Simba sasa yaanza kukodisha mashabiki,baada ya mamelod kuomba waungwe mkono ktk mechi yao itakayopigwa dimba la mkapa.
Hakika wanamsimbazi sasa wanatisha.
Najaribu kuwaza kwa sauti jinsi Simba walivyonyimwa penalty na hawakulalamika.
Na si kwa mechi ya jana tu, hata mechi za ligi ya nyumbani, Simba wamekuwa wakichezewa rafu mbaya hasa Miquisonne na...
Klabu ya Simba ya Tanzania imeanzisha mashindano mapya ambayo yatajulikana kama Simba Super Cup, Akizungumza na vyombo vya habari CEO wa timu hiyo Barbara Gonzalez amesema mashindano hayo...
Ukiwa kama shabiki wa soka bila kujali unashabikia timu gani, dondosha maoni yako kuhusu uwezo na kiwango cha beki wa kati wa Simba kutoka Kenya Joash Onyango 'Giorgio Chiellini'
Taarifa zinasema kwamba ajali hiyo imetokea mjini California , huku dereva akiwa yeye mwenyewe ambapo ndani ya gari hilo alikuwa peke yake .
Huenda akafanyiwa upasuaji .
======
Bingwa mara 15...
Timu yetu ya vijana U 20 imerudi mikono mitupu kutoka Mauritania baada ya vipigo viwili na sare moja.
Kama kawaida wapenda soka waneiponda vibsya timu yetu. Ila wengi wamemlaumu kocha Julio na...
Jana niliwaona kina Lewandowisky wakihaha kuwafunga National Al Ahly ya Misri.
Leo hii natafakari hivi hawa jamaa waliocheza jana sio ndio Simba tutacheza nao hivi karibuni!?
Aisee ...ngoja...
Kama hujui basi jua. Timu kigogo Africa Simba ndio kinara wao.
Habari za Simba Sc zimezagaa dunia nzima. Kwa hiyo sina haja ya kueleza saaaaana.
Kifupi ni kwamba kuna Wababe halafu kuna Mbabe
Kwa utafiti wangu wa kina nilioufanya inaonekana mashabiki wengi hawakupenda kauli mbiu yao mpya kuelekea mechi yao dhidi ya Al Ahly.
Wengi wao wameonekana kuwa na hofu kubwa sana ya matokeo...
Roho inaniuma hatari
Naona nikalale tu
Yaani tushakula 3 ndani ya 15 minutes
Asalaleee
===
FT: Tanzania 0-3 Morocco.
Kutoka kundi C, Tanzania inaaga mashindano ikiwa imefungwa jumla ya magoli 8...
Jambo TANZANIA na Duniani Kote..!
Naaaam..!
Jumanne ya February 23, 2021 muda wa saa 10:00 Alasiri, kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, kutakuwa mchezo wa kundi A' wa Klabu Bingwa Barani Afrika...
Hatuwezi kuwa na makocha wanaotegemea kukanyaga mafuta ili kupata ushindi , hii timu ya vijana sina hakika kama inaweza kupata hata goli kwenye michuano hii , achilia mbali kupata ushindi ...
Kuelekea mchezo wa Klabu bingwa barani Afrika wa Simba dhidi ya Al ahly ya Misri, Simba imeitisha mkutano na waandishi wa habari kuelezea maandilizi kuelekea mchezo huo.
Mchezo ambao utapigwa...
Michezo ya ligi ya mabingwa barani Ulaya itapigwa hii leo ambapo, Atlètico Madrid ya Hispania atakipiga dhidi ya Chelsea ya England.
Michezo ambayo Atlètico Madrid amekutana na Chelsea katika...
Kwa muda mrefu vilabu vyetu, wadau na mashabiki wamekuwa wakilia na kulalamikia sana maamuzi yanayoamuliwa na waamuzi wetu kwenye mchezo pendwa wa soka ama kandanda au kabumbu kama linavyofahamika...
Club ya CD De Agosto ya Angola imetumia ukurasa wake wa instagram kulalamika kwamba Wenyeji wao Namungo FC wanadhoofisha kikosi chao baada ya kupewa majibu kuwa Wachezaji watano wa De Agosto...
Licha ya kuwa Yanga haijapata kupoteza mchezo wa kiushindani msimu huu wa 2020/21, bado kuna haja na sababu ya kuhakikisha tunaimarisha safu ya ulinzi ili kuhakikisha tunapunguza idadi ya magoli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.