Habari zinazozunguka mtandaoni hivi sasa ni kwamba mshambuliaji mahiri wa ureno na klabu ya Juventus anaweza kuhamia klabu ya Manchester City kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili nchini...
Mimi ni shabiki wa Simba maana watu hawakawii kukuita Yanga, utopolo n.k.
Simba chini ya Babra na Mo walimfanyia Haji Figisu and Vice Versa( kila mmoja anamtuhumu mwenzake).
Baada ya Haji kuona...
Baada ya kusikiliza clip ya Haji Manara ni dhahiri shahiri anajiona amekua mkubwa zaidi ya Simba.
Uongozi wa Simba uchukue hatua haraka za kumuondoa kwa mustakbal wa klabu yetu pendwa.
Anasahau...
Msemaji mkuu wa klabu ya Simba amesema Simba siyo baba wala mama yake.
Manara amesema anaweza kujipatia riziki yake kupitia vyanzo vyake vingine vya mapato na si lazima iwe klabuni hapo.
Manara...
Gazeti la Mwananchi limeripoti muda mfupi uliopita kuwa Msemaji wa Klabu Simba Haji Manara alizimia mara kufuatia kipigo cha bao 4 kwa bila kutoka kwa Klabu ya Kaizer Chief ya Africa Kusini...
KLABU ya Yanga imesitisha kambi yake nchini Morocco kwa sababu mbalimbali na baadhi ya wachezaji wakirejea Tanzania jana
huku wengine wakilazimika kusalia nchini humo.
Miongoni mwa sababu...
Na Edo Kumwembe
Mpaka pale tutakapopata sababu ya ukweli ni kipi kimewarejesha Yanga haraka hapa Tanzania kwa sasa tukubaliane na mambo yafuatayo.
1. Yanga wamekosa uzoefu (experience) ya safari...
Wadau mnaonaje Haji Manara akajengewa sanamu kutokana na mchango wake mkubwa aliotoa kwenye Taifa kuwa msemaji Bora Duniani Hadi FIFA wameandika hajawai tokea msemaji Kama huyu tangu dunia...
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo amesema hana mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi, amewataka wanaomzungumzia waache kumfikiria
Mwakinyo anatarajia kupigana na Julius...
1) Eti sababu wachezaji kama nane wataitwa kwenye nchi zao kwa michezo ya kimataifa hivyo timu itameguka
2) Eti sababu kule kambi iliko joto Sana.
3) Eti tuna mechi wiki ya mwananchi na wale...
Mzuka wanajamvi!
Natoa pongezi ya mapema (in advance) kwa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Arsenal FC the gunners kwa kuwa timu ya kwanza msimu huu mpya wa 2021/22 kwa kuongoza ligi...
Jana semaji la Taifa lilitua Morocco kuungana na mdhamini wake ila bahati mbaya kutokana na poor logistics zilizofanywa na wadhamini timu imeshindwa kuendelea na kambi. Sasa sijui semaji nalo...
Mwezi Agosti mwaka 2008, mji wa Beijing uliandaa michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto, ambayo ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa, na kupongezwa na jamii ya kimataifa. Miaka 13 baadaye, mwezi wa Agosti...
Mchezaji wa zamani wa simba, yanga, kagera na stand united baada ya kustaafu kucheza amehamia kwenye Tasnia hiyo akiwa anafanyia kazi clouds media. Kipindi ni kila siku saa 3 usiku na jumapili saa...
Habari wakuu
Nimewasikia Kiemba na Shafih leo kwenye kipindi cha Sport Extra.
Asee Shafih ni mweupe kabisa kwa Kiemba.
Yani kuna muda Shafih alikua anatoa sababu za Namungo kufanya vibaya...
Wachezaji Wanawake Wanatufurahisha wanavyoleta makombe ila wakiwa hawana afya ya kucheza watakuwa na maisha gani?,
Tujiulize tumewaandalia nini?, wengi hawana ndoa na kwa walivyo ndoa kwao ndoto...
Hatimaye Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) John Bayo Ajiuzulu.
John Bayo amejiuzulu baada ya kusakamwa na Sakata la Vyeti Feki, ingawa yeye amedai amejiuzulu ili awe...
Nasikia unapanga kufanya Press Conference yako ya Kutapika Nyongo yako dhidi ya Simba SC hasa Watendaji wake kati ya Jumatatu au Jumanne ijayo.
Nami pia nakuonya mapema sana just ya hili kwani...
Kwanza napenda kukiri kuwa mimi ni mpenzi wa Simba, hata hivyo kuna mambo mawili yamejitokeza wiki hii katika klabu ya Yanga ambayo yanafikirisha sana, na kutia shaka kama kuna weledi
Kutoweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.