Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

SIMBA huenda ikapata ushindi wa mezani dhidi ya Al Merrikh kutokana na timu hiyo ya Sudan kudaiwa kuwatumia wachezaji wawili ambao hawakupaswa kucheza katika mchezo baina yao uliochezwa jijini...
7 Reactions
44 Replies
7K Views
Sasa si ajabu tena kuona mchezaji kutoka klabu ya Tanzania anaingia katika kinyang'anyiro cha tuzo ya mchezaji bora Afrika. Piga kura yako kupitia link hapa chini ili kumpa nguvu kijana kutoka...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kunako michuano ya Uefa Champion Lague iliyofikia hatua ya mtoano (16 bora) baada ya draw kupangwa walijitokeza watu kutoa maoni yao juu ya timu zitakazo fuzu kwenda hatua ya robo fainal lakini...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu nawaomba sana tumpigie kura Luis Miqsone akawe mchezaji bora kwa mara nyingi. Fanya sasa hivi muda umebaki kama masaa 15 tu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Muda mfupi kabla ya mpira kuanza, ripoti ya Corona imeonesha wachezaji nane wa Al MERRIKH ya Sudan wana maambukizi ya virusi vya Corona. Kupitia ukurasa rasmi wa Istagram wa Al Merrikh umeripoti...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Namungo Fc ipo nafasi ya kumi katika msimamo wa ligi kuu Tanzania bara ikiwa imecheza michezo 18 pekee. Huku wawakilishi wenzao Simba Sc imecheza michezo 20 ya ligi kuu ikiwa nafasi ya pili...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
UEFA champions league leo Chelsea watakuwa katika uwanja wao wa nyumbani kuwakaribisha Atletico Madrid katika mchezo wa marudiano. Mchezo wa awali Chelsea iliibuka na usindi wa goli moja la...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Frank Ribery mmoja wa wachezaji bora katika miaka 10 iliyopita. NAAMINI kama sio kivuli cha Leo Messi na Ronaldo, kuna nyakati fulani huyu jamaa alistahili kubeba...
3 Reactions
83 Replies
9K Views
Akiwa kama Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba Bidada, Mrembo Barbara ameweka nadhiri ya kufanya matembezi ya hiari ili kuimaliza Afrika nzima. Naam, mara ya kwanza alianza kwa kuwaminisha waajiri...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Mnyama Konde Boy na Zimbwe Jr
15 Reactions
40 Replies
6K Views
Mtibwa Sugar Sports Club inayopatikana katika mkoa wa Morogoro wilaya ya Mvomero takribani kilometa mia moja (100) kutoka Morogoro mjini ilianzishwa na wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha...
3 Reactions
5 Replies
5K Views
ANGALIZO Nitakayoyaandika (Kuyaeleza) hapa ni Maoni na Mtizamo wangu Mimi All - Rounder na sikulazimishi uukubali bali uheshimu tu tafadhali. PONGEZI Nisiwe mchoyo wa Pongezi kwa Mafanikio haya...
20 Reactions
45 Replies
5K Views
Jana nimekaa sana nikajiuliza; Hivi hawa FC AL Ahly wana mfahamu kwamba jana wamecheza na timu ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania? Hivi hawajajiuliza kama timu ya pili balaa lake ni...
15 Reactions
36 Replies
4K Views
FREE VOICE 1. Yalipopangwa makundi, Visebengo walichamba, Wakazipiga filimbi, Wamisri ndiyo Mwamba, Wakazichapa dosari, Vita mbili yake namba, Waulize watabiri, Kipi kimewatokea 2. Tuanze gemu...
4 Reactions
7 Replies
679 Views
TUENDELEE... KARIGO ndiye alifanya FITNA za kumuondoa Kocha wa Viungo Msauzi Afrika RIEDOH, alimpigia debe yule Kocha wa viungo wa Taifa Stars ambaye Yanga walimpa ajira ya Muda kabla ya Kocha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tumevunja benchi la Ufundi Sawa. Kongole kwa uongozi na Wadhamini na wafadhili wetu GSM kwa uamuzi huu maana tuliona timu ilikosa kabisa ari ya uchezaji haikuwa na mbinu wala maarifa ya ziada na...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Vita uji, TP Mazembe mtori, watu wanajinywea tu, wanatakiwa kutuliza vichwa wajenge upya vikosi vyao. Vita kupata draw away kwa Al Ahly kumbe ilikuwa ni bahati tu, walitakiwa kufa sio chini ya...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa walioangalia game ya jana watakubaliana nami kwa sasa Barca baada ya misukosuko yote soon tunaenda kurudisha ufalme wetu ktk soka la dunia. Timu imecheza kwa maelewano makubwa pasi za uhakika...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Baada ya kupokea kichapo kizito cha goli 4-1 kutoka kwa PSG katika Dimba la Camp Nou, Barcelona leo inatupa tena karata yake ya pili kuvaana na PSG ikiwa nyumbani katika uwanja wa Parc des...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kauli za Mashabiki wa Yanga SC kabla ya Mechi ya Simba SC na El Merreikh leo.... " Leo mtafungwa hamtoamini " " Mtakoma mnacheza bila Watazamaji leo " " Leo mmekomolewa na CAF hivyo mnacheza bila...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom