Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mji mmoja hivi wa bandari kutoka Kaskazini Mashariki mwa England, ndio mji huu unaomiliki binadamu vichaa zaidi wa soka duniani. Wenyewe hupenda kujiita 'The mighty Reds' yaani wababe wekundu...
5 Reactions
2 Replies
2K Views
Simba Sc ndio habari ya dunia
17 Reactions
52 Replies
6K Views
Bonge moja la mechi, definition halisi ya ligi ya mabingwa, ilikua njoo nije Ukiachana na zile hadithi nzuri za Sungura na Fisi, basi tunaendelea kutengeneza hadithi nyingine tamu kwa vizazi...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
[emoji382]Baada ya kipigo Cha jana ni rasmi sasa mchezaji wa West Brom Callum Robinson tangu azaliwe amefunga magoli 5 tu kwenye EPL na goli zote ametufunga chelsea, mechi ya Jana katufunga...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
One of the most funny part of an automobile, is its acceleration. Super cars command one of the fastest accelration that can hardly be found in any human machine but an airplane! The list goes on...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukiwa kama shabiki wa soka, umejifunza nini kutoka kwenye bonanza la Simba Super Cup lililofikia kikomo leo?
4 Reactions
58 Replies
6K Views
Kuelekea mchezo wa klabu bingwa afrika kati ya AS Vita vs Simba, mchambuzi wa michezo wa Efm, Jemedari Said akiongea asubuhi hii kwenye kipindi cha Sports Headquarters amesema Simba ni underdogs...
13 Reactions
74 Replies
9K Views
Wakuu nipo mkoani Tanga nilikuja kwa shughuli maalum ya kushuhudia pambano Kali la kutafuta bingwa wa draft mkoa tanga fainali siku ya Jana jion ilitakiwa kupigwa Kati ya bwana Mtaleban dhidi ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
mambo ni faya fire fireeee mootoooooo..ewaaaahhhhhhhhh kings of East africa wanakamata nafasi ya 13 huku vijana wa waziri mkuu wa awamu YA TANO asiyejulikana kama atarudi madarakani wakiwa nafasi...
7 Reactions
38 Replies
6K Views
Wachezaji nyota wa simba Sc, Clatous chama na luis Miquisson wamechaguliwa kwenye kikosi bora cha week, kwa mujibu wa CAF Hii ni mara ya tatu kwa luis kuingia kwenye kikosi icho bila shaka...
9 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari wakuu nimerejea jukwaani kwa mara nyingine tena nikiwa naitabiria Simba kucheza mechi ya fainali ya klabu bingwa Africa ndani ya msimu huu. Hapa nikimaanisha Simba itafuzu mechi yake ya...
9 Reactions
28 Replies
4K Views
Anaandika @exaud_msaka_habari Huwezi kutaja Timu zako tatu bora Africa kwa sasa kwenye haya Mashindano ukaiacha Simba, tukubali tu hilo kwanza ndio tuendelee kijadili soka. Ukitaka kupima uwezo...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Yaan mmbebaki kuwa mavuvuzela wa Moo! Angalia sasa owner kama owner![emoji42][emoji42]
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Nkana Fc wakipasha nje ya uwanja Muda wa mechi umefika lakini hakuna timu uwanjani. Nkana FC wamegoma kupima Covid 19 wakidai wameshapimwa kwao. Tunaendelea kusubiri
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Baadhi ya wanaHabari na Wachambuzi wa soka kuelekea mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, waliosema As Vita Club ni hatari sana wakiwa viwanja vya ugenini, hatimaye...
20 Reactions
32 Replies
4K Views
Uwezo wa timu ya soka ya DRC ya AS VITA bila shaka umefikia kikomo , hawana jipya wala hawana uwezo tena wa kufanya lolote kwenye soka la Vilabu barani Africa , nimeifuatilia timu hiu kwenye game...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu, Kwa ufupi sana kuna kila dalili Vita wanaweza kutushangaza kuliko walivyowashangaza Al Ahly kule Cairo. Wamejiandaa kwa hii mechi kuliko walivyowahi kujipanga kwa muda mrefu kwa mujibu wa...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Baada ya kipigo cha 4-1 kocha Ibenge amewaambia wana habari kwamba hana la kusema anakiri amefungwa kihalali na timu bora Afrika kwa sasa. Nami nasema nitamlipa Simba Sc hizo goli 4 usiku wa leo...
37 Reactions
66 Replies
7K Views
Mimi ni shabiki namba moja wa Dar Es Salaam Young Africans but kwa huyu bwana mdogo wacha nimpe sifa zake . Dogo anacheza mpira mkubwa sana.Analitendea haki jina.la wajina wake Mohamed Hussein...
3 Reactions
28 Replies
14K Views
Mimi ni shabaki kindakindaki na mpenzi na mwanachama wa klabu pendwa hapa nchini natabiri kuwa simba ambayo ni timu yangu hapo kesho majira ya saa kumi alasiri ndani ya LUPASO (Mkapa Stadium) timu...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Back
Top Bottom