Nimeingia getto muda sio mrefu, nikaona ngoja niweke mawingu fm nisikilize michezo extra..Nakuta ndo kwanza kipindi kinaanza...Moja ya mechi walioiongelea ni game ya Namungo na Raja casablanca na...
Hongera sana Simba na Vunja bei kwa makubaliano ya kihistoria mlioingia hii leo, kiukweli Simba imepiga hatua ukilinganisha na ilipokuwepo.
Twende kwenye facts sasa.
Uwekezaji uliofanyika ni wa...
Injinia Hersi bhana yaani baada ya kuona Mashabiki wa Yanga SC sasa wanaanza 'Kukumaindi' kwa Ahadi yako kuwa Yanga SC isipokuwa Bingwa Msimu huu uulizwe Wewe leo umeamua uyageuze Mawazo yao na...
Kauli ya Injinia Hersi Ligi ikianza
"Kwa jinsi Yanga SC kupitia Sisi GSM tulivyofanya Usajili huu mkubwa naomba kila mwana Yanga SC ajigambe na tusipokuwa Mabingwa Msimu huu wanihoji Mimi na...
MAONI YANGU KWA SIMBA NDANI YA KARIAKOO DERBY
Simba kuwa makini sana na wachezaji hasa hasa wale wote machachari kuna uwezekano UTOPOLO wakawaumiza wote kwa pira gwaride, hivyo 8 may kwenye...
Nimesikitika sana leo, nimekwenda kwenye workshop moja ya Chuma | Welding kufuatilia kazi niliyopa cha kushangaza nikaambia wahusika wamekwenda kutizama mechi ya Simba Vs Kagera ,so ni subiri...
Mungu aliumba dunia na maajabu yake, Mungu alimuumba Clatous Chama na kipaji chake, mpira umetupa tena sababu ya kutabasamu, baada ya Gaucho kuweka viatu kabatini, Diego Maradona kulala zake...
Njia ya muongo ni fupi sana. Wiki iliyopita club ya Yanga ilitoa taarifa striker wao ana majeraha aliyoyapata Zanzibar.
Nimefuatilia taarifa za ndani sana, habari hizi hazina ukweli wowote...
Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga SC Juma Mwambusi, amesema kwamba kitendo alichokifanya mchezaji wake Saido Ntibazonkiza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania VPL, dhidi ya Gwambina FC ni kutokana na furaha...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Aprili 21, 2021 ambapo Kagera Sugar wanacheza na Mnyama Mkali Kuliko Wote Mwituni, Mabingwa wa Nchi, Simba SC...
Tetesi, baadhi ya wachezaji 5 muhimu wa Yanga, Mukoko Tonombe, Tuisila Kisinda, Sappong, Yacouba na yule mrundi aliyezingua jana, wapo mbioni kuikacha Yanga kutokana na madai wanayoidai klabu hiyo.
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?
Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa...
SUPER LEAGUE MFALME WA SOKA ANAEKUJA KWA KASI [emoji573]
ELcapitano Maestro [emoji2788] Je umepata kusikia uwepo wa mashindano ya Super League ambayo yatahusisha timu bora barani ULAYA, ambapo...
Kama unajua kusoma alama za nyakati, anza kuomba uongozi waikabidhi timu kwa Mwarabu. Kuna kila dalili za wewe kuondoka kwa aibu hasa baada ya mechi zinazofuata.
Tunawajua wapenzi wa utopolo na...
Maswali yalikuwa mengi sana kwanini Feisal anachezeshwa kwenye double pivot, kwanini Feisal aisipelekwe namba [emoji647]? Naamini Mwananchi ulijiuliza sana
Kwanini Feisal anachezeshwa eneo la...
Mchezaji wa Klabu ya Soka ya Hafla FC ya nchini Guinea Latige Camara amefariki dunia leo asubuhi baada ya kudondoka uwanjani akiwa mazoezini.
Taarifa za awali kutokea nchini humo zinataja chanzo...
UEFA wamezitahadharisha vilabu vya ulaya vianvyojihusisha na kwenda Super Legue kwamba wanaweza kupigwa marufuku kwenye ligi zao za ndani na mashindano ya kimataifa kama wakiunda mshindani wa...
Ed Woodward amejiuzulu wadhifa wake kama Mwenyekiti wa Klabu ya Manchester United.
Kujiuzulu kwake kunakuja baada ya wadau waandamizi wa klabu hiyo kuitikia wito kuwa klabu hiyo imewadharau...
Nipo katika Mpira wa 'Bongo' na bahati nzuri hata Michezo yote ya 'Kimjini Mjini' naijua na hata Kushiriki nimeshiriki pia hivyo nasubiri leo Biashara United FC afungwe Magoli 4 au 7 aliyofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.