Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

8 August 2021 Dar es Salaam, Tanzania Several topics have been covered including football marketing and sponsorship, stadium management, E-sports and digital platform in football, revenue...
2 Reactions
1 Replies
939 Views
Nimesikia aibu sa na kuona mzee wangu Filbert Bayi akilalamika TFF kwa kuidai pesa za mamilioni kwa kuihifadhi timu ya Taifa. Nawapa onyo wafanyabiashara mnaodanganywa kusaidia timu za taifa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna hi kauli mtaani huna tena msemaji atakaekuja Kama haji manara Simba wengine wanasema Simba haitafanikiwa kwakuwa haji hayupo Tuanze hapa hivi chukua mashabiki Mia wa real Madrid alafu...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama kuna Medali ambayo Taifa tunastahili basi ni Medali ya vipaji vya kuamini miujiza ya kuvuna tusichokipanda. Kama tunavyofanya kwenye tozo, badala Mamlaka kuandaa kwanza Wananchi wenye uwezo...
3 Reactions
64 Replies
4K Views
Tenda wema nenda zako,usingoje shukrani. Ukingoja shukrani utakuja chelewa, Huu ni msemo wa wahenga pia ni sehemu ya mstari wa wimbo wa bendi ya msondo ngoma... Ni msema maarufu sana ambao uko...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
haya wana simba tunarudi tena CAs tarehe 1 october, vipi tena babu plujim hans kashtaki madai yake jameni mbona kuna fununu??? 24.09.21 CAS 2021/A/7808 Kayserispor Kulubu Dernegi v. Go Ahead...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MSHAMBULIAJI Geilson Santana Santos ‘Jaja' kutoka Brazil Amewasili leo kwa ajili ya kufanya majaribio ya kujiunga na klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam. kama kocha Mkuu, Mbrazil mwenzake...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Taarifa rasmi ya Yanga Sc kuachana na magolikipa wake wawili, Metacha Mnata na Farouk Shikhalo. Anayetoa taarifa hii ni Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa. Je, nini maoni yako kuhusu...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Carlos Stenio Fernandes Guimares"Carlinhos", amewasili nchini Tanzania mchana wa Leo tayari kabisa kwa kuanza kuitumikia timu yake mpya ya Yanga Carlinhos ambaye anacheza nafasi ya Kiungo...
6 Reactions
47 Replies
7K Views
Hatimaye mshamabuliaji Geilson Santos Santana "Jaja" raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miaka miwili (2014-2016) kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano mbalimbali ikiwemo ya...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Eti Yanga nao wanasema kuwaa wamepokea ofa za kuwahusu Tuisila kisinda kwenda FAR Rabat Yakuba kwenda zamalek Mukoko kwenda zamalek Unadhani ni kwelii zamalek wanamtaka Yacouba?
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Jambo kuu la msingi linalodhoofisha performance ndani ya uwanja ni migogoro isiyokwisha ndani ya uongozi wa klabu Yanga Yanga sasa imegawanyika katika makundi makuu matatu Yanga GSM Yanga Msola...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Nahodha na Kiungo wa Zamani wa Young Africans Ali Mayai ameingilia kati sakata la aliyekua Msemaji wa Simba SC Haji Manara dhidi ya Mwekezaji Mohamed Dewji ‘Mo’ na Afisa Mtendaji Mkuu Barbara...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Alli Mayai Tangu sakata la Manara na Simba lianze sikuandika makala yoyote juu ya sakata hilo. Ulianza kutembea sauti ya Manara akimtukana CEO wa Simba, Barbara Gonzalez, baadae maelezo meengi...
18 Reactions
54 Replies
4K Views
Manara kwa kusambaza clip aliyokuwa akimshutumu Babra, alijifunga own goal na kuondoka Simba Sc wanamichezo na mashabiki walimlaumu na wengine walisema ni tabia yake mbovu. Hajji akaanza mikakati...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Kiungo mahiri wa Simba SC Jonas Mkude leo amerwjea mazoezini tayari kujiunga na wenzake kwa kambi ya Morocco. Mchezaji huyo aliekuwa na kesi ya utovu wa nidhamu haijajulikana kama alisamehewa na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Sisi Yanga kuna kitu tulifanywa kwa kweli. Ni mashabiki wa kipumbavu sana. Yaani week nzima tunahangaika na Manara na Mo. Hatujiandai Wachezaji wetu wapo muda wote busy na mitandao. Insta na...
12 Reactions
38 Replies
4K Views
Yaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako...
7 Reactions
41 Replies
14K Views
Mo Kazaliwa Singida Kasoma shule za serikali Kawatumikia watu wa kijijini kwake Kawekeza kwenye nchi yake Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha...
10 Reactions
59 Replies
4K Views
Back
Top Bottom