Kama mdau wa michezo kuna kitu hakipo sawa, hasa hawa watangazi wa michezo wa mpira wa miguu Tanzania makanjanja.
Yeye kung'ang'ania kuwa Watanzania wamesoma public notice ya tume ya ushindani...
Borussia Dortmund ni moja ya timu zilizowahi kuwa na full backs bora kabisa. Moja kati ya full backs wa Dortmund ni Lukasz Pisczek ambaye amekuwa klabuni hapo tangu 2010 akiwa katika ubora wa hali...
Benchi la ufundi uongozi na scouts wetu wa Yanga hebu tujaribu fanya mawasiliano na yule mchezaji beki rasta wa timu hii ya Sudan el Mereikh, hakika atatufaa sana kuimarisha ukuta kule nyuma.
Ni...
Mara ya ngapi umesikia jengo la Yanga linakarabatiwa? Mara ya mwisho ilikuwa wiki iliyopita. Bosi wa timu, Mzee Mshindo Msolla aliwaita waandishi wa habari akatangaza ukarabati wa jengo hilo. Kila...
Miongoni mwa mechi muhimu kwa kundi A kwa mtani wetu ni hii ya leo dhidi ya Al-merekh.
Maana baada ya mechi hii ambayo kiuhalisia ndio ya kuvunia point na kutangaza rasmi kufuzu Hatua ya robo...
Kamati ya Utendaji ya Yanga imepokea na kuridhia rasimu za Mabadiliko ya Muundo wa Uendeshaji wa Klabu kutoka katika Kamati ya mabadiliko Katiba na kuruhusu mchakato kuendelea kwa hatua...
Tarehe 15.03.2021
Dar,Tanzania.
Nimefuatilia mijadala kwa muda mrefu hapa kwa siku ya jana na leo kwa zuio la CAF kwa mechi ya kesho ya Simba dhidi ya El Merreikh.
Zuio la CAF ni la washabiki...
UMEWAHI KUZIELEWA PICHA ZA CEO WA SIMBA, BARBRA?
Tuliwahi kuziona picha akiwa Al Ahly nchini Misri, Jijini Cairo akiwa na Mwenyekiti wa Al Ahly ilikuwa ni ziara ya kujifunza, baadae tukaziona...
Kwa ufupi sana,
CAF imezuia mashabiki wa Simba SC na timu zingine huko Afrika wasiingize mashabiki uwanjani. Lakini kidogo kidogo unasikia nchi zingine zimeruhusiwa ziingize idadi fulani...
Wakuu TFF ni shirikisho la mpira wa miguu Tanzania. Shirikisho hilo linaundwa na vyamw vya mpira vya mikoa kama sikosei. Vyama vya nchi kama TFF vimeungama na kutengeneza FIFA, shirikisho la mpira...
Tarehe 16 timu ya Simba inacheza mchezo wa marudiano na timu ya El Merreikh ya Sudan. Tofauti na michezo iliyopita iliyochezwa kwa Mkapa,mechi hii itachezwa bila washangiliaji.
Katika kuamsha...
Afisa Habari wa Simba SC Haji Manara leo ametangaza kuwa CAF wamezuia Mashabiki kwenye mchezo wa Club Bingwa Afrika March 16, 2021 Uwanja wa Mkapa kati ya Simba vs El Merreikh ya Sudan hivyo Mechi...
Tanzania tuna bahati moja kubwa Sana, uwanja wa uhuru upo karibu Sana na Uwanja wa Mkapa. Ziwekwe screen mbili kubwa na mashabiki wajazane humo.
Halafu kelele za kushangilia zichuliwe na wireless...
Mpenzi wa timu ya Simba Ally Rashidi Kuntika (71)katika mamlaka ya mji mdogo wa Namtumbo mkoani Ruvuma alidondoka ghafla na kufariki dunia papohapo mara baada ya mchezaji wa...
Wilfred Zaha amekuwa mchezaji wa kwanza kutopiga goti katika kampeni ya EPL kupinga ubaguzi wa rangi Zaha amesema haoni sababu ya kupiga goti wakati Ubaguzi unaendelea kila siku.
[emoji995]...
Hakuna asiyejua kuwa All - Rounder ni mwana Yanga SC tena mwenye Umiliki wa Kadi yangu namba 357....13.
Nawaombeni wana Yanga SC wote mlioko JF hebu kuanzia Kesho Alhamisi tuungane Jangwani ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.