Msipokuwa makini kuna kila dalili ya kukosa vyote, ubingwa na mabadiliko ya mfumo wa club.
Nionavyo mimi tumieni nguvu zenu nyingi kufanikisha mageuzi ya mfumo wa uendeshaji wa klubu yenu badala...
Yanga leo wanarusha karata yao nyingine baada ya kipigo cha mbwa koko pale Tanga.
Updates za mechi hiyo zipate hapa.
=======
VIWANJA VINGINE
FT: Mtibwa Sugar 0-2 Gwambina
FT' Coastal Union...
Washindi wote 40 wa Mbio za Kilimanjaro Marathon hawajalipwa fedha zao hadi leo.
Washindi hao ni wa Kilomita 42 na Kilomita 21 ambao ni kumi bora kwa Wanawake na Wanaume.
Wanariadha...
Timu haifanyi vizuri, ushindi mwembamba, sare nyingi na sasa imefungwa, tena kiuhalisia ilipaswa iwe imefungwa na kagera sugar pia.
Tatizo la Yanga ni kocha, wachezaji, wafadhili au viongozi wa...
Na mwandishi wetu;
Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya imeendelea kutimua vumbi hapo siku ya jana kwa kupigwa michezo miwili hatua ya 16 bora,ambapo Miamba ya Italia Ilijikuta ikifurushwa...
Wakuu,
Najua hatuna kurugenzi ya ufundi! Simba mchukueni Kaze! Ni bonge la kocha, Yanga wamemtimua kuficha udhaifu wa kiutawala na usajili mbovu!
Kaze abakie Bongo na Simba tafadhali sana...
Ilikuwa ni msimu wa 2011/12 ambapo kikosi hiki kilimaliza msimu bila kufungwa yaani kwa kimombo "Unbeaten"
Kikosi hiki kilikuwa kikienda katika viwanja vigimu mno kama Mkwakwani kilikuwa...
Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.com klabu ya Yanga imewasiliana na timu ya AFC Leopards ya Kenya kuangalia uwezekano wa kumchukua kocha Patrick Aussems aliewahi kuifundisha Simba SC.
Hata hivyo...
"Wasemaji ninaowaongoza, wazingatie kuna maadili ya kuwa Msemaji kama vile taaluma ya habari ambayo inatuongoza, tumeshatoa mafunzo kwa Wasemaji wa Vilabu vya Mpira, tumeona kuna changamoto kweli...
Leo nimesikia Senzo amekamatwa kwa sakata la tuhuma za kumaswa kwa mawasiliano yake akishawishi mmoja ya watu wa Simba ili Simba ihujumiwe kwenye mechi zake na kama tulivyoona hasa mechi ya...
Kama mnavyofahamu siku ya jana golikipa wa Yanga Metacha Mnata aliwaaga mashabiki wa Yanga kupitia insta na baadae kufuta lile bandiko.
Kuna tetesi kuwa Sintofahamu hiyo ilisababishwa na...
Nimesikia mahojiano na mpenzi wa utopolo aliyekuwa kama amechanganyikiwa, muasisi wa jina la "utopolo" akidai Dr Mshindo Msola ana kadi ya Simba.
Kama wanayanga wana akili za jinsi hii, basi iko...
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limefuta mashindano ya fainali za Afcon kwa vijana chini ya umri wa miaka 17
Mashindano hayo ambayo yalikuwa yafanyikie Morocco yalitarajiwa kuanza...
Ni vizuri atakayekuwa kocha mkuu wa timu akahusika kwa zaidi ya 80% katika kufanya usajili wa wachezaji atakaowatumia kwenye msimu unaofuata. Hii itamfanya awajibike kama wachezaji hao...
Kumekuwapo na sakata siku mbili hizi kati ya msemaji wa Simba, Haji Manara na mtangazaji wa Wasafi FM, Maulid Kitenge.
Hii ni baada ya Kitenge kupost kwenye page zake kwamba kuna ugomvi kati ya...
Kuna watu wanasema endapo Simba itapata alama tatu dhidi ya El marrekh, Simba itakuwa imefikiaha point kumi na kuwa imefuzu hatua ya robo fainali. Sijaelewa hesabu gani zimetumika kuifanya Simba...
Kutoka kwa mtu wa ndani kabisa ya clubu moja kumbwa kwenye VPL ameniambia kuwa club imetenga fungu kubwa kwaajili ya kuhakikisha timu hiyo inautwaa ubingwa wa VPL. Pesa hizo zitakwenda kwa waamuzi...
Pitso anakuambia makocha kama Eric Tinkler ni wakati sahihi wa kuomba kufundisha teams za nje ya south africa kama Simba huku akiitaja kama team kubwa ambayo ni kawaida yake kuwa kwenye group...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.