Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naangalia mechi ya Yanga dhidi ya KMC dah kwakweli timu ya Yanga inatia hadi aibu yaani wachezaji kupiga pass hawawezi, kukontroo mpira hawawezi, kutengeneza nafasi hawawezi wanaishia kubebwa na...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeona polisi wakileta vurugu baada ya mechi na biashara. Tabia hii ni ya kulaaniwa sana kwa vile si ya kiuana michezo. Kama TFF itawachekea, kuna sikuwa mambo yatakuwa mabaya zaidi hasa pale...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilikuwa napita kwenye page za wana michezo mbali mbali na kuona takwimu huku watu kama Luis Jose (Simba SC) themba zwane(mamelodi), ben romdhane(esperance) ,el kaabi (wydad casablanca) wakitajwa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Mpira ni investment na Nidham. Timu yangu ya Yanga inatakiwa kuliona hili at a distant. Only investment can make a difference. Kwa investment ndogo tu waliyoifanya Simba SC, ninaitabiria simba...
11 Reactions
24 Replies
4K Views
Hodi Yanga Afrika, najua hampo katika nyakati bora sana, sijui kama mnapokea wageni kwa sasa. Najua nimekuja pasi na taarifa, kama mtanipokea nitakaa, kama mtanikataa basi kheri. Lakini, nimekuja...
0 Reactions
1 Replies
595 Views
Anaandika @exaud_msaka_habari Kwa mchezo wa Leo bado Yanga iliyomaliza wakati ligi inasimama na hii ya leo zipo sawa. Ni kweli hatuwezi kuona matokeo ya Kocha Mwambusi kwa haraka ila bado ni ile...
3 Reactions
8 Replies
900 Views
WATU WALIKUWA WANASUBIRI BARCA IFUNGWE ILI IWE STORY KWA SABABU HAMNA ZAIDI YA KILELE .NA BARCA ILISHAFIKA KWENYE MAFANIKIO (TREBLE) WAACHENI KWA SABABU LAZIMA BARCA ASHUKA ILI APANDE TENA .KAMA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilijihisi nipo katikati ya ndoto ya kutisha nilipotazama 'odds' za Simba asubuhi ya leo. 20+ kwa Simba hii?? Muhindi aliamini Simba anaenda kufa kirahisi. Kwa kutazama historia, Al Ahyl alipaswa...
15 Reactions
20 Replies
3K Views
00' Mpira unaanza kwenye dimba la Mkapa 28' Greyson David anaachia mkwaju na kuiandikia KMC bao la kwanza 36' Chars Iyanja anashindwa kuingozea KMC bao la pili baada ya kubaki yeye na goli...
5 Reactions
160 Replies
13K Views
Kijijini kabisa huko Sedhiou Senegal, alizaliwa na kukua kwenye umaskini wa kiwango cha juu. Kwa Sadio Mane umaskini si hadithi aliyoisoma kwenye kitabu, si tukio alilolitazama kwenye filamu. Kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutakuwa na bouts nane. Wako wapambanaji kutoka Congo, Malawi n Uganda Bouts Boxers: Halima Bandola Vs Naji Isike Rounds: 3 Winner: Halima Bandola Boxers: Emmanuel Elias Vs Justine Mohamed...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Manchester United watatathmini uwezekano wa kumsajili kiungo wa kati wa Uingereza Declan Rice, 22, katika mkataba wowote kati yao na West Ham utakaomhusisha Jesse Lingard, 28. (Athletic -...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa jinsi hali ilivyo Hamis kigwangalah au Nassoro kamma anavyofahamika na wazazi wake jamaa ni mpigaji wa kiwango cha kutisha Hivi aliwezaje kupiga pesa wizarani tanapa na ngorongoro bila...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Afisa mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amesema licha ya kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika, lakini mchezo wao wa kesho Aprili 9, 2021...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwenye hii video mwanachama anayejulikana kwa jina la Kabwe amedhibitisha wamekusanya michanga ya wale wanahabari wote waliokuja jangwani leo mapema kwaajili ya kisomo cha albadr
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Nilikuwaga nategemea kuwa HT angekuja Kuwa kama Hakeem Olajuwon wa Houston Rockets Enzi Hizo ambaye alikuwa ni tishio katika NBA. Hashimu angekuwa saivi NBA angekuwa anakula around. 34milion USD...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Wadau wenzangu PNC The Icebreaker Joseverest King_Ngwaba makaveli10 kilambimkwidu Chukwu emeka BAK Anigrain The Boss Saint Ivuga dingimtoto Kanungila Karim Van De Beek FORTALEZA tony92...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Kumradhi sana Mangi hapa dukani najua wewe kazi yako ni kuuza Vocha sio kushauri, samahani Wateja wenzangu najua nyote mna haraka ila mniwie radhi kidogo maana nami ni Mteja na ni Mfalme au...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Hivi Klabu inawezaje Kuwatishia Waandishi wa Habari za Michezo hasa kuwataka wawe tu Wanaandika na Wanatangaza Mema (Mazuri) tu ya Yanga SC ila yale mabaya Wawe wanayaficha kwa Umma wa...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama msimamo unavyojionesha hapo chini. Hongera mabingwa wa Tanzania, keep it up.
8 Reactions
19 Replies
6K Views
Back
Top Bottom