Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wale wazee wa mtanange match week 2 Ina endelea leo, vipi umejipangaje? Tuendelee kupeana abc salah nimempa ucaptain leo.. NB: mods mnafuta uzi wetu wa fantasy unashida gani? Nini maana ya jamii...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Leo kama kawa nitakuwa nawaletea updates za pambano hili ambalo kimsingi mmoja ataondoka na gari. Aidha kutakuwa na mapambano kadhaa ya utangulizi. === TWAHA KIDUKU AMTWANGA DULLAH MBABE...
10 Reactions
107 Replies
14K Views
LUKAKU ATAKA JEZI ILIYOWAPONZA WENGI CHELSEA LONDON, ENGLAND. WAKATI Romelu Lukaku anatua Stamford Bridge akirudi kuichezea Chelsea kwa awamu ya pili, kwenye tovuti ya Ligi Kuu England...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanasimba tuamke simba yetu inadhalilishwa na matapeli wanaojiita wawekezaji. Kwa kuwa simba ni timu ya umma sio mali ya mtu binafsi km mwekezaji anavyojaribu kuwahadaa mashabiki mbumbumbu. Ni...
12 Reactions
111 Replies
9K Views
Siyo lazima Simba SC ikienda mahala na Timu zingine Ziige wakati hata Uwezo wa Kipesa hawana. Simba SC ipo Morocco ya Posta Mpya ila kuna Watu wapo Morocco ya Mlandizi na Wachezaji furaha hawana...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa vyovyote vile kuondoka kwa Moquissone na Chama kumeiumiza Simba, no doubt. Miquissone alikuwepo na Banda alikuwepo lakini mmoja kaenda Al-Ahly na mwingine kaja Simba. Tusidanganyane, Banda...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Hakika sijawahi kuona upendeleo kama huu kwenye mchezo huu wa ndondi popote, nimeangalia hili pambano nimeona aibu sana kwa matokeo ya uongo kama haya. Kwa haya yanayofanyika, nchi hii...
10 Reactions
28 Replies
5K Views
TWAHA KIDUKU: MPIGANAJI BORA WA NDONDI KWA SASA TANZANIA. Leo 21:30 hrs 29/08/2020 Twaha Kiduku mpiganaji mtulivu,mchokozi wa ngumi zitakazo kuweka kwenye kumi na nane yake ambayo itakukutanisha...
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Dullah Mbabe atashinda crown leo,Gari halitoenda Morogoro,wale tunawapelekea treni ya mwendokasi.Poleni sana ndugu zangu wa Morogoro,taratibu naomba msivunje TV
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Tangu jioni nimejaribu ku access website yao haifanyi kazi, kwa mnaojua nini tatizo...?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunaosubiri kwahamu pambano la Twaha kiduku na Dulla mbabe, tukutane hapa. Uzi tayari!
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwanza hatokei Congo hapaki bleech Anajua kucheza rafu anajua kupiga pasi kama dobi Ni Sadio Mane na Fedric Kanoute kwa pamoja Ngolo kante simu yake imejaa video clip za sadio Shoot power...
19 Reactions
18 Replies
2K Views
Hapo awali ilikulikana Kama DTB fc saivi ni Singida Fc itakayoshiriki ligi daraja la kwanza(championship) msimu wa 2021/2022 imekamilisha usajili wa nyota wakubwa ikiwemo. Amis Tambwe David...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Watani mpoooo? Hebu zoom kwa kina Hawa katuni, then drop maoni yako kwa kile unachokifikir kimelengwa na mchoraji!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimetafakari kwa muda sababu ya msingi kwanini kocha hakumuingiza Kagere nikapata sababu mbili. 1. Nimehisi sub zinazotakiwa mwisho ni tatu, japo wapo wanaosema sababu ya Corona zinatakiwa sub...
10 Reactions
56 Replies
6K Views
Hizi ni habari za uhakika,kama hutaki acha sikulazimishi
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Yanga wamezoea kuishi kwa propaganda kudanganya mashabiki. Kibaya zaidi nao hawana hata akili ya kushtuka. Walidanganywa sana kuhusu Chama, wakadanganywa kuhusu ubingwa VPL na FA. Leo hii bado...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
CAS: HAKUNA KESI YA MORRISON NA YANGA Klabu ya Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Frederick Mwakalebela alisema kuwa wametumiwa barua na CAS wakitaarifiwa kuwa jaji wa kusikiliza shauri...
1 Reactions
61 Replies
10K Views
Wewe ungeweza? Hilo ni swali unalopaswa kujiuliza au kumuuliza shabiki wa soka au mdau anayehoji kuuzwa kwa waliokuwa nyota watatu kwenye Ligi Kuu Bara kina Luis Miquissone na Clatous Chama wa...
7 Reactions
29 Replies
5K Views
Hawa ndio wameaminiwa Maswali machache Metacha hana timu? Magolikipa wa 4 wa kazi gani? Kaseja yupo wapi? Mkude je? Kibu deniss na Dann lyanga hatujaona kazi yao?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom