Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tunashukuru kwa viongozi kuweza mshawishi Saido kucheza match ya leo dhidi ya Azam. Tena baada ya kumwakikishia kuwa atapangwa kuanzia mwanzo na hatotolewa. Kocha mpya ameambiwa kuwa asiwe...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Leo kwenye Star TV nimemuona mkurugenzi wa jiji TEMEKE akiongea kwa ukali kuudai kodi Uwanja wa Taifa huku akitishia atasubiri siku ya mechi ya Simba na Yanga aufunge! Sikuamini kama anazijua timu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi sheria gani ya Soka ambayo FIFA pia wanaitambua isemayo Kona ikiwa inapigwa huku Mabeki Wawili wakiwa katika Milingoti halafu Mchezaji wa Timu Pinzani akatokea mbali na Kuruka hadi Kufunga...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Jf na wanachama wake ni mtandao mkubwa hivyo hatuwezi kufikiria namna ya kuisaidia Tanzania FDL maana imekuwa ligi ya kihuni na kwa kiasi kikubwa inachangia kuzorotesha hata vpl Maana wachezaji...
1 Reactions
1 Replies
480 Views
Kama jamaa yetu wa kususa angefunga goli maridadi kama la Mohamed Hussein Tshabalala unahisi nini kingetokea?
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Kama mnafanya hivi baada ya kupewa bahasha za khaki nitawasamehe kidogo mana mnajua asilimia kubwa ya wadanganyika ni vilaza basi poa tu ila kama mwandishi na mhariri wa mwanaspoti ni vilaza wa...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Niwakumbushe tu kuwa Mamelodi Sundowns analipwa Rand Million 20 kwa Mwaka ni ni sawa na Rand Million 60 kwa mitatu kutoka Kampuni ya PUMA. Mamelodi alipomaliza mkataba wake na NIKE hakuongeza...
9 Reactions
45 Replies
7K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania VPL kupigwa leo Aprili 24, 2021 kwenye Dimba la Gwambina Complex ambapo wenyeji Gwambina FC wanacheza na Mnyama Mkali Mwituni Simba SC. Simba SC ina nafasi ya...
8 Reactions
151 Replies
13K Views
Pasipo na shaka kipindi cha redio cha Sports Arena ya Wasafi FM, ni kipindi cha hovyo kabisa -- makelele mengi, hawa-balance story, na hicho kikundi kinachojiita wachambuzi always ni kutaka...
5 Reactions
45 Replies
42K Views
Angalia video hii iliyorekodiwa kwa simu tuliambiwa kwamba kona ya Chama ilitoka nje ikarudi ndani, oh jesus christ lord have mercy line 2 ni mwana utopolo nini? Au bahasha za khaki zilishafanya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nadhani onyango ana miaka zaidi ya 40.
8 Reactions
108 Replies
12K Views
FT Gwambina 0-0 Yanga Kwa hisani ya refa,Gwambina wamefunga goli likakataliwa. Hata hivyo mwali wetu kaendelea kututunzia bikra. Jumamosi tunakaza
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakuu Imekuaje Tena Kemcho akashindwa Kumlipa Asante Kwasi?[emoji849][emoji849] FIFA imeifungia simba kusajili kwa kipindi kimoja kijacho cha usajili. Nyundo hiyo ya FIFA imekuja kufuatia...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Hii ni baada ya benchi lote la ufundi kutimuliwa. Ikumbukwe kwamba Mwambusi aliondoka kwenye benchi la ufundi la Yanga kwa sababu zilizotajwa kuwa za kiafya, lakini sasa amerejeshwa kama kocha wa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Kinda Mtanzania Said Khamis jana amerudi kambani mara tano kitaalam tunaita GLUT (Mabao matano) akiisaidia klabu yake ya Baniyas Sports kuendelea kutamba dhidi ya Zafra FC Katika hizo bao tano...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni baada ya kukaa mwaka mmoja na mwez mmoja bila kuifungia yanga goli katika mechi za kimashindano.
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Basketball Bet Ni hiv basketball nayoinabetiwa kama michezo mingine tu inavyobetiwa tu, Isipokua kwenye basket hatupendelei sanaa kubet ishu za normal et flan ashinde au flani asishinde, kwani...
25 Reactions
220 Replies
75K Views
Sura maarufu sana na iliyozoeleka Nimeikuta hiyo picha sehemu nikaona itapendeza nikiwaletea na nyie muione japo sina uhakika na usahihi wa sura na hiyo jezi Naambiwa huyu mwamba kumbe asili...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wanasoka na wapenzi wa Michezo Kwanza kabisa Nimpongeze kaimu kocha wetu japo Bado Ana mapungufu kwenye kuchagua washanbuliaji sijui Nchimbi Aliwapa Nini mana Jana kafunga na Kaanzisha...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
1. Mnaenda kulitia aibu taifa. 2. Mechi mbili tu jezi mpya za nini!!!??(Simba walipoanza mashindano CCL walitengeneza jezi mpya) wakimaanisha simba ikienda Algeria na kurudi ndio mwisho wao. 3...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…