Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tazama hapa ujuzi wa magoal keeper. Je, nani kaonyesha kipaji?
0 Reactions
3 Replies
682 Views
Klabu ya TP Mazembe baada ya kutoka sare na CR Belouizdad ya Algeria, mchezo uliopigwa nchini DRC, TP Mazembe imeendelea na kukumbwa na mzimu wa sare ya pili mfululizo baada ya Jana February 24...
8 Reactions
41 Replies
6K Views
Kosa ni kuongoza ligi au ni nini? Mechi zetu zimekuwa zikifuatiliwa kwa ukaribu na kila mdau wa soka na wengi wao wanapenda klabu itetereke. kila timu ikicheza na Yanga wanacheza kufa kupona...
11 Reactions
57 Replies
5K Views
Heshima zenu bandugu, Sisi tuliopo nje ya Tanzania tunawezaje kuangalia match ya simba ya leo? Asanteni
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa nyakati tofauti katika mashindano ya Kimataifa kama Ligi ya mabingwa Afrika na mengineyo kunakuwa na madai ya figisu inapofika kwenye vipimo vya covid 19. Kikosi cha Simba kilifanya vipimo...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimepita kwenye account yao nikakutana na hii habari, nikashtuka kidogo, ni zaidi ya nusu ya kikos hiki, inasadika kuna waliougua covid 19, wengine injuries na wengine ni kadi (wapo watatu)...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wiki nzima kuelekea Mechi kubwa na El Merrekh ugenini sijaona wala kusikia mwana Yanga yeyote akileta yale Masihara ya mnaenda kupigwa 'Hamsa'..! Nikajiuliza hii maana yake ni nini? Majibu yake...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Hili ndio tatizo namba moja, Wazawa wote wanaocheza nafasi za viungo na mbele akiwemo na Niyonzima wakubali tu kuwa viwango vipo chini waondoshwe. Kwa modern soccer kwa sasa mpira umebadilika mno...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Kwema Wakuu, Utaratibu mpya wa TFF unasema kua endapo mshindi wa Azam Sport Federation Cup maarufu kama FA Cup atakua ndio huyohuyo mshindi wa Vodacom Premier League (Ligi Kuu) basi atakaekua...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau.. Nimeona documentary ya enyimba success timu ya kwanza nigeria ku win caf champions league.. nimeiangalia kwa umakini nikajua ilikuwaje? Kwa nilichokiona kwa enyimba kama nakiona...
12 Reactions
43 Replies
5K Views
. Swali langu la kwanza ni, lengo mama kabisa msimu huu lilikuwa ni lipi?? Najua jibu litakuwa, 'Kutwaa ubingwa wa ligi kuu na kupata nafasi ya kushiriki klabu bingwa mashindano yajayo' Swali la...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya utopolo wanaume , leo ni zamu ya yanga queen mpaka sasa wamefungwa mbili bila na mchezaji wao mmoja kapewa red card kwa kudaka mpira makusudi. Tayari goli tatu. Full time 3-0...
15 Reactions
31 Replies
3K Views
Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys inatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya fainali za AFCON U-17 Serengeti Boys inayoiwakilisha Tanzania, katika mchezo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, amewataka watendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), kufanyakazi kwa bidii na wale watakaoonekana kushindwa...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Dr Tiboroha, ndiye hasa alitakiwa awe mwenyekiti wa Yanga. Kipindi akiwa katibu mkuu, aliifanya Yanga kuwa timu tishio sana Tanzania. Angalia scout ya Wachezeji kama Ngoma, Kamsoko, Twite. Ni...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Wazee wa Fitna na Roho tumeshagawana Majukumu tayari huku wengine wakiwa Khartoum Sudan ambako tumeenda kutafuta Sare (Draw) tu ili tuje kupata Alama (Points) zetu 6 tu kwa Mkapa tuwe na Jumla ya...
13 Reactions
37 Replies
3K Views
Yanga jana kafungwa 2-1 na Costal Union. Lakini cha kushangaza ni kuwa wanaoteseka zaidi na matokeo hayo ni mashabiki wa Simba. Hii inashangaza kwa kweli. Lakini kwakuwa Mungu sio Athumani, kesho...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
"SOCCER was my passport to Cross boarders ":by ALEX KAJUMLO: AKIHOJIWA na "Vinary KUMER" Kutoka kituo Cha radio chenye kujadiri mambo mbalimbali ya kijamii,kisiasa na kiuchumi kiitwacho...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Habari zenu bila shaka utakubaliana na mimi hizi timu kuanzia raundi ya pili ianze zimekuwa zinashindwa kuondoka na point 3, zinaishia kuchukua point 1 moja. Kuchukua point 3 labda refa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ukisikiliza radio E FM katika kipindi chao cha michezo kinachoanza saa tatu asubuhi mpaka saa sita mchana Ibrahim Masoud hutajwa kama mkongwe katika soka hapa TZ na leo wameenda mbali zaidi ati...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom