Kama umepata bahati ya kumsikiliza Haji Manara leo, ukaweka mahaba pembeni lazima utakubaliananae kuwa kuna mahala hapako sawa ndani ya Club ya Simba.
Lengo la Haji halikuwa kuibomoa Simba, na...
Waswahili wana usemi '"Jasiri haachi asili" hivyo wanachopitia Simba kwa sasa kupitia aliyekuwa anafanya kazi hapo ni fundisho tosha kuwa mkae nae kwa tahadhari kwani si Mtu wa staha.
Mtu aliye...
Tangazo la Barcelona kwamba mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 34, hatabakia kwenye klabu hiyo ''limefungua mlango wa uhamisho wa kushtua " katika Manchester City. (Manchester Evening...
Alianza mzee mzima Hamis Kilomoni a.k.a HK akamsumbua Mwamedi mpaka akatamani kukimbia mji 😄😄😄
Juzi tena Hamis Kigwangalla a.k.a HK nae kalianzisha had Mwamedi akatamani kujitoa kuifadhili Simba...
TAARIFA YA MCHAKATO WA SIMBA KWENDA KWENYEMABADILIKO.
- Tume ya Ushindani (FCC) haihusiki na ucheleweshwaji wa mchakato wa Mabadiliko ndani ya Klabu ya Simba SC kama ilivyoelezwa na...
Mumfuate anakoenda. Simba ni kubwa sana. Manara alikuwa mtu mdogo aliyekuzwa na Simba na baadaye akadhani yeye ni Simba pia.
Mimi sikuwa napenda aina ya usemaji wake muda mrefu sana. Nlikuwa...
Klabu ya Yanga imefanikiwa kumsainisha beki Djuma Shabani akiwa mchezaji huru Kwa mkataba wa miaka miwili.
Kulikuwa na tetesi kuwa huenda Djuma Shabani asingekamilisha dili hilo na badala yake...
Mimi ni mmoja wa watu ninaokubali kabisa kuwa Manara alikuwa 'very unprofessional' mara nyingi sana. Na hata hiyo nafasi nimewahi Shauri Sana atolewe ..yeye na Jerry Muro niliwahi shauri watolewe...
Juzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangalla alionekana akiwanadi ng'ombe wake
Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya...
Kauli za Waandishi wa Habari Haji Manara alipokuwa Msemaji wa Simba SC
"Haji Manara ajirekebishe kwani tumeshamchoka na Vitendo vyake vya Kutudhalilisha huku akituita baadhi yetu ni Takataka...
Wapenzi na mashabiki wa Simba wameridhia Mo kumiliki timu ilimradi wanapata furaha na makombe hawatarajii na hawategemei kama Simba itakuja kushindwa sidhani kama wataweza kumvumilia pale mambo...
Wasalaam,
Ndugu wanajf naomba kupata updates za kombe la Kagame huko linavyoendelea na nikiwa shabiki lialia wa Yanga naomba matokea bila kufichwa!!
Nasubiria na updates za usajili kutoka club...
Leo Haji Manara kamshukia sana Mo Dewji akimtuhumu kuuonea wivu ubalozi wake aliopewa na Azam company. Siwezi sema ni ukweli au uongo ila nilichosikitika ni azam tv kurusha tukio hilo wakiwa na...
Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini & Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja...
Wale wanaofatilia Olympics wataona kuna nchi kama Bahamas ina Wanamichezo wengi kwenye hii Olympics kuliko sisi. Cha ajabu idadi ya watu huko Bahamas ni laki tatu tu. Sisi wenye milioni 60...
Nashangazwa tu na kiasi hicho maana mkataba hapo wazi kama ule wa Azam.
Kwa miaka jumla ya thamani ya mkataba ni Bill 3.5 ukigawanya kwa miaka kumi ni Mill 350, hii ni kila mwaka.
Million 350...
Olympics ya mwaka huu nimeona Black Japanese...naona watu weusi hii sector ya michezo hatuna mpinzani..
Aibu ni Sisi Tu watanzania...hakuna hata Mtanzania wa nchi nyingine kweli?
Yaani kuna...
Yaani nyie watu aliyewaita mambumbumbu anawafahamu vzr sana, maana mnadhani kwa kushinda mechi moja ndiyo tayari mmeshakuwa mabingwa.
Hata kama mnaulimbukeni wa kombe la ligi kuu lkn si kwa...
Leo sauti za mitandao yote ni mo mo mo!
Mo sasa itakuwa mee!
Heri ya wale omba omba kule mtaa wapili walishajizoelea!
Sasa nyinyi wanaume mtaa ule wa mo mmening'iniza mipu....bu yenu kazi yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.