Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

aliyewahi kuwa mwenyekiti wa FAT taifa Sasa tff bwana Said el MAAMRY amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. ===== MWENYEKITI WA ZAMANI WA TFF, ALHAJ SAID HAMAD EL MAAMRY AFARIKI DUNIA AKIWA ANA...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Mshambuliaji wa Kimataifa na kutegemewa wa Mabingwa wa Soka Nchini Simba,Chris Mugwalu ameuzwa kwenye Club ya Wadi Degla ya Nchini Misri. Kwa mujibu wa taarifa za Mwandishi wetu aliepo Nchini...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini. Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu...
16 Reactions
76 Replies
8K Views
Inawezekana jibu liko wazi ila kwa vile mimi sijui jibu lake nimeamua kuuliza. Yanga na Simba walikwenda Morocco kufanya nini kwa vile hakuna mashindano makubwa ya kimataifa huko. Je, walikwenda...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habar wadau, Miaka yote ukwel husimama sehemu sahihi toka mwanzo Niliwaambia kuwa Mwakinyo ni Mtu muhimu Sana kwenye Tanzania yetu kwani kipaji na uwezo wake ni mkubwa Sana Zaid ya maneno yake...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Septemba 03, 2021, Bondia Hassan Mwakinyo anataraji kupambana na Bondia kutoka Namibia Julius Munyelele Indongo mwenye umri wa miaka 38 katika pambano la kugombea mkanda wa ABU (African Boxing...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Wanahamu na ubingwa hawa sema tu wabahili •Man United watakuwa na kikosi kizuri lakini hawana kocha wa makombe😂 •Man City Target yao kubwa kuchukua ubingwa wa UEFA. •Liverpool kocha atafukuzwa...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Hivi unaikumbuka Chelsea ile ya ubingwa wa mwaka Jana walivyopokea vipigo viwili mfululizo kutoka kwa Liverpool na arsenal na tokea hapo wao walikua ni watu wa ushindi mbaka wakachukua ubingwa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hello Waungwana .Naomba mwenye kujua link ya kuangalia mpira wa Epl anijulishe please. ASANTENI sana,
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Mwaka 2008, nakumbuka nilisafiri kwenda huko Mpanda. Sasa basi tulilopanda, lilichelewa sana kuondoka. Abiria tulianza lalamika. Kondakta wa basi akatujibu 'kwanza hampaswi kulalamika, inabidi...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Herehoa! Leo nimeiangalia hii mechi ya hawa mabondia waliozoea kutambiana, nimefurahi kuona sijapoteza usingizi wangu bure. Pambano lilikuwa zuri Sana. Waandaaaji walijipanga kufanikisha hili...
22 Reactions
82 Replies
7K Views
Leo Simba Sc inaenda kufanya utambulisho ambao bara la Afrika na mabara ya jirani yataenda kusimama. Bonus Mambo anayofanya Peter Banda huko kambini ni hatari mpaka wenzake wanabaki wanashangaa
20 Reactions
63 Replies
6K Views
habari wandugu, nafikiri now ni time ya hawa wanamasumbwi ambao wanafanya vzr, watoane jasho ulingoni, tujue nani ni nani maana wakina cheka ndo hvy washapotea, mapromota tupieni jicho kwenye...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Wakuu Taarifa Zilizopo ni Kwamba Simba wanataka mechi zao za Ligi Kuu zirushwe supersport badala ya Azam TV. Taarifa ni Kuwa Azam wameambiwa kama wanataka Haki za matangazo Kwa Simba inabdi...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Kuna fununu za chini ya kapeti kuwa dogo kashawishiwa na wakala wake anaye msimamia kuwa avunje mkataba kwa maelewano ya pande kuu mbili ili kijana apate kujiunga kwenye upande atakao pata maslahi...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Huyu kijana kwa kweli hana uwezo wa kushinda pambano lolote la ndondi kama kunakuwa na uamuzi wa haki , hajui kupigana , ni vema akatafuta cha kufanya kabla hajauawa ulingoni . Leo kwenye Vitasa...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Jana Azam TV na promoter walio dhamin mapambano sikuona kama walitaka kukuza Mchezo wa ngum na kuuendeleza Bali kuuharibu kabisa Mapambano ya Jana Hasa lile la Mwisho la Mfaume Mfaume kila mtu...
10 Reactions
117 Replies
11K Views
Habari njema kwetu mashabiki wa Rivers utd ya Nigeria, tumemsajili striker refu linalotisha liitwalo Nyimwa Nagua kutoka klabu kubwa ya kano pillars hili jamaa liliwahi kupiga kona na kuiwahi...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ameiambia Mwanaspoti kwamba kama kuna wakati Yanga imesajili timu bora basi ni sasa. Mwamnyeto ambaye sio mtu wa kuongea sana alisema karibu idara zote...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Na K.S.K Heshima yenu wana jamvi, binafsi nimefurahishwa sana na ushindi wa kiduku kwa mara nyingine tena mbele ya dulla mbabe, na baada ya kiduku kubeba crown kumekuwa na hoja nying ya team...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom