Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tusipoangalia na kuchukua hatua, mpira wetu wa miguu, badala ya malengo hasa yaliyokusudiwa na huyo/hao, mwanzilishi/waanzilishi wa mchezo huu, utageuka kuwa uwanja wa uwasama, chuki na vita, kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
“Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati yetu Simba na Al Ahly kutoka nchini Misri itapigwa saa 10:00 jioni siku ya Jumanne Februari 23, 2021. Ni mechi kubwa sana kwa Simba, Tanzania na Afrika...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
1. Uongozi kwa Kushirikiana na GSM Kukwepa Lawama na kuwalazimisha Mashabiki wao waone wanaowakwamisha ni TFF na Kamati zake. 2. Kutaka Kuwatishia Waamuzi ( hasa huyu wa leo dhidi ya Mtibwa FC )...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Michezo ya kundi C AFCON U20 kupigwa hii leo, ambapo Morocco itakutana na Tanzania huku Ghana ikikipiga dhidi ya Gambia. Hii ni michezo ya mwisho ambayo itaamua ni timu zipi zitasonga mbele...
3 Reactions
6 Replies
746 Views
Wakuu Habari zenu? Kuelekea mechi ya simba na al ahly pale kwa mkapa licha ya kauli mbiu iliyopo ya total war :no point of return. Nilikuwa naona ingekaa hivi ndio ingekuwa vizuri zaidi WAR IN...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mechi imechezwa 21/02/2021 mchezaji wa Ruvu mpira umemgonga usoni refa anafunika penati. Kwa waamuzi wa aina hii akina Saanya bado tunasafari ndefu sana kwenye soka upande wa waamuzi.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa siku za karibuni tumeshuhudia Burundi ikileta watu wake kupata ajira hapa Tanzania. Kuna makocha,tena wapo timu kubwa kabisa. Achilia mbali lundo la wachezaji waliopo katika vilabu vyetu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa Klabu ya Azam FC kukutana na Tanzania Prisons katika dimbani Nelson Mandela huko Mbeya Mara ya mwisho Azam kukutana na Tanzania Prisons ilikuwa...
2 Reactions
0 Replies
665 Views
Patashika ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kuendelea kutimua vumbi leo February 21, 2021 kwenye uwanja wa Azam Complex, ambapo wenyeji CD De Agosto wanapambana na Namungo FC ===========...
6 Reactions
163 Replies
14K Views
Baada ya ile kashi kashi ya kule Angola je mechi ya kwanza Namungo atacheza na hawa jamaa lini?
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Mchezo wa kombe la shirikisho kati ya De Agosto dhidi ya Namungo umemalizika katika Dimba la Azam Complex Chamanzi jijini Dar es salaam. Katika mchezo huo ambao Namungo ilikuwa ugenini...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kocha wetu amefeli sana katika idara zote mfano. 1.Ameshindwa kabisa kuunganisha timu kutengeneza kikosi cha ushindi. Angalia beki ya timu wanakatika Hadi wanagombana mfano Lamine na...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu, Hii ni vita kamili, Total War! National Al Ahly ni klabu ya tatu kwa ubora duniani na tunaheshimu hilo ila Jumanne ijayo kwetu ni vita kamili! Vitapiganwa vita kamili pale kwa Mkapa! Hii...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Tutakuletea updates za maana hapahapa JF hapo saa 1. Mungu ibariki Mtibwa Sukari
10 Reactions
195 Replies
13K Views
Thadeo lwanga ndani.
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Sina jambo lolote dhidi ya Sarpong. Ushauri wangu kwa klabu ya Yanga SC ni kwamba huu ni wakati sahihi wa kuhakikisha Sarpong anaondolewa kwenye mipango ya kikosi cha kwanza cha Yanga SC...
1 Reactions
6 Replies
669 Views
Ni mechi ya simba kuweka record mpya 1. Al ahly baada ya kufungwa na fc buyern tu hakuna club nyingine yoyote imeifunga zaidi ya simba 2. Al ahly ndio safari yake ya kwanza kutoka baada ya mechi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Merseyside Derby imemaliza huku ikibadili history ya Everton ya kutofunga Anfield kwa takribani miaka 21 , baada ya kumtandika Liverpool goli 2-0. N baada ya kujinyakulia alama zote 15 kwenye...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kuwa Mtibwa nayo ni timu ina Mungu Kwa kuwa refa naye ni binadam aanaweza kupitiwa Namuomba Mungu afanye jambo kesho, Yanga wapigwe, halafu refa akosee awanyime goli la ofside.Halafu tuone...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Huwa najiuliza ni kigezo gani kilitumika hadi football kuchezwa kwa dk 90,Naona kama dakika mia zingekuwa ni bora zaidi,
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom