Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yaani Yanga imekuwa kama CCM. Mfia timu anayetukanwa kila siku kwa kuonesha mapenz yake waziwazi dhidi ya Yanga ameachwa pale EFM kachukuliwa manara aliyeunga mkono juhudi. Jana ulkuwa ukiona...
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Nani yupo tayari tujichange 100,000/= watu kama 20 tu tuunde mikeka nane ya double chance tuichukue tugawane katik kwa kati. Uaminifu kwangu 1001%. Waliopo serious tuuu.
4 Reactions
35 Replies
8K Views
Mashabiki wa Tennis wenye umri kuanzia miaka 12 na kuendelea Nchini Marekani watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata Chanjo dhidi ya COVID19 ili kuhudhuria U.S. Open Wametakiwa kuonesha...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Uongozi wa Simba wekezeni nguvu katika benchi la ufundi na maslahi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba. Tusianze kutafuta mtu wa kuanza kushindana na Haji Manara, era yake ishapita. Tumpe mkataba...
24 Reactions
20 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mchezaji wa Simba SC Luis Miquissone Raia wa Msumbiji ametambulishwa rasmi kama Mchezaji wa Al Ahly ya Misri, mitandao mbalimbali imeripoti kwamba Miquissone atakuwa analipwa mshahara...
25 Reactions
57 Replies
8K Views
Mkutano unaoendelea mda huu wa simba ni uzinduzi wa simba App ambapo kwa maelezo ya afisa habari wa simba amedai ni application ya kwanza japo kama sikosei mtani huwa anayo hii platform...
10 Reactions
65 Replies
8K Views
Mabingwa wa Nchi Mnyama Mkali Simba SC leo Alhamisi ya Agosti 26 2021 wapo Uwanjani Nchini Morocco kucheza na Olympique Club De Khouribga katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki. ====== 00'...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Nadhani Lipo Tatizo kubwa sana kwenye hii cheque [emoji1787][emoji1787][emoji1787] 1. Iyo cheque inakua authorize kwa signature upande wa kushoto [emoji15] lakin kwakua anaitoa mfuko wa kushoto...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Kongole kwa Yanga kuzindua jezi mpya nzuri na bora kabisa. Kongole Makolokolo kwa kuzindua App. Manara ni mtu muhimu sana. Walio muweka pale wana akili sana. Weka pembeni Usemaji, anajua namna...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Sasa ni rasmi klabu ya Yanga ipo mikononi mwa GSM na cha ajabu viongozi wako kimya kabisa. Hawa wote wameletwa na GSM 1. Engineer Hersi 2. Karibu Mkuu Haji Mfikirwa 3. CEO Senzo 4. Haji Manara...
11 Reactions
29 Replies
3K Views
IGWEEEE! Mshambuliaji wetu Godwin Aguda kasajiliwa na team ya Falkenberg inayoshiriki ligi daraja la kwanza huko Sweden,tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya kisoka Vilevile...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa hakika siku zinaenda leo jezi kuwa na wadhamini wengi zinaitwa siyo za mpira, bahasha za khaki ni hatari sana === Sare ya Yanga na uchafu wa jezi ya Al Ahly MONDAY APRIL 11 2016 Summary...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Imetokea nimempenda Hajji Manara kwa mbwebwe zake na ushawishi wake katika Tasinia ya mpili kubali au kataa. Mimi binafsi sio mshabiki wa timu za bongo kwasababu zangu binafsi, ila mke wangu...
3 Reactions
2 Replies
598 Views
Droo ya Klabu Bingwa Ulaya kwa msimu wa mwaka 2021-22 inachezeshwa leo huko Instanbul, Uturuki kuanzia majira ya saa 5pm (BST) au saa 1 jioni (Saa za Afrika Mashariki) Timu 32 zitashiriki katika...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwanza cas wameomba msamaha kwa kuchelewesha Uamuzi wa hukumu iliokuwa itolewe juzi tarehe 24/8/2021.Na wamedai kuwa watajitahidi kutoa hukumu September 21 mwaka huu. Je, hii kesi kwanini...
4 Reactions
4 Replies
997 Views
Kuna Watu kweli hamnazo kabisa yaani Wewe una Mechi ngumu mno ya CAF CL badala ya kujiandaa vyema uko busy Kutambulisha Jezi Vikaragosi zao na Mwali wao Mzungu Pori. Halafu baadae Mwanamume...
10 Reactions
7 Replies
1K Views
Kilichopo zinatengenezwa propaganda nyingi ili uongozi uonekane haufai siku ya Simba Day watu wasijae uwanjani ili ionekane Manara yeye ndio alikua na uwezo wa kushawishi watu kujaza uwanja...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Juventus wanataka kati ya £21m-25m kwa ajili ya Ronaldo, huku City ikitarajiwa kumpa mkataba wa miaka 2. (Guardian) Klabu hiyo ya Italia inatarajia Ronaldo atabakia klabuni hapo lakini wana nia...
0 Reactions
1 Replies
888 Views
▪️Cristiano Ronaldo is 869 days older than Lionel Messi ▪️ Cristiano Ronaldo Jr is 869 days older than Thiago Messi ▪️Cristiano Ronaldo’ second son is named Mateo ▪️Lionel Messi’s second son is...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
YAMETIMIA Kuna Jambo naliona, Ngao ya Jamii Yanga Kucheza na Azam FC Pasipo Shaka Tanzania inaenda kuandika historia yake katika Mchezo wa Mpira wa Miguu, Ni jambo ambalo wengi hawakutarajia...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom