Mtifuano huu wa Leo lazima mbabe ajulikane leo.
Je coast ataendeleza record yake ya ushindi kama mzunguko wa kwanza ulivyokuwa au
Biashara nae atalipa kisasi
Nahakika itakuwa ni mechi nzuri...
Katika hali ya kushangaza Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wamejiweka vizuri na mechi ya kesho katika mbio za kutwaa ubingwa wa VPL.
Ameeleza hayo akihojiwa na Azam Sports leo wakati...
RI P O T I - Y A - U C H U N G U Z I - (F C C) !!
[emoji3502]Uchunguzi wa awali wa (provisional funding) kutoka tume ya ushindani wa kibiashara (FCC) na maamuzi yake dhidi ya Simba juu ya...
Kaka ripoti imesomwa, kuna vitu kadhaa ila nikutoe hofu kwenye Wizara yetu ya Burudani, michezo na Anasa kwanza tumepewa hati safi, hesabu zimekaguliwa vyema na bajeti imeendana na mahitaji...
Nakuuliza swali ewe mwana wa Mzee Nchimbi ila usinijibu, je kama anakufa kwa asali, kwanini umpe sumu?
Siku ya 15 ya januari 1929 pale Atlanta, Georgia, Marekani alizaliwa Mkombozi wa Watu weusi...
Wale wanaokaidi mazuri yaliyofanywa na club ya Simba nyie mnafananishwa na watu wasiosadiki kila wanachokiona mbele yao,
Kupitwa kimafanikio hilo lipo kila field hapa duniani
Muhimu jifunze...
Taarifa kwa Umma: Bondia Dula Mbabe na Twaha Kiduku Kuzipiga Juni 26, 2021.
Hii ni taarifa rasmi ya mpambano huo wa kukata na shoka nchini baina ya mabondia hao ili kukata mzizi wa fitina...
Wakuu Habari zenu?
Hivi hii timu ya yanga kwenye mazoezi wachezaji wanafanyaga nini? Au wanafanyaga mazoezi ya kukimbia tu? Maana wanavyocheza uwanjani ni kama watoto washule ya msingi ukiwaambia...
Habari zenu, Mimi ni Shabiki wa damu kabisa wa wekundu wa msimbazi.
Kwa maslahi mapana ya soka letu, ligi yetu napenda sana tuwe na timu imara. Ligi yetu ikizidi kuwa imara Simba naye anazidi...
Simba leo tumewapa salamu yanga mtasemaje mnataka kuchukua ligi kuu kumuenzi Rais wetu Jpm ina maana alikuwa rais wenu peke yenu?
This is Simba tunahamia ligi kuu sasa maana kule misri tutaenda...
Ina sikitisha Sana ina maana viongoz hawaumii na hii timu juu ya matokeo maana naona Wana nenepeana tu huku sisi mashabiki tunakonda na nywele zina nyonyoka kwa mawazo wengine hatuli vizur chakula...
Mkurugenzi wa uwezaji na utawala wa kampuni ya michezo ya kubahatisha nchini Sports Pesa ndugu Abbas Tarimba amewashauri Yanga Sc kujifunza kwa Simba Sc kutokana na ubora walionao kuanzia kwenye...
Clouds acheni vituko na kuchekesha. Timu kama Simba ikimchezesha Moro atakuwa anapigwa umeme kila siku. Hachezi mpira yule anacheza mieleka. Ni vile tu yuko utopolo na wanabebwa sana kwa mchezo...
Msimu huu pekee Yanga wamebadilisha makocha zaidi ya 3 lakini timu bado haina matokeo mazuri.Kitendo cha kubadili badili makocha ni dalili tosha kuwa timu ina matatizo ndani ya uwanja.Nimekuwa...
Lyon kafanya kile ambacho hakikutarajiwa na wengi kwa kutinga nusu fainali baada ya kuwadondosha matajiri wa Manchester kwa goli 3 -1.
Sasa watakutana na wagumu wa ujerumani Bayern katika nusu...
Shirikisho la mpira wa Miguu barani Afrika CAF limepanga wiki ijayo kuvitembelea viwanja vyote vitakavyotumika kwenye michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kuona uwezekano wa...
kwanza kabisa nipende kutumia Nafasi hii kuwapa Pole Mashabiki Na Wapenzi wa Club ya Yanga kwa kipindi hiki ambacho timu ya Wananchi inapitia kwenye matokeo yasio ridhisha kwa mechi za mzunguko wa...
Baada ya upande A kununua bus brand new la Tata Marcopolo na kuachana na lile la msaada walilopewa 2012 na Kilimanjaro Lager wadau wa upande B walilalamika sana na kuwashauri upande A waachane...
Nataka tu Mshinde au Mtoke Sare tu, ila msikubali Kufungwa kabisa leo kwani mtanikera.
Hao Mabeki wenu waambie Wawagongegonge ( wapige Buti ) sana akina Kisinda na Ntibanzonkiza.
Tumeshamaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.