Nakumbuka miaka michache nyuma ilikuja timu ya Comoro hapa ikabezwa sana na tukaelezwa ile nchi haina hata Ligi..
Sasa nimesikia inchi hii imecheza na misri jana na kutoka Sare
Haya ni...
Lionel Messi katika private jet yake akielekea katika jiji la Manchester kusaini mkataba wa kuichezea Man City kuanzia msimu ujaoCity wamethibitisha kuwa watamtambulisha Muargentina kama mchezaji...
Kama ni kweli ina vazi jekundu, basi hakushauriwa vizuri. Tanzania haina doa jekundu pahala, lakini pia ziko timu kubwa sana hazina doa la aina hiyo. Kuna watu wanaweza kusita kuiweka kwenye...
Yule beki kisiki wa Simba Joshua Onyango amekutwa na Covid na wenzake watatu" Al-Duhail striker Michael Olunga, Simba SC defender Joash Onyango, Zesco United goalkeeper Ian Otieno, and Sofapaka...
Wakati mashabiki wa Atletico Madrid wanapiga simu majumbani kwao kwa furaha kwamba wameishuhudia timu yao pendwa ikitwaa Ubingwa wa kwanza Ulaya,
Wakati huo mashabiki wa Real Madrid wanamwaga...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemteua Inspekta Hashimu Abdallah kuwa Ofisa Usalama wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) kati ya Simba SC na AS Vita Club FC (DR Congo)...
Nakubali Mbwana Samata ni kijana wetu na ni mchezaji mzuri sehemu zote alikopita tuko nae bega kwa bega kumoa support na hata wazungu walipojaribu kumsema vibaya tulikiwa tayari kuingia vitani kwa...
unajua alivypost watu walimuuliza signature ya verifier iko wapi? Mbona hiyo tarehe ni after match ina maana wana depart mbona hu post kwamba kule Sudani wachezaji wao 17 walikutwa na covid tarehe...
NILIIKUTA SIMBA INANUKA MAVI NA MADIRISHA YA MAGUNIA Mwenyekiti
wa Simba Ismail Aden Rage amesema ataiacha Simba katika
hali nzuri tofauti na alivyokabidhiwa wakati uongozi wake unaingia...
Katika kuhakikisha tunafanikiwa kutwaa vikombe viwili tunanavyowania msimu huu, klabu ya Yanga imeendelea kuboresha benchi lake la ufundi.
Razaq siwa kocha bora kabisa wa makipa katika ukanda huu...
Mechi iliyopita kati yetu na E. Guinea ambayo tulitunguliwa dakika za mwishoni kwa goli moja, kocha msaidizi wa klabu ya Simba Suleiman Matola ndo alikuwa kwenye mstari wa kutoa maelekezo kama...
TUMETOLEWA RASMI!!!!
Ungana nami kuanzia saa 4 kamili kupata updates za video, Mechi ya Equotorial guniea vs taifa stars
HIGHLIGHTS KIPINDI CHA KWANZA
1. CHUPU CHUPU
2. MANULA ANATUSAVE...
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Arsenal na Ufaransa, Thierry Henry, amejiondoa kwenye akaunti za mitandao yote ya kijamii kutokana na ongezeko la visa vya ubaguzi wa rangi katika majukwaa hayo.
Henry...
Carlos Bacca ni miongoni mwa wachezaji bora wa Amerika ya Kusini ambaye huwezi kushuku kipaji chake. Mara kadhaa amekuwa nguzo bora na muhimu kwa klabu aliyoitetea kushinda tuzo.
Msimamo mzuri wa...
Mabingwa wa kihistoria ligi kuu bara, yanga sc wameendelea kujifua huko Avic town.
Katika mwendelezo wa mazoezi yao mwalimu aliyepewa mikoba ya kukinoa kikosi hicho kwa muda, amekuja na programu...
Pengine ni kitu cha kustajabisha masikioni mwako kufahamu mbwa kusababisha goli katika mchezo wa mpira wa miguu. Nafahamu upo na shauku na maswali mengi juu ya jambo hili la kushangaza, soma mkasa...
Binafsi nilifuatilia mchezo baina ya Tanzania na Guinea ya Ikweta. Niseme kutoka rohoni hatuna timu ya Taifa. Mchezo waliocheza siku ile ni mbovu sana. Naishauri TFF kwanza tujitoe kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.