Kuna dalili Kuwa Yanga ikaenda kupasuka pasuka , hii n baada ya Video iliyorekodiwa na Nugazi na mashabiki wa Yanga. Video hyo inasikika sauti ikidai kuwa Msukule wa Simba wamemchukua ( Ifahamike...
Hili jambo halikubaliki na likemewe kwa nguvu zote na TFF na mamlaka zingine , michezo ndio eneo pekee linalokutanisha wananchi wote na wenye itikadi tofauti , kuingiza siasa za ccm ni kuleta...
Najua nitashambuliwa kwasababu watanzania hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.
Kwanza nampongeza alipofika na...
Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda.
Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo
Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya...
Ki ukweli ndugu yetu huyu tunamtetea tu, lakini uwezo wake hauridhishi. Na sio mchezaji wa kwanza kutoka Genk kwenda EPL na kukutana na changamoto anazokutana nazo yeye.
Kuna mtu anaitwa Kevin De...
Jamaa muda huu yupo live kwenye kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, anaulizwa maswali anajibu kwa majivuno na kebehi sana!
Mojawapo ya swali aliulizwa,
Mwandishi: watu na...
Wadau muda si mrefu Yanga watamtangaz Mbatha Senzo kama Interim CEO wa Yanga.
Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza.
Kama CEO je ana report kwa Nani?
Kama ana report kwa GSM, Kwani GSM...
Leo hii Msemaji wa Club ya Yanga Ndg. Haji Manara ali maarufu Msukule au Miss Buzza alikuwa amealikwa kwenye kipindi cha joto la asubuhi kinachaandaliwa na Gerald Hando kupitia redio EfM.
Mpaka...
"Nimenusurika katika Ajali mbaya baada ya Gari yangu Kugongwa vibaya Usiku wa Jana", Haji Manara.
===
HAJI Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo baada ya gari lake kugongwa na kuharibika...
Yaani kweli mlishindwana 15 millions tu kuongezea iwe 50 millions waliyotaka kagera sugar? mbona kuna wakati magarasa ya nje ya nchi yanalipiwa hadi milioni 80?
huyo kijana sasa kakosa kibali...
Mwaka huu yanga watachukuwa kombe la afrika najua kuna watakao bisha but this is the trueth na ninafikiri wengine watanitukana na kusema ninaota na wengine watajiuliza eti kwani itawezekanaje...
Baada ya kuwepo sintofahamu kuhusu usajili wa mshambuliaji nyota wa Kitanzania, Yusuf Mhilu hatimaye klabu yake imetoa baraka kwa mchezaji huyo.
Mhilu alitambulishwa Simba Agosti 4 mwaka huu kuwa...
Hivi huku kujitambulisha kwa Club zetu kubwa za michezo kama SC wakati unawaona ni FC , ili hali hatusikii sports zingine ndani yake kuna maana gani?
Au wana timu za Boxing, Netball, Basket ball...
Mlikuwa mnamdanganya Nani?
Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?
Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf...
Tukiwa tunaenda ukingoni kabisa mwa career za soka za Messi na Ronaldo, hawa jamaa hakuna tunachowadai tena, ila tumalize utata ulimkubali nani zaidi katika wakati wakiwa katika ubora wao?
Mimi...
Ukiangalia magoli yote aliyofungwa ni mipira ambayo golikipa wa kiwango cha kawaida kabisa asingefungwa. Goli la kwanza alishindwa kuinuka haraka na kujiposition kitendo ambacho siyo kizuri kwa...
JICHO LA MWEWE: Haji Manara ni ‘Malaika au Shetani’?
By Edo Kumwembe
HAJI Manara anaingia katika rekodi ya aina yake nchini. Rekodi ambayo unaweza kuiweka katika kitabu cha rekodi ya maajabu ya...
Nimekuwa nikifuatilia mhamasishaji wa timu moja aliyepachikwa jina na waajiri wake la msukule kila mara akipost kuwa eti ana furaha.
Kwa ujumla mtu mwenye kitu huwa mara chache sana kujaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.