa na Simba SC iliyokuwa chini ya udhamini wa METL kwa usimamizi wa kijana mdogo aitwaye Mohamed Dewji akifuata nyanyo za Uncle wake azim dewji...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Hili dongo lilikuja baada ya lopolopo kutoa onyo mashabiki wa utopolo wasikanyage uwanjani siku ya mechi ya kimataifa ya simba, Picha likaanza tu simba walitoa statement KUSIKITISHWA NA UROPOKAJI...
1 Reactions
4 Replies
741 Views
Simba nguvu moja, Kwa usajiri huu wa msimu wa 2021/22 nachelea kusema kikosi kitapiga pira full package (all flavors inclusive = makolokolo kama yote). Simba ile ilitupa ladha moja tuu "biriani"...
10 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari, Nauliza group iliyopo timu yetu ya Tanzania mshindi atakayeongoza ndiye anaenda kombe la Dunia moja kwa moja? Au kuna mchakato mwingine baada ya hapo? (DR Congo, Madagascar Benin na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika ukurasa wake wa instagram Ndugu Haji Manara aliandika maneno yenye kila dalili ya kejeli kwa Bilionea Mohamed Dewji " Mo". Kuoneshwa kutofurahishwa na jambo hilo, winga machachari na...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Sina la kusema sababu aliyeandika waraka ni jamaa lialia la utopolo hata likitangazaga kwenye tv huwa linalia kabisa utopolo wakiwa wamepigwa na kina kapumbu ***************** Haji Manara Bomu...
16 Reactions
28 Replies
4K Views
Yanga kufungwa na Zanaco wachezaji kumeondoa mapema kiburi cha wachezaji na kujiona mafundi. Sasa hivi kocha ana kazi rahisi kwenye mazoezi maana wachezaji wote walishushuliwa mbele ya halaiki...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mnajifanya kufichaficha wakati juzi Nugaz na Manara walijibizana vibaya na Mmoja Kutukanwa Tusi kubwa hadi likamlevya na Kuota kuwa kapata Ajali. Halafu na Wewe Comrade wangu kabisa Hassan...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Naona shangwe kubwa utopoloni kuhusu Kina Mosha na Bin kleib, hivi nyie watu mshasahau kina kaburu hata hans pope na aveva walichokuwa wanafanya simba? ndicho hicho cha kina Mosha na Bin kleib...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Idiots, dunderheads,imbeciles yaani tushatoka kwenye ujinga wa lopolopo lakini kuna majinga social media yanadai mwijaku na Nugaz wawekwe team ya usemaji kwenye chama letu pendwa la simba sasa...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
dah ila msomali Analiwa hela kizembe sana watu wanachukua samples zilizotumwa kwenye #simba jersey challenge tena wamechukua ile sample mbovu wanaitembeza mtandaoni, unajua haikuwaga siri...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
mwamba kamaliza mkataba wake yanga kuanzia leo Hivyo klabu inamtakia kila la heri Naona wakat wa Haji manara sasa ==== Uongozi wa klabu ya yanga umetangaza kuachana na aliyekuwa Afisa...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Back
Top Bottom