Taarifa kutoka Morocco zinasema kwamba kocha msaidizi wa Yanga Sighr Hamad amevunja mkataba na klabu hiyo na hatakuwa sehemu ya benchi la ufundi kwa msimu ujao.
Mbali na kocha msaidizi lakini pia...
Tukirudi nyuma kabisa historia inawatambua kuwa Simba SC ndiyo klabu pekee
Tanzania.
Tukumbuke ishu ya Singano, Yondani, Chuji na Hassan Kessy hawa wote walisepa pale kwasababu ya changamoto ya...
1. Je, Kisheria baada ya jana Haji Manara kuitaja Kampuni ya Azam akiihusisha kuwa na Vita ya Chuki na Kampuni za Mohammed Dewji yuko salama kama aliyeguswa akitaka Kumshtaki?
2. Je, kati ya...
Nimekuwa nikifuatilia usajili wa wachezaji Simba toka Mwekezaji Mo aanze kuifadhili Simba kabla hajaingiza 20b.
Kwa miaka minne iliyopita usajili wa Simba ulijipambanua kama timu hasa inayohitaji...
Kipa wa Simba, Beno Kakolanya leo Agosti 19, 2021 asubuhi amefiwa na mama yake mzazi anayeitwa Eva Mwankusye na msiba upo kwao Isyesye jijini Mbeya.
Taarifa za msiba huo zimethibitishwa na kaka...
Nimesajiliwa baadhi ya wachezaji ambao sikuwataka mfano Makambo. Walisema wanamleta makambo atakuwa na Ajibu walicheza pamoja lakini niliona mtandaoni huyo Ajibu nae amesalia katika club yake ya...
Hawa jamaa bana dah walikuwa wanaringia magorofa eti wako mjini siyo vijijini, jamani ushamba mzigo sana
HALI YA HEWA YAGEUKA KIKWAZO KWENYE MAZOEZI YA YANGA
Kwa mujibu wa kauli ya Afisa habari...
Habari 👋
Siku ya leo nimeona vyema nizikumbushe mamlaka za soka nchini Tanzania katika masuala kadhaa, nitumaini langu baada ya ushauri huu utekelezaji utaanza na msimu mpya 2021/2022...
Jamani Simba na Yanga why wachezji wengi kiasi hicho, nimeona AL AHLY wamesajili wachezaj watatu. Sisi kama wanaocheza ni 11 why sasa tumesajili kama wachezaj 15 ina maana kuna wengine tutawaacha...
Msikilize Easy E -Ezekiel Kamwaga akiongea kwa staha, weledi na umakini mkubwa. Anaongea kama msomi na mtu mwenye exposure. Hakuna porojo, povu wala mapovu.
Anaeleza issues na vipengele kwa kina...
Ukiwa shuleni unafundishwa michezo mingi sana (kwenye Masomo ya "Maarifa ya Jamii" mfano Stadi za Kazi na Haiba na Michezo)
Michezo hiyo imegawanywa katika namna mbili yaani michezo isiyo ya...
Wakuu Nielewesheni Wajuzi tafadhali!
Zinazuka Taarifa za kimkataba hapa kuhusu Hii ishu ya Yusuf Mhilu na Sakata la usajili wake kama si Usahili .
Nasikia hii ya Release Clause ,Kwamba hii...
"Football teams can win without the coaches, but coaches cannot win without the team." 👏
Thomas Tuchel after win German Coach of the year award 2019/2020
Kutoka kwenye ukurasa wa Maulid Kitenge huko Twitter ameripoti kuwa kuna tetesi kuwa nyota mahiri wa Simba Sc kutoka Zambia, Clatous Chota Chama ameuzwa kwa klabu moja nchini Morocco.
Hiyo ni...
Wajuzi wa mpira hebu tufafanulieni humu kuhusu ubaya na ukubwa wa makosa waliyofanya Mukoko na Onyango wakati wa mechi ya Simba na Yanga kule kigoma.
Bocco alimfanyia madhambi Mukoko, badala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.