Pesa hizo ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania milioni 144 zimetolewa na CAF kama msaada toka FIFA kwa ajili ya kuvisaidia dhidi ya janga la Corona.
Vilabu vitakavyonufaika ni vile...
Taarifa za chini kwa chini zinadokeza kwamba Timu mbovu ya Yanga imewasiliana na AFC Leopard ya Kenya kwa lengo la kumnunua kocha wake Patrick Ausem, kocha aliyewahi kuifundisha Simba ya DSM kwa...
Wakuu, maneno huumba. Hivi karibuni pana hii kauli mbiu ya kuufanya mchezo wa soka ni vita.
Soka ni soka tu na vita ni vita tu sasa hawa wanaotupeleka kwenye vita badala ya soka wana lao jambo...
Sasa naanza kuona ule ufalme wa timu za kiarabu taratibu unaanza kupotezwa, hawa wa sauzi wanaupiga mwingi na hawakutazami usoni, kiufupi wanajiamini haswa, wameshinda game zote tatu za round ya...
Habarini Wakuu!
Poleni na hongereni kwa changamoto za Jumapili. Madrid leo beki wao nguli namba 3, Marcelo amerudi dimbani. Gareth Bale na Luca Modric wataanzia benchi ktk Game ya leo.
Barcelona...
Najua wengi wetu tumecheza sana video games na bado wengine tunaendelea kucheza video games. Katika kucheza kwako games umewahi kucheza game zilizotengenezwa na kampuni ya EA SPORTS au KONAMI...
Nimerudia kuangalia tena rafu ile ya kishamba aliyocheza yule mchezaji, nimejiridhisha kwamba kadi nyekundu pekee haitoshi , yule mchezaji anastahili adhabu zaidi, ikibidi hata kufungiwa michezo...
Inataka kuzoeleka kwamba kuna aina nyingine ya mpira unaitwa "pira gwaride"
Aina hii ya mpira mchezaji anaruhusiwa kucheza hata mieleka na akaendelea kulaumu akiadhibiwa.
Katika mechi za Simba...
Timu ya Namungo iko ugenini nchini Morocco kukipiga na Raja Casablanca kwenye michuano ya Shirikisho Afrika hatua ya makundi. Mpira uko mapumziko na mpaka sasa Raja Casablanca na Namungo hakuna...
Anaandika @exaud_msaka_habari
Kuna kitu kikubwa sana kimebadilika kwenye mfumo wa Mashabiki wa Simba wa kuisapoti timu yao, nadhani sio mbaya na wengine wakajifunza kwao.
Jana nilibahatika kuona...
Vifuti, mateke ya kutosha, Mawashi, yoko na mai gel za kutosha,
Leo kutakuwa na mapambano sita, yote ntakuwa naupdate hapa
Michezo yote ina rounds Tatu
Pambano la Kwanza
Frank Moshi Vs Jafari...
Wakuu Kwema?
Nimekaa nimetafakari nimeona wacha niwasaidie hawa watani zangu. Afande Sele aliwahi kuuliza "Mfano Yanga Ikifa Simba itacheza na Nani?", hivyo hata kama ni Mwana Msimbazi sio vibaya...
DIDIER DROGBA, TUNAPASWA KUAMINI TU.
.
Chelsea wakisherehekea miaka nane ya taji la klabu bingwa Ulaya mwaka jana, Didier Drogba aliombwa azungumze chochote kuhusu taji lile.
Drogba alisema...
"Ndugu Mwandishi kuna Kiongozi Mmoja Yanga SC sitomtaja Jina kwa sasa ndiyo Sumu Kubwa ndani ya Timu na Wanayanga wasipokuwa makini nae atakuja Kuwaumiza zaidi ya hapa na Kujikuta pabaya"
"Na ni...
Ligi kuu Tanzania Bara kuendelea Leo ambapo mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara wanaenda kukutana na Wajelajela walohamishia makazi yao Sumbawanga wakitokea Mbeya
Ikumbukwe ni match ya...
Tulikuwa busy sana na kuandaa namna ya kuwabeba akina kisinda, Sarpong, Hersi, Mukoko n.k hii ilinipa shida kiasi kikubwa sana kwa ile imani kuwa tumesajili team kabambe na hakuna team ambayo...
Habari ya uzima wanaJF ni matumaini yangu kuwa mnaendelea Vyema sana pia niwape Pole wagonjwa. Kama ilivyo Kawaida yangu ya kupitia vyanzo mbalimbali vya kimtandao pamoja na makala kadhaa basi leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.