Habari za humu ndani wakuu, leo naomba tujadili hili swala kwa upana wake yeyote mwenye mawazo hasi au chanya anaruhusiwa kuchangia katika hili.
Niende sasa kwenye wazo langu hivi Tanzania mpaka...
Wadau mbalimbali wa mpira wa miguu barani Ulaya wanazidi kupinga kuanzishwa kwa Super League.
FIFA na UEFA zimekosoa vilabu vyote 12 kwa kuweka maslahi ya pesa mbele kuliko mpira na heshima ya...
Matokeo: Yanga 1-0 Biashara
Goli pekee lilofungwa na mshambuliaji wa kimataifa kutoka Burkina Faso, Yacouba Sogne lilitosha kuipa ushindi vinara wa ligi Yanga dhidi ya timu ya Biashara ya kutoka...
Kila timu hizi kubwa huwa kuna nafasi za wachezaji uwanjani ambazo kila msimu wanakuwa na wachezaji mahiri sana yaani superstars
Naanza kuwataja wachezaji waliochezea namba mbili Simba Sports...
Wakuu ningependa kumfahamu admin wa Page za Ruvu Shooting mtandaoni.
Huyu amekuwa na uandishi wa aina yake kabisa tofauti na wa timu zingine kwani amekuwa akiandika kwa uandishi wa kuchekesha...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Jumapili ya Aprili 18, 2021 ambapo Mwadui FC anakwaruzana na Mabingwa wa Nchi, Mnyama Mkali Simba SC kwenye uwanja wa...
Niseme tu kwa mara ya kwanza nimemuona Carlinhos akichezeshwa nafasi sahihi anayoimudu na aliitendea haki haswaa! Nadhani makocha waliopita hawakuliona hilo na hii ndio faida na hasara ya...
Mamelod Sundowns yaafikiana na Klabu ya Sepsi OSK ya nchini Romania kumuachia Mslovakia Pavol Safranko ,26, ajiunge na Mamelod ya Afrika Kusini kwa euro 700,000 zaidi ya Tsh Bilioni 1.9, dau hilo...
Kwa mara ya kwanza nimeingiwa hofu kuwa hii michezo huenda ikawa na hila nyingi.
Mshindi wa hivi karibuni kwa jina Abdulaziz,alijitambulisha kwa fani ambayo sijawahi kuisikia...
Habari!
Naona kuna watu wanataka kuleta majonzi na maumivu kwa Wana Simba, kelele zilianzia kwa jirani na CAS Yao Sasa naona sijui Hao FCC nao wanaanza kuturudisha nyuma.
Fanyeni mfanyavyo but...
Wana jukwaa mimi ni kijana mpambanaji nataka nianze biashara ya kuonyesha mpira. Naombeni msaada namna ya kuanza ikiwemo gharama za awali na kwa kuwa naweka kijana makadirio yake ya hesabu na...
Wakuu,
Wadau na wapenzi wa games njoeni tupeane maujanja ya kucheza Dream league game online,offline na local multiplayer.
Natumia kikosi cha Liverpool hiki hapa
Sifa ya wachezaji wangu wote wana...
Leo Yanga almaarufu kama utopolo watakuwa na mechi muhimu na ngumu kwao dhidi ya biashara. Huku wakijua kuwa wakishindwa au kutoka sare itakuwa ndio mwisho wa kuongoza ligi kwa mwaka huu baada ya...
Wakuu Habari zenu?
Nikianzia mechi ya juzi ya mtibwa na simba ambayo mtibwa alikufa 5 bila.
Ukiangalia namna simba alivyocheza na mtibwa utagundua vilabu vyetu bado havina huwezo wa kushindana...
Siku ya Alhamis ya tarehe 28 ya mwezi wa kwanza mwaka 2021, wadau wa Riadha Tanzania na Taifa kwa ujumla walipokea kwa furaha kazi nzuri yenye kutanguliza maslahi ya taifa mbele iliofanywa na...
Baada ya wabunge kuchachamaa bungeni wakitaka kujua lini sakata la Simba na FCC litakwisha ili mambo yaendelee hatimaye majibu yapatikana, sasa majibu kupatikana jumatatu.
===
Dodoma. Serikali ya...
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo...
Hawa ni baadhi yao wana karateka uwanja wenu na kama kuna wengine waongezeeni
1.Sensei Yahya O Mgeni
2.Sensei phillip Chikoko
3.Sensei Daudi Magoma
4.Sensei Khery kivuli
Sent using Jamii Forums...
Al Ahly walikua na hofu, waliona Ingekua Ni fedheha Sana kwao kufungwa Mara ya pili na Simba,
Ingekua Ni fedheha Sana kufungwa nyumbani mechi ya marudiano baada ya kufungwwechi ya Kwanza...
Nmekuwa mpenzi na shabiki wa Mtibwa miaka 4 iliyopita, Enzi za akina Mzamiru, Mtibwa inapiga soka safi na pia kuibua vipaji bora kabisa.
Ila nmefuatilia takriban mechi 10 zilizopita, Mtibwa si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.