Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kama tunataka vilabu vyetu vya soka viendelee tuachane na hawa wasemaji wa klabu tuwe na afisa habari, kwa sababu baadhi ya hawa wasemaji wanaongelea mpaka maswala ya ufundi ambayo ni ya kocha...
3 Reactions
11 Replies
984 Views
Tarehe 24 msemaji wa klabu ya Yanga Haji Sande Manara alitoa taarifa katika hafla yake yakutambulishwa kama msemaji wa klabu hiyo,kuwa tarehe 25 mwezi huu{leo} saa tano asubuhi watazindua jezi za...
5 Reactions
57 Replies
8K Views
Tamasha la Mwanamuziki wa Kikongo lililoandaliwa a Club ya Yanga kama sehemu ya kusherekea mafanikio yao ya ligi katika msimu uliopita kwa kuweza kumaliza nafasi ya pili nyuma ya Mabingwa wa Ligi...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake. Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya...
28 Reactions
102 Replies
13K Views
Wanajanvi. Sina shaka na uwezo wa Haji kwenye matumizi ya kimkakati ya Kimasoko. Ila kwa kutumia jicho la tatu ninaona kama ni kosa kubwa sana kumkaribisha huyu Mwamba pale Jangwani kwa sababu ya...
17 Reactions
79 Replies
7K Views
"Kuna Wanaume wengine Wana tabia za Kike Kike za kupenda Kuwasema Watu vibaya ambao wameishi na kufanya nao Kazi kana kwamba hawakuwa na Mazuri yao au Yeye nae hana Mapungufu yake. Tafadhali...
11 Reactions
16 Replies
4K Views
KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AZINDUA DAR ES SALAAM JOGGING CLUB KWA KISHINDO Katibu Mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi (MNEC) leo amezindua Vijana Jogging Club Jijini Dar Es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiukweli nimeshangazwa. Nimeenda kununua jezi mpya za Yanga GSM mlimani city nikaambiwa jezi hakuna na zinapatikana sehemu moja tu Sandalend Kariakoo sababu Sandalend kanunua mzigo wote wa kwanza...
6 Reactions
29 Replies
5K Views
Wanakutana na Wanigeria kwenye Club bingwa Africa (1st Leg/2nd Leg) 10-12 September / 17-19 September 2021-WATATOLEWA Wanakutana na SImba Ngao ya Hisani- WATAFUNGWA Unadhani nani atakuwa wa...
11 Reactions
31 Replies
3K Views
Adui yako namba moja ni mtu wako wa karibu. Haji alivyokuja Yanga ndiyo atakavyoondoka Yanga. Kama mnadhani Yanga mna siri nyeti ambazo ni mwiko kufahamika kwa Simba na public basi ziwekeni mbali...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu salaam, Kwa Ufupi naomba tutaje watu maarufu kama wachezaji wa zamani, wachezaji wa sasa, Watangazaji wa michezo, wanasiasa n.k. ambao ni washabiki wa Yanga au Simba. Wengi (wahusika)...
0 Reactions
50 Replies
10K Views
"Tafadhali kama kwa bahati mbaya umempoteza au umepotezana na Ndugu yako kwa muda mrefu jaribu kumuangalia katika Jezi mpya ya Yanga SC unaweza ukampata" Chanzo: Mchambuzi EFM na TvE Oscar Oscar...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Tarehe rasmi ya simba day imetoka. Tukutane Kwa Mkapa September 19 Siku itakuwa ya furaha mara mbili maana uto watakuwa washatolewa, wiki moja mbele tunawabomoa tena. Kuna mlemavu alisema hakuna...
22 Reactions
50 Replies
5K Views
Klabu ya Manchester City imezindua sanamu za wachezaji wao wa zamani Vincent Kompany na David Silva kwenye uwanja wao wa Etihad kuelekea mchezo dhidi ya Arsenal leo. Sanamu la tatu la Sergio...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kitu kizuri wameshtuka mapema la sivyo hizi hata wangeuza elfu 2 kwa kila moja hamna ambaye angenunua
11 Reactions
50 Replies
6K Views
DAR ES SALAAM VIJANA JOGGING Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es salaam chini ya Mwenyekiti wake Comrade Mussa Kilakala unawakaribisha Vijana wote Mkoa wa Dar es salaam katika Uzinduzi wa DSM...
1 Reactions
2 Replies
821 Views
Huyu mtu toka ugomvi wake na Bumbuli kazi yake ni kudhalilisha wenzake na mwishowe yeye au watu wake huja kwa kasi kumtetea. *Vs Bumbuli: kisa kilikuwa lopolopo kufurahia basi la la Yanga...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Mnamo tarehe 30/Jan/2021 Baraza la Michezo la Taifa (BMT) liliteua tume ya kusimamia uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania. Tume ilikua chini ya uenyekiti wa Dr Jonas Tiboroah japo mchakato...
1 Reactions
0 Replies
612 Views
Baada ya kufunguliwa dirisha la usajili timu mbalimbali zimefanya sajili ili kuimarisha vikosi vyao. Kuna baadhi ya team zimefaidika na kupata wachezaji baada ya janga la Corona kutokea . Hizi...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom