Droo ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON 2021 imepangwa jana, huku vigogo na mabingwa watetezi Algeria wamepangwa kundi moja na bingwa wa zamani, Ivory Coast.
Katika sherehe za...
Habari.
Hizi habari naona Simba SC wanazichukulia poa sana kwa haya madudu waliyofanya juu ya mchezaji wa Kagera Sugar, Yusuph Mhilu.
Wamemsajili na kumtambulisha kabisa kwa wanachama wao wote...
Ukiwasikiliza redioni wanavyolalamika kukosolewa inashangaza sana, yes nazungumzia hawa WACHA-MBUZI MAAN KUNA WACHAMBUZI NA WACHA MUNGU HALAFU KUNA SOCCER PUNDITS
Haiwezekani umekalisha tu...
Ukaichilia team moja tu ambayo kupitia kwa watu wake inaratibu syndicate hii kubwa inayohusisha waandishi takataka lifuatalo ni onyo kwa teams nyingine za bongo zinazoenda kimataifa:
Msithubutu...
Wakuu,
Tumewazungumzia sana kizazi hiki cha wachambuzi wetu ambacho pia kinachangia kuharibu mpira wetu na hasa michezo isiyo soka alafu wao ndio mabingwa wa ulalamishi kwenye media zao. Yapo...
Juzi hapa niliwapenyezea za chini ya kapeti. Wengi walinijia Inbox na kuniuliza hizo habari nimezipata wapi ila sikuwajibu.
Tetesi: - Walace Karia akubaliana na ombi la Simba SC kuongeza Idadi ya...
Habari ndugu zangu, mm ni kijana ambaye nimesomea kozi mbali mbali za ukocha japo level yangu siyo kubwa sana lakini namshukuru Mungu kwa hapa nilipofika.
Kwa sasa nafundisha watoto kuanzia miaka...
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Sky Sports , kwamba kuna dalili za club ya soka ya Arsenal kuzinduka kutoka kwenye limbwata la Mikel Arteta na kumtupia virago , huku ikihusishwa na Kocha wa...
Uongozi wa Kagera Sugar umetangaza unataka dau la milioni 200 kama ada ya uamisho ya mchezaji wao kwenda Simba SC.
Iko hivi...
Simba waliweka dau la milioni 35 kwa Kagera Sugar kuvunja mkataba wa...
Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika...
Habari wanajamvi?
Kwa siku za karibuni kila kocha akiondoka Yanga huwa anatuacha na jina. Mara tuliitwa wapumbavu, wajinga, hatuna akili, nyani, golira hayo ni baadhi tu ya majina tuliopewa na...
Team inayoongoza msimamo wa EPL ligi ni MANCHESTER UNITED
Top Score anatokea MANCHESTER UNITED
Top assists anatokea MANCHESTER UNITED
Timu ilofunga magoal mengi ni MANCHESTER UNITED
Team yenye...
Tokea tetesi za usajili zimeanza na hali ilivyoendelea hadi jana mtaani hawa jamaa zetu wamekuwa wapole kuliko kawaida hata zile jersey zao wamepunguza kuzitinga hii ni kwa utafiti mdogo...
UNAAMBIWA
SIMBA ya msimu ujao utawaona watu kutoka UGANDA, KENYA, CONGO, SENEGAL, ZIMBABWE, IVORY COST, GHANA, MALI n.k. inshort utaiona AFRIKA.
YANGA ya msimu ujao utawaona watu kutoka CONGO...
Baada ya jamaa kupigwa moja pale Kinshasa na kugongwa goals 4 hapo taifa kama kawaida takataka'z zenye hasira na mafanikio ya Simba zikaja na tahmini yao zikidai kwamba AS Vita iliyopiga simba bao...
Jamni mbona wenzake wanajua ku balance mapenzi yao ya simba na yanga inapokuja issue ya team nyingine? Ibrahim maestro alishawahi kuwa hadi kuwa kiongozi wa simba lakini hajafikia level ya...
Brother ifunze ku balance shobo basi yaani haihitaji hata mwanasaikolojia akiangalia hiii video kujua kwamba una chuki kwa simba iliyopitiliza, Magori anaongea vitu vya maaaa unajifanya uko bize...
Beki mwenye uwezo na sifa za kuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC, Israel Mwenda (21) sasa ni rasmi kuwa ni mchezaji wa mabingwa wa nchi [emoji881]
Karibu Mwenda. Wanasimba tunaamini utaitendea...
Habibu Kiyombo mchezaji aliyeonekana kuwa na Kipaji cha Kutisha kuanzia Simba B na baadae Mbao FC alionyesha cheche za Kufunga mabao kadri alivyojiskia, Wachambuzi uchwara wa Soka wakamjaza Upepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.