Qatar confirms Lionel Messi is signing for PSG
10 hours ago / autty
Developments regarding Lionel Messi's immediate future are coming quicker than anyone expected, and after Barcelona announced he...
Press yake ya leo ni ya "Kimkakati' ya Kuichafua Klabu ya Simba baada ya Kutumwa na Maadui zetu wakubwa wa Jangwani na Chamanzi.
Nimemsikiliza Hoja zake zote na hakuna jipya sana sana...
Habari.
Kuna mambo yanatokea katika hili shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) yanabaki kushangaza umma kwa aibu.
Sasa yanafanya mtu kujaribu kufatilia watu waliopo kwenye uongozi kufahamu...
Sergio Kun Aguero [emoji1033] amekamilisha usajili wake kujiunga na FC Barcelona baada ya kumaliza vipimo vya afya hivi leo, jumatatu 31 2021. Aguero [emoji1033] (32) amesaini mkataba wa miaka...
saa 6 na nusu usiku wa manane.
marathon mita 42000 inaendelea.
nataka kufahamu kama kuna mkimbiaji kutoka Tanzania maana nimechungulia mpaka nimechoka simuoni.
Mwezi Mei mwaka huu mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon, Ganga Kiaku alitakiwa kukutana na kamati ya nidhamu ya CAF kutoa maelezo ya kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye akazaliwa...
Kanjibahi ni mkiritimba kinoma aisee! Kumbe bhana aliwaforce key players wa Simba wamposti na kumpongeza kwa lengo la kuonekana kama ni mtu muhimu sana kwenye simba.
Jamaa aliwahadaa sana watu...
Jamani najaribu kuwa Devil's Advocate kwenye hii Saga ya Manara VS Mo/Barbara/Simba
Nitaenda kwenye kupande ambao Manara ana claim Simba inanyonywa na Mo, kuwa kusema Mo anasema hapati faida ni...
Mo anawapelekea sana moto simba.
Ni kama vile ana 100% ya hisa.
Naona hata Luis Miquisson kauzwa kwasababu ya MO kuridhia na si vinginevyo, Hivi kweli mchezaji kama Luis ni wa kuuzwa kweli...
Simba ilikuwepo kabla ya MO na itaendelea kuwepo baada ya MO, lakini si vibaya tukajimbusha wachezaji waliokuwepo ndani ya simba ambao walikuja kwa mbwembwe lakini ukweli ni kuwa tuliwakusanya kwa...
Wakuu Habari zenu.
Haji manara ameondoka sawa ,ila tuwe wa Kweli Uongozi wa simba unashida mahali unafanya mambo mengi kiswahili sana.
Haji manara mwaka wa 6 yupo simba hajawahi kupewa mkataba...
Soka letu la Tanzania bara (Tanganyika) linahitaji uwekezaji (wawekezaji).
Ila mwekezaji kama Mohammed Dewji (Mo Dewji) hawatakiwi kabisa kwenye soka letu, hawafai wanatufedhehesha sana.
Kwa...
Kimeanza kunuka huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna comment moja nlisema huyu pimbi ataanikwa soon!! Mambo ndio yanatokota na wote mtabaki vivywa wazi.
Ile kashfa ulipewa na...
TBC na TFF wameingia makubaliano yenye thamani ya Tshs 3.5bilioni ambapo TBC watakuwa na haki xa kutangaza mpira wa ligi kuu kwa upande wa Redio.
Makubaliano hayo yatakuwa no kwa miaaka 10 ambapo...
Makocha wawili wa Belarus wameondolewa Vibali vya Olimpiki kufuatia madai ya kujaribu kumlazimisha Mwanariadha kuondoka kwenye Michuano inayoendelea Tokyo Nchini Japan
Kamati ya Kimataifa ya...
Dah inatisha kwa kweli wanachambua mshahara wa Messi kuna jamaa anasema kwamba mshahara wa mwezi wa Messi una finance bajeti ya nchi ya Tanzania, dah nimejisikia hata kulia inakuwaje watu ma...
Kwa kifupi sana ,niende kwa mada, Mimi namkubali Mh. Kigwa na kwa hili la Mo na Simba SC na bilioni zetu 20, kuna mambo ambayo ukimsikiza Mo ktk interview zake utagundua kwamba hapendi kuhojiwa...
Toka jana kumekuwa na Mjadala mzito sana kuhusiana na Bil. 20 ambazo MO alitakiwa awe amezitoa tokana na kuchukua 49% ya hisa za Simba lakini hili Jambo SIASA imetawalaa kuliko uhalisiaa na ndo...
Kocha mashuhuri nchini bwana Hassan Banyai amefariki dunia leo.
Enzi za uhai wake alikuwa ni miongoni mwa makocha waliopandisha timu nyingi daraja kama vile Mwadui na Njombe mji.
Pia amewahi...
Club ya Simba imepafanikiwa kumnasa kinda wa timu ya Nyssa big bullet ya nothing Malawi [emoji1156] kwa mkataba wa miaka mitatu. Dili hilo limefanikishwa na Hans Pope Zakaria aliyetua Malawi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.