Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Klabu ya Yanga kwa kupitia mitandao yake ya kijamii imetangaza kuwa Leo Jiji na Nchi nzima itazizima kwa Usajili itakaoutangaza kesho Wananchi wanasema wao Wana watu mpaka huko "Upande wa Pili"...
0 Reactions
107 Replies
12K Views
Kulingana na hali inavyolekea Messi kukaribia kutua PSG, na kutokana na uwepo wa mastaa kibao pale PSG, napata mashaka na Mauricio Pochettino kama ataweza kuwa manage wale mastaa na hatimaye PSG...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
THIS IS Simba, umekuwa msemo kielelezo cha kuitambulisha club yetu pendwa ya Simba, ambayo ni club ya wenye nchi matajiri akiwemo @mo Dewji, Bujibuji na wengine baadhi tunaojificha kwenye kijicho...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Tarehe Mosi Agosti, jioni, mwanariadha wa China Su Bingtian alionekana katika fainali ya mbio za mita 100 kwa wanaume katika Michezo ya Olimpiki ya Tokyo. Hii ni mara ya kwanza kwa mwanariadha wa...
1 Reactions
0 Replies
829 Views
Hizi ni post za baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba Sc,wanajua kazi anayofanya Mwenyekiti wao. Wanajua njaa ya wachezaji wenzao timu zingine. Leo hii Simba ni timu kimbilio ya kila...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
By Mwandishi Wetu More by this Author MAPUTO. MKAZI wa hapa Maputo, Luis Jose amekula maisha nchini Misri. Staa huyo mkubwa kwenye soka la Bongo ambaye ameonekana jijini hapa juzi, ameuzwa na...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
TUACHIE SIMBA YETU............... 1. Kijana Haji Manara, Maneno yangu sikia, Kwanza zuia hasira, Pindi unapoomgea, Haya mambo ya mpira, Wengi watakuchukia, Tuachie Simba yetu, Na wewe kafanye...
3 Reactions
2 Replies
945 Views
Mpira unaendelea 45' Yanga 0 - 2 Express ======== Full Time: Yanga SC 1-3 Express FC (Godfrey 14’) (Muzamiru 35’ Kambale 52’ Paul 71’)
5 Reactions
79 Replies
7K Views
Kutoka kwenye midomo ya kiroboto, la pulga mnyama Leonel mess[emoji116] " Baada ya miaka yote hii, ni ngumu mno kuwaaga, ni vigumu kusema naondoka, Leo, Napaswa kusema kwaheri kwa kila kitu...
1 Reactions
3 Replies
849 Views
Wadau huu ndio msimamo wa olimpik mpaka mchana wa Leo idad ya medal na waliojinyakulia
1 Reactions
106 Replies
6K Views
Kwenye press ya Mo nilipata mshtuko pale aliposema hapati faida yeyote kwenye timu na bahati mbaya waandishi wa habari hawakuuliza maswali ya msingi juu ya kile alichokitamka, sasa kumbe mshtuko...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Hawa ndugu zetu wanatutia aibu sana. Wakati tukipambana kulitafutia taifa heshima, wao walikuwa kamati ya mapokezi na kuwapa hisani wageni wa kila namna. Ila mwisho wa siku wageni walitupa heshima...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa 06 Agosti 2021, alionekana kukerwa na kitendo cha mchezaji nyota wa Simba Clatous Chama kumsifia aliyekuwa msemaji...
11 Reactions
225 Replies
24K Views
Nawasalimuni nyote wanamichezo. Kwanza kabisa mimi ni shabiki wa Simba kabisa ila kuna kitu hakiko sawa. Sitaki kuongelea mambo yooote sababu hayataisha ila nalenga chanzo tu. Kumekuwa na hoja...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Barcelona imethibitisha kuwa Mchezaji wao mahiri, Lionel Messi ataondoka Klabuni hapo kutokana na vikwazo vya kimfumo na kifedha (Sheria za Ligi ya Uhispania) Klabu imesema yenyewe pamoja na...
5 Reactions
113 Replies
11K Views
Maelezo yake yote yamejikita kwenye maslahi binafsi na imedhihirika kuwa yeye alikuwa anajihisi kama ni mkubwa kuliko Simba. Majigambo ya kila aina. What an ego centric individual. Tunashabikia...
13 Reactions
27 Replies
2K Views
Mo Dewji leo utanisamehe sana Mimi GENTAMYCINE ambaye nina tabia ya kutopenda Unafiki, Kumnyenyekea Mtu, Kujipendekeza kwa Mtu au hata Kumuogopa Mtu hata kama ni Msomi sana su Tajiri mno na hata...
27 Reactions
63 Replies
5K Views
Nadhani title inajieleza hapo juu, hakuna shabiki halisi wa Simba anaweza kukushambulia kwa mafanikio yako ktk SSC kuipelekea kuwapiku yeboyebo kwa rekodi ya ubingwa miaka 4 mfululizo hasa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
......Kama kuna mdau anatumia kampuni hii ya GAL SPORTS BETTING..... Hawa jamaaa Nawaona wanazingua Sana, Ukitaka kutoa pesa wanasema System Inasumbua, ila kuweka pesa au Kucheza na kuliwa Hapa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom