Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwangu mimi hakukuwa na namna nyingine ya kumzuia mfungaji wa goli lilitosababisha Kaze afukuzwe kazi zaidi ya kusababisha penaliti. Buswita ni mrefu na alitumia urefu wake kufungu, full stop...
0 Reactions
6 Replies
951 Views
Imekua ni kasumba kwa huyu mtangazaji anajiita Kitenge ambaye anafanya kazi Radio ya Wasafi, kuja na tuhuma mbalimbali kuhusu SIMBA na zaidi tunajua anatumiwa na watu wasioitakia mema SIMBA sababu...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Tunawaomba wadau wa soka wote wa ndani na nje ya nchi kuisaidia timu ya Yanga katika kipindi chake kigumu inachopitia , timu hii kiukweli haikuwa na kocha , Kaze hakuwa kocha , hajui chochote...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimeona Nkana FC ya Zambia imeshawasili jijini Cairo Misri kwaajili ya kuvaana na wenyeji wao Pyramids FC siku ya Jumatano tarehe 10 March 2020, saa 12:00 jioni za Misri. Nikawakumbuka ndugu zetu...
0 Reactions
9 Replies
760 Views
1. Injinia Hersi alikuwa wapi tokea zamani kuja Kuipigania Yanga SC? 2. Injinia Hersi ni nani ndani ya Management ya Yanga SC hadi amekuwa ndiyo kila Kitu? 3. Injinia Hersi ni nani hadi kujua...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Inawezekana kabisa hao walioamua kuondoa benchi lote la ufundi ndio hasa waliostahili kuondoka! Benchi hilo mnaloliondoa nani aliliweka?vipi kuhusu gharama? Naona kama Yanga ilikua hatua tisini...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kings of Tanzania na East africa tume slip nafasi moja mwezi uliopita tulikuwa namba 17 ila haina shida sana tunaingia robo fainali hadi nusu tutaruka hadi nafasi ya 13 Kwa kifupi ni kwamba kwa...
2 Reactions
16 Replies
17K Views
Kama Zahera ataifundisha Yanga isiyotembeza bakuli yenye wachezaji kama hawa walioko sasa, mtaona maajabu ya Mussa.
2 Reactions
5 Replies
832 Views
Waende kwa Tahadhari zote huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili kwani kwa Umafia ambao umefanyika huenda Wiki hii ikiwa Ngumu Kwao kwa Michezo yao. Nawaonea sana Huruma Kocha Kaze, Boss wa GSM...
6 Reactions
85 Replies
9K Views
Hii ni baada ya Rangers kutwaa ubingwa wa nchi hiyo hapo Jana. === Rangers have been crowned Scottish Premiership champions, removing Celtic’s vice-like grip on the trophy at the 10th time of...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Hii timu ilianza vizuri na ilikuwa mashabiki wengi sana. Lakini miaka ya karibuni inakufa kidogokidogo na msimu huu sidhani kama itaweza kubaki ligi kuu. Ni wazi kuwa wamiliki wake wameshindwa...
0 Reactions
5 Replies
903 Views
Naam! Assalam aleykhum. Tangu jana napokea vijimeseji vya kejeli hasa juu ya uchambuzi na bashiri zangu hasa hasa baada ya bashiri ya jana kati ya young vs police, ambayo kiufupi ilikwenda na...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kila nikijiuliza kwa nini Yamga wamefukuza benchi lao la ufundi kwa kupoteza mechi moja nakosa jibu, hii kitu naamini itamshangaza kila mpenda michezo duniani kote. Wengi wetu hujidai makocha...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau, Nimeona yanga leo tumemfukuza kocha Kaze. Hii haijatosha. Niliwahi kuandika kwenye uzi wa Enyimba success case study maneno haya. Mimi ni mwanayanga ila naona kabisa simba atatwaa...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
24' ASC 0 - 0 ASV Mpira ni mkali kinoma ======== FT: Al Ahly 2-2 Vita Club
5 Reactions
251 Replies
21K Views
Sijapata kuona watu waliokosa akili kama mashabiki wa Yanga. Nimesikitika sana pamoja na kuwa ni mshabiki wa Yanga lakini kamwe hakuna na kusitarajie mafanikio kwa Yanga kwa aina hii ya mashabiki...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimemtazama Kocha Cedric Kaze, nimeitazama tena Yanga ikiwa inacheza kisha nikamtazama tena yeye, nikasafiri mbali sana kupitia makabrasha yake Bwana Kaze. Kaze huyu ana leseni A ya CAF na Leseni...
23 Reactions
87 Replies
9K Views
Ikumbukwe kuwa akiwa anaongea na Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM na hata kile cha EFM Boss huyu kutoka Kampuni ya GSM inayoifadhili kwa Kuinyonya Kimapato Klabu ya Yanga Injinia Hersi alisikika...
11 Reactions
18 Replies
3K Views
Assalam aleykhum, Jana nilitoa prediction kati ya Simba na Al Merekh ambayo ilitimia kwa 56%. Leo Yanga Timu ya wananchi wataibuka na ushindi kwa sababu hizi; Yanga wana presha ya kubeba ubingwa...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom