Msikilize Sunday Manara Computer
FT Yanga 1 - Ken Gold FC kutoka Chunya
Goli la penati
Nimejutia muda wangu,nimetazama mchezo mbovu kabisa wa timu inayoiita timu kubwa dhidi ya timu ndogo kutoka...
Baada ya sare kadhaa kwenye ligi wachambuzi wa soka walimshutumu na kulaumu mbinu za Kocha wa Yanga hali iliyopelekea Kaze mwenyewe kutoka hadharani na kueleza kusikitishwa na namna wachumbuzi wa...
Enzi hizo bana kabla ya kujengwa gombani pemba na ally hassan mwinyi tabora(viilikuwa moto enzi hizo)unaambiwa uwanja mzuri ulikuwa ccm kirumba ukifatiwa na sheikh amri abeid arusha maana wa dar...
Round ya kwanza ya makundi Simba waliingiza mchezaji mmoja kwenye kikosi cha wiki cha CAF champion league hatua ya makundi. Round hiyo alikua Tadeo Lwaga.
Round ya pili imeingiza Wachezaji wawili...
Haswa team inapoenda mikoani wanaposhuka kwenye basi au kama ile walivyopokelewa Airport wakitoka Kinshasa Manula akanusurika kuibiwa simu.
Kumbukeni kuna kipindi Rwanda watu walikuwa wanogopa...
Ilikuwa ni kero kuwasikiliza mara nyingi wakikumbushia goli 5 wao wakiziita hamsa. Hakuna aliyejali ushindi wa Simba na pointi 3.
Sasa leo najua itakuwa fedheha sana kwao kwani hawatakuwa na...
Serikali iliangalie hili.
Natizama mechi ya simba na jkt gani sijui hawa. yaani simba wanacheza mpira lakini hawa jkt wanacheza rafu tu.
Mugalu kapigwa buti kapoteza fahamu. sasa katolewa...
Nimeangalia yanga vcs ken gold leo,dah jamaa wapo poa sana nasikiza clouds hapa hata wachambuzi wanawasifia sana kwa kweli,hongera mwalimu Cedric kaze kama nyie mgekutana na waarabu wa misri...
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Patrick Sibomana ameibuka na kudai yupo kwenye mpango wa kuifungulia mashitaka Klabu ya Yanga kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kwa kile alichokieleza...
Mimi ni shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba binafsi toka huyu jamaa (jonas mkude aka nungunungu) awe nje ya uwanja pengo lake linaoneka na hata baada ya kusajiliwa kiungo wa kimataifa kutoka...
Ligi kuu England inaendelea leo katika viwanja mbalimbali ambapo mchezo wa awali Crystal palace atakipiga dhidi ya Fulham saa tisa jioni.
Leicester city ambayo inashika nafasi ya tatu kwenye...
Michezo miwili ya Klabu bingwa Afrika itapigwa hii leo . Mchezo wa kwanza ni wa kundi B ambao utaikutanisha CR Belouizdad dhidi ya Mamelodi Sundowns katika Dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa...
Kwanza hongereni sana kwa kuleta revolution ya tv hapa bongo. Soka mmefanikiwa, bongo movies pia naona mnakomaa na ndondi pia mmeamua kutuletea.
Ila dah ndugu zangu kilichotokea Dodoma kwa Dulla...
Maneno maneno Huwa yanaumba Kapombe sasa yule mkata kamba yako naye kaitwa stars sasa je ni wakati wa kuamini kwamba ile kamba yako ilikuwa inakatwa na yeye?
Kama kweli una uhakika kamba yako...
Na Ally Mayai Tembele
Niliwahi kuandika Yanga inajidanganya yenyewe na kuishi kwa kivuli cha timu kubwa na kudhani labda dunia imesimama kumbe dunia inakimbia kwa kasi mno.
Nilisema Yanga...
Sijakulazimisha na Sikulazimishi ukubaliane na nilichokiandika hapa ila sijawahi kuja na Utabiri wangu na usiwe sahihi kama nilivyousema.
Tukishinda hata Mimi nitafurahi mno na Kumshukuru sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.