Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo wakati Chama akiwa Live insta alimsifia Haji kitendo kile kikamkera Bilionea Moo Dewji. Dewji akamtolea uvivu Chama na kumuulza "Haji ndiye aliyekulipia ada ya uhamisho?" Kisha Dewji...
3 Reactions
89 Replies
9K Views
Wanakijiji wa Kijiji Cha Pombambili, wamefanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi kwenda PSG. Kongamano limefanyika leo kijijini hapo na kuhudhuriwa na mashabiki wengi sana wa Barcelona wakiwa...
4 Reactions
7 Replies
972 Views
Kisha baadae huenda hata Jina lake likabadilika na ikaitwa Jangwani Mpili Utopolo Music Band a.k.a Mafuriko Original.
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Yanga imemuuza Kisinda kwa RS Berkane kwa Dola 150,000 (Sawa na Tsh MIL 347.8) Berkane pia watagharamia kambi ya 'Pre Season' ya Yanga itakayowekwa katika kituo cha michezo cha KING Mohammed VI...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Kama taarifa hii itathibitika basi Shaaban Djuma wa AS Vitta Club atakuwa anaelekea RS Berkane ya Morocco. Ikumbukwe hivi majuzi miamba ya Jangwani ilijinasibu kumpata kwa kitita cha shs bilioni...
7 Reactions
28 Replies
39K Views
Wakuu nimekuwa najiuliza kwanini wachezaji wa kibongo bado wanafeli kutusua kucheza mpira nje ya nchi kama mataifa mengine. Kila mwaka hatuuzi mchezaji wa ndani kwenda kucheza nje na ikitokea...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chajieleza. Hivi kwenye nchi hii kuna timu ya Rugby kweli, na kama ipo ni ipi?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau naomba mnifahamishe kama mechi hii ya Chad Vs Tanzania itakayofanyika tarehe 11/11/2011 kama itarushwa moja kwa moja na kituo chochote cha televisheni hapa Tanzania kwa sababu...
0 Reactions
715 Replies
161K Views
Ni jambo le Kheri kwa Taifa kwakua sasa Tanzania inatoa timu 4 kushiriki mashindano ya kimataifa Mbili Club bingwa na mbili Shirikisho. Lakini nafasi hizi zote zinachukuliwa na timu za Tanzania...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Klabu ya Simba SC 🦁 imefikia makubaliano ya Usajili na mshambuliaji wa kimataifa wa Romania Daniel Iliuta Popa 🇷🇴 mwenye miaka 26.
7 Reactions
34 Replies
6K Views
Kwa yanayoendelea kipindi hiki kwenye soka letu.. Ni dhahiri bado tuna ushabiki wa kijima. Ila lawama zote nazipeleka kwa hawa wanaojiita wachambuzi na waandishi wetu wa michezo. Ambao...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati Yanga wakielekea kumtambulisha Djuma Shabani pamoja na Jesus Moloko, wakala Mwenye orodha ndefu ya Wachezaji wa DRC, keshatuwekea picha hapo ili simulizi tuandike wenyewe!! Kama...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu jamaa namkubali sana yuko faster kwenye maamuzi
1 Reactions
0 Replies
589 Views
MANARA anadai eti bilioni 223 za mkataba wa Azam na TFF zinaweza kupanga elfu kumi kumi zikafika brazil na kurudi umbali wa kutoka dar es salaam hadi brazil ni kama kilometa 9000 na kurudi ni...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Kwa namna yule kiumbe alivyo moto, na anavyojua kuupiga mwingi, sioni ni kwa nini asifunge magoli hamsini kwa msimu mmoja huko Ufaransa, labda kwa roho yake nyeupe aamue kuwapa assist kina Neymar...
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Baada ya mazungumzo na tetesi nyingi kuhusu Romelu Lukaku Kurejea Darajan, Hatimaye ni rasmi sasa Lukaku is Blue. Lukaku amekuwa na kiwango bora sana toka alipoondoka ligi kuu ya Uingereza na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kwenye picha iliyonaswa katika utambulisho wa Khalid Aucho back ground kuna kombe linaonekana lina nembo ya GSM. Ningependa kujua hili ni kombe gani na walishinda lini au kule...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
🚨 Expected losses due to Messi's departure from Barcelona🚨 ✅ 50 million euros collected from taxes. ✅ The disappearance of the best-selling shirt in the world. ✅ 950 million euros sponsorship...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Chelsea hawakubahatisha kubeba ubingwa wa UEFA, kwa maana hiyo watabeba tena back to back, kiuhalisia ulaya nzima hakuna kocha world class wa kubattle na Tuchel kimbinu, hilo limedhihirika last...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom