Wananchi wenzangu poleni kwa kupoteza game ya leo na tutambue kuwa mpira una matokeo matatu na ligi Ni game 34 so ni vigum Sana kutofungwa game zote labda itokee bahati tu. Leo tulikuwa na poor...
Kwanza kabisa mimi ni msimbazi damu. Ukinikata damu yangu ni nyekundu kama bendera ya simba ilivyo.
Nimeangalia mechi zote za FIFA Club world cup Qatar hawa waarabu hawana masihara. Bora Ahly...
Baada ushindi wa goli 3-0 wa Yanga SC dhidi ya klabu ya Coastal Union katika mchezo wao wa mwisho uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 30, 2020, leo vijana wa Jangwani watakipiga na Coastal...
Leo nimepata wasaa wa kuangalia mechi ya Azam na Kagera Sugar. Waliovaa barakoa ni kama hakuna kabisa.
Tumewasikia Kanisa Katoliki na ni wajibu wa kila mtu 'kuchunga abiria wake". TFF himizeni...
Kifupi ni kwamba kati ya wakali woooooote wale toka Al Ahly, Mamelod Sundown, Esperance nk, Miqsonne ametisha kuliko wao.
Ana goli bora
Yupo kwenye kikosi cha wiki. Halafu dogo hata hajisikii...
Kikosi cha wachezaji 25 cha Mabingwa wa Nchi na Wawakilishi wa TANZANIA Mnyama Mkali, Simba SC, ambao wanasafiri leo Jumatano saa 10:45 Alasiri Machi 3, 2021 kuelekea nchini Khartoum Sudan...
Mimi sipendi kushabikia Simba sababu mimi ni Yanga kweli kweli. Ila ninaufahamu mpira wa miguu. Kuna wakati ushabiki naweka pembeni.
Sisi Yanga tunashindwa wapi kucheza mpira wanaocheza Simba...
Uteuzi huo wa Bi Yvonne Cherrie almaarufu Monalisa kuwa Msemaji wa Klabu ya Wanawake ya Simba (Simba Queen) unaanza mara moja.
Kabla ya Uteuzi huo Bi Monalisa alijishughulisha na mambo...
Tukiwa tunawaambieni kuwa tumieni Akili zenu vizuri katika kufanya (kutenda) mambo muwe mnatuelewa ila bahati mbaya mkisemwa (mkisilibwa ) kwa Upuuzi wenu huwa mnanuna (mnatununia) hapa. Hivi...
Baada ya kupata sare mbili za bila kufungana dhidi ya Real Sociedad kisha na Chelsea, Manchester United inasafiri hii leo kuelekea Selhurst kukipiga dhidi ya Crystal Palace mchezo utaopigwa saa...
Samahani wataalamu wa karate nilikuwa naomba ufafanuzi wa style gani ya karate au aina ipi ya karate ni nzuri zaidi kwa self defence. shotokan au ipi ni nzuri zaidi.
Asanteni
Hivi karibuni kumekuwapo na ongezeko kubwa la wataalamu wa uchambuzi wa mpira wa miguu, vituo vyote vya luninga na radio stations zina wachambuzi ukiwasikiliza wote ni wanaonyesha weledi wa hali...
Klabu ya Kagera Sugar ya mkoani kagera wanalalamika kupangiwa mechi yao dhidi ya Simba sc confederation cup kuchezwa Dsm wakati droo ya awali ilionyesha mechi hio ilipaswa kuchezwa kaitaba mkoani...
Joshua Onyango na Konde boy ni miongoni mwa wachezaji wawili waliochaguliwa kwenye kikosi cha wiki cha CAF champion league wakiendeleza pale alipoachia Lwanga.
Hebu tutumie uzi huu kumtakia heri na kumjulia hali Aishi Manula, Mungu amponye haraka na kumpa afya njema!
Manula nakutakia afya njema na Mungu akuponye na kukulinda!
Tabasamu- Mungu yuko...
Nchimbi ametimiza mwaka hajui goli ni nini. Sarpong aliyebebwa kama mfalme na baadhi yao ana goli nne karibu msimu unaisha.
Pamoja na papaa kutopewa nafasi lakini alikuwa na jumla ya magoli zaidi...
Azam ni wadhamini wakuu Uganda. Waliposainishana na chama cha michezo Uganda nahisi aliyesaini alikuwa kanywa bells kidogo.
Imefika wakati wa kutoa pesa jamaa wameanza kuipiga mikwara Azam ooh...
Patashika ya Ligi Kuu, Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Machi 1, 2021 ambapo Mnyama Mkali, Simba SC wanapambana na JKT Tanzania FC kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.
Mchezo huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.