Wengine tulikuja na Threads za kila aina hapa JamiiForums za Kumsema Haji Manara huku tukiwa na Taarifa za Kutosha tu kuwa alikuwa ni Msaliti ndani ya Simba SC tukadharaulika na Kupuuzwa hatimaye...
Vilabu vingi vinatumia baadhi ya wachezaji wao maarufu kuvaa jezi wakati wa uzinduzi tofauti na yanga ambayo imemtumia manara. Hivi yanga hawana wachezaji mpaka imtumie haji manara? kwani jezi...
Mbunge wa Morogoro Kusini, Khamis Tale maarufu kama Babu Tale amesema ataleta gari aina ya V8 ya mwaka 2020 ili kuwashindanisha Hassan Mwakinyo na Twaha Kiduku
Maneno hayo ameyasema baada ya...
Nimejaribu Kuwasihi mno wasifanye wanachotaka Kukifanya kwa Kitendo cha Haji Manara wakanionya ninyamaze vinginevyo nami pia watanijumuisha katika Kafara lao Kubwa wanaloenda kulifanya kwa Usaliti...
Wakuu Usiku Wa Kuamkia Leo Manny Pacquiao amepigwa na Yourdenis Ugas
Naona Pacquiao Kazeeka Sasa
===
Manny Pacquiao was unable rekindle the dominance of his prime, fading in the later rounds and...
Wadau tukio la No kuweka pesa halijapewa uzito unao stahili ukilinganisha na Mambo yaliyo tokea huko nyuma
Binafsi naliona pengo Manara, na hii ni Mwanzo tu. Yule mtu hakua msomi lakini alikua...
Tulijiuliza sana kwanini Yanga wanamtetea Manara humu? Mtu avunje miiko ya kazi halafu kundi la wahuni linamtetea.
Uongozi wa Simba sio wajinga, leo manara anatangaza tamasha la Yanga kuonyesha...
Habari kutoka chanzo cha ndani GSM ni muda wowote kuanzia kesho Luis Miquissone atatambulishwa kama mchezaji mpya wa kigeni kwa klabu ya Yanga.
NB:
Yanga wanafanya mambo kwa pupa na itawatokea puani!
Haji huyuhuyu anaelalamikia uongozi wa Simba, alikuwa analipwa 700k bila vyeti
Manara huyuhuyu ambaye kabla ya Simba hakuwa maarufu shida zake kubwa zilitatuliwa na MO kifedha kama kijana wake...
Ule msemo wa kuwa Siasa haina rafiki au adui wa kudumu naomba leo uhamie kwenye soka!
Mimi binafsi naomba Mo unisamehe, niliaminishwa maneno kuwa wewe ni mbaya na jamaa fulani ila leo nimeamini...
Wote ni viungo wa kukata na shoka katika ubora wao! Wote kwa nyakati tofauti waliweza kucheza nafasi ya box to box midfielder, holding au central midfield!
Nafasi imebaki moja, unampa nani namba...
Hakuna blah blah !
Huo ndio ukweli, na tujue hilo na wanaomnyatia nyatia, kama hauna Bilioni 10 za Kitanzania basi usihangaike hata kumhitaji Miquisson.
Tena hio Bilioni 10 ni TUNAKUFIKIRIA au...
Kuna tetesi kuwa Ezekiel Kamwaga atapishina na Gift Macha pale Simba. Binafsi nashuri club yangu pendwa impe usemaji Masau Bwire mbele ya Gift Macha pale Simba. Nina uhakika kuna kitu ataongeza...
Tulipoona tangazo la PRESS ya leo ya YANGA tulijua majibu ya Morrison ndo yamerudi kumbe wanatangaza ujio wa HAJI MANARA swali ni je WHY MANARA ATANGAZWE katika tarehe ambayo tulitarajia watupe...
Akiwa anafikiria kuondoka kwa @realcloutuschama na luis_miquison kuta leta unafuu wa kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara @simbasctanzania ikamletea wachezaji 4 kwenye nafasi hiyo @dcduncun...
Huyu nia yake ya kujimilikisha Timu ya Simba sasa imekua dhahiri.
Taarifa za ndani zinasema kuwa Dewj anawaondoa watu wote ambao wamekuwa kikwazo katika mkakati wake.
Huyu ametapatapa sana...
Michuano ya Paralympics inaanza leo Jijini Tokyo huku Japan ikikabiliwa na mlipuko mbaya zaidi ya COVID-19 ambao umepelekea idadi kubwa ya maambukizi kurekodiwa na Mfumo wa Huduma za Afya kulemewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.